#COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

Analysis ya kitaalamu wenzio hawataki kusikia,wanataka chanjo ili ionekane tu mama hafuati nyayo za mwendazake.Wanasahau kuwa mwanzoni mwendazake alifanya wanayotaka kufanya sasa,akafunga shule,vyuo,nk.Shida ilikuja alipobaini ni propaganda kuliko uhalisia papai,fenesi nayo yakawa postive.
mama asiwaamini sana hawa watu na hivyo vyitu,huko mbele asije beba lawama za kuharibu vizazi vya watanzania.
 
Hivyi walioleta UKIMWI ni wagogo wa Dodoma?,hivyi waliokuwa wakibeba makinikia kupeleka kwao wakidai ni mchanga tu ni akina nani? Huwajui vizuri wazungu wewe.
Au tukubali hoja yako wapo hawana corona sababu wamechanjwa?
 
Chanjo itakuja na watu watachanjwa hasa wanao hudhuria hospital mara kwa mara na kwenye mikusanyiko itakuwa lazima hasa wabunge na sokoni na stendi wasiotaka kuchanjwa Kama Ngwajima itabidi wakae nyumbani na ubunge na uchungaji aache maana anakusanya watu na mikusanyiko inaleta kuambukizana.
 
Sasa kama nchi za wenzetu wamechanjwa na bado wanaendelea kufa kama kuku , sisi za nini ?, tungekua tunaona watu baada ya kupata chanjo hawana tena hofu na corona hapo ningechoma mwili mzima, hatujaona bado maajabu yeyote kutoka kwa waliochoma zaidi ya watu kulalamika tu kugandisha Damu na kusababisha vifo
 
msimamo wa watanzania juu ya corona ni

1,corona ni ugonjwa wa mafua kama yalivyo mengine,na yuko tayari kuishi nao.
hata mheshimiwa anajua hilo,labda kuna namna anatafuta kuridhisha watu fulani.

Ndio shida ya mama, anataka kurodhisha watu fulani, hana msimamo kabisa , mbona watu tulishasahau na tunaishi poa tu
 
Tunajua tu mwisho wa siku watu lazima wachanjwe, ila mtetezi wetu yu hai
 
To
Walau alikuwa anasimamia Africa na vitu vyake kweli alikuwa jiwe kuu la pembeni la Africa laiti Africa yote mentality ya marais ingekuwa kama ya mzee tungekuwa mbali tuna Maji,watu,ardhi na population kubwa Tungetrade within Africa na mambo yangenyooka balaa tunajidharau mno....
 
Una uhakika gan hizo ARVs hazina effects kwenye mwili wa binadamu? Au mnajuag tu effects ni short term mkuu? , we hujiulizi kwa nini life expectancy Siku hizi imekua low sana tofauti na miaka ya nyuma , chanzo ni hizo hizo dawa mnazozishobokea hamjui madhara yake
 
Yaani hawajui hata wanacholaumu.

Unalaumu wazungu kuhusu CORONA wakati Corona imeanzia China?

Huziamini chanjo: Je, huziamini chanjo zipi: Astra Zeneca, Moderna, Pfizer au Sinovac ya Mchina ?

Unavyozitaja utadhan unazijua vile , utadhan unajua ingredients wanazoweka, yani utadhan wewe na Baba ako ndo mlitengeneza na mna uhakika nazo ni salama asilimia zote
 
Tatizo ni vile kufikiri kwamba jambo likiwa la sayansi basi linakuwa kama msahafu kwamba wanasayansi wote wanakubaliana hivyo hakuna wenye kutofautiana kwenye kila jambo, mfano kwenye virusi vya ukimwi pamoja na hizo ARV tofauti zipo pia ukija kwenye hili la Corona napo tofauti zipo wapo wanaoona inatumika siasa zaidi kuliko sayansi kwenye kushughulikia corona. Sasa ukisema mbona dawa fulani mnatumia sijui chanjo fulani mnatumia hilo sio jibu la kisayansi, hasa ukizingatia sio wote wenye kukubaliana na hizo chanjo zengine au hizo ARV.

Kama mnasema hili suala ni la kisayansi basi lijadiliwe kwenye sura hiyo ya kisayansi na sio kuwaambia watu et tengenezeni chanjo zenu sijui mbona tiba zengine za kizungu mnatumia? haya majibu kisiasa zaidi.
 
Umeshajiuliza kwanini FDA mpaka sasa hawaja approve hizi vaccine, bali wameziruhusu tuu kupitia mgongo wa dharula?
 
Unavyozitaja utadhan unazijua vile , utadhan unajua ingredients wanazoweka, yani utadhan wewe na Baba ako ndo mlitengeneza na mna uhakika nazo ni salama asilimia zote
Kuna chanjo yoyote nchi hii mmeshawahi kutengeneza wewe na baba yako ??

Ingredients zote za hizo chanjo unazijua ?
 
Unavyozitaja utadhan unazijua vile , utadhan unajua ingredients wanazoweka, yani utadhan wewe na Baba ako ndo mlitengeneza na mna uhakika nazo ni salama asilimia zote
Kuna chanjo zozote zilizoko nchi hii mmewahi kutengeneza wewe na babako ?

Ingredients zake unazijua ?
 
Umeshajiuliza kwanini FDA mpaka sasa hawaja approve hizi vaccine, bali wameziruhusu tuu kupitia mgongo wa dharula?
Sihitaji kujiuliza kwa sababu wangekuwa na waiwasi nazo zisingekuwa approved zitumike! Next question?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…