Wewe SUBIRI mama SAmia hawaelewi watanzania kumgeuka ni dakika sifuri na kibarakoa chakeChanjo itakuja na watu watachanjwa hasa wanao hudhuria hospital mara kwa mara na kwenye mikusanyiko itakuwa lazima hasa wabunge na sokoni na stendi wasiotaka kuchanjwa Kama Ngwajima itabidi wakae nyumbani na ubunge na uchungaji aache maana anakusanya watu na mikusanyiko inaleta kuambukizana.
Mama SAMIA mroho wa kwenda nje ndie umwambie achanjeNdo tunaelekea huko, wataweka hadi passport ya korona kama hukuchanjwa hakuna kupanda ndege......unabii unaenda kutimia.
Ila Tanganyika mwambieni kakwaa kisiki kwenye korona na kibarakoa chake kakwaa kisikiNdio shida ya mama, anataka kurodhisha watu fulani, hana msimamo kabisa , mbona watu tulishasahau na tunaishi poa tu
Hao watu fulani hata afanyeje hawezi kuwaridhisha!! Wale ni kama kuzimu!! Kuzimu haiwezi kuridhika! Japo inataka moyo kwenda kinyume na matakwa ya hao watu fulani almaarufu kama mabeberu!!! Lengo la beberu ni kupiga pesa!! Wameona biashara kubwa kwenye corona!! Hebu fikiri kidogo, itatugharimu sh ngapi kuchanja watanzania milioni 60? Hiyo pesa mabeberu wanaitolea macho!! Wakikuona unashtuka wananuna!!msimamo wa watanzania juu ya corona ni
1,corona ni ugonjwa wa mafua kama yalivyo mengine,na yuko tayari kuishi nao.
hata mheshimiwa anajua hilo,labda kuna namna anatafuta kuridhisha watu fulani.
Hiyo program ya covax siyo rahisi kivile kama unavyodhani!! Si rahisi kwa Taifa!! Nchi lazima ichangie pesa ndefu tu hata kama wewe utachanjwa bureKuna program inaitwa COVAX, chanjo za bei rahisi na kwa nchi nyingine wamepewa bure. Na wanaweza kuleta, zikauzwa;
Swala la muhimu, kina Gwajima wasizuie wenzao kupata chanjo kwa masuala ya imani. Ni kama nguruwe na pombe; kuna imani zinakataza, lakini zipo. Ukitaka kanunue.
5) Serikali ichukue hatua kali kwa wanaotaka kuchanjwa ili kila mmoja wao apimwe kwa kipimo kipya cha kichina!4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Mtaa gani huo?Huku Mtaani Mkuu kila mtu ni Hataki kusikia chanjo nafikiri kwa sababu watu walijengwa hivyo
Kama ni gharama, serikali iruhusu hata private companies walete, wenye uwezo wanunue. Kenya hapo kuna kampuni zilileta Sputnik vaccine, na watu wakanunua.H
Hiyo program ya covax siyo rahisi kivile kama unavyodhani!! Si rahisi kwa Taifa!! Nchi lazima ichangie pesa ndefu tu hata kama wewe utachanjwa bure
Nyie watu wa mitandaoni ni shida sana si ajabu hizo chanjo zikaja na msitokee kuchanjwa mkawa mnasikilizia kwanza wakati kumbe nyie ndio mlioziomba humu.Kama ni gharama, serikali iruhusu hata private companies walete, wenye uwezo wanunue. Kenya hapo kuna kampuni zilileta Sputnik vaccine, na watu wakanunua.
La muhimu serikali itengeneze mazingira watu waweze kupata chanjo, wasiweke vigingi.
Kamati ya corona ingetuambia tumeathirika kiasi gani kwa kipindi chote hiki kisha ndio wangetokea hayo mapendekezo ya nini tufanye ila wao wamekuja moja kwa moja na mapendekezo yao ya chanjo.Mafua haijawahi kuwa tatizo kwetu.kwahyo kununua chanjo ni kupoteza hela. Hiyo tuna matumiz nayo mengi
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Wewe nae,,eti ichukue hatua kali,,mtaani kwako wamekufa wangapi ???mambo ya India unatuletea huku???mnataka tuvae barakoa zenye Wadudu wa COVID 19...Mnataka kutuuua....Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.
Mapendekezo yangu
1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Hahahahahahah...... Kwaiyo watanzania ni watu was kudemka na upepoHivi wabongo mkuu unawajua ama unawasikia??
Subiri chanjo iletwe hapa halafu uone msongamano kwenye kuchanjwa. Hawa watu waone hivi hivi tu ni vigeu geu hatari ni watu wa kwenda na upepo unakoenda.
Mi nna imani watanzania wengi watachanjwa, hii chanjo haitakua lazima ila itakua lazima kwa namna moja ama nyingine. Inawezekana kuna huduma utazikosa bila kua na chanjo na hivyo kukulazimu uchanjwe, sidhani kama serikali itaileta tu afu iwe hiyari kirahisi namna hiyo.
Ni kama waliposema kujisajili kwa ajili ya vitambulisho vya taifa watu walikua wajajivutavuta, wakagusa panauma kwenye laini za simu, mpaka leo nida kuna watu wanazisakama hizo namba tu mambo yao yaende.
Sio kila kitu lazima kiwe kwa ajili yangu au yako ndio ukitetee.Nyie watu wa mitandaoni ni shida sana si ajabu hizo chanjo zikaja na msitokee kuchanjwa mkawa mnasikilizia kwanza wakati kumbe nyie ndio mlioziomba humu.