Siyo Lumumba bro Ni huku kitaa
Miye na jamaa zangu kibao tu tunaoisubiri sana hiyo chanjo mkombozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Lumumba bro Ni huku kitaa
Hii nchi wajinga ni wengi, hivyo unashangaza kushangaa kuwa wengi wamekataa chanjo. Hata hawajui wanakataa nini. Hakuna mjanja anaikataa chanjo....[emoji851]Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19,
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania
Mapendekezo yangu
1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
👊👊Shida iko wapi? Chanjo iletwe anayetaka atumie asiyetaka aache. Tusiwanyime watu fursa ya Kinga kwa hofu zetu
Hizo zingine ulizozipata zilikaa muda gani baada ya kutengenezwa ndipo zikatumika? Mmejazwa mawazo ya mtu mmoja na wafuasi wake, kiasi hamuwezi kufikiri independently. Aliwakamata sana.Chanjo iliyotengenezwa ndani ya mwaka mmoja, hakuna conclusive research iliyofanyika kuweza kupata final approval, hakuna data za mid- and long-term effects. Short-term effects zimeshaonekana, efficacy ipo chini lazima uchanje kila miezi 6, ni teknolojia mpya ya utengenezaji wa chanjo inayohusisha vinasaba DNA/RNA imeshaleta complications za autoimmunity kama blood clots, autoimmune thrombocytopaenia, sijui tunakimbizana kwenda wapi? au ndo presha za mabeberu hizi.....
Mbowe mbona hajafa, au walikosea "kumchanja vizuri"?Kuna watu wanapotosha ili kuogopesha watu,tusiwasikilize chanjo ni muhimu kwa wakati huu.View attachment 1792672
corona ipo, "heri kuzuia kuliko kuponya"Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19,
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania
Mapendekezo yangu
1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Kama ulisikiliza siku ya kukabidhi report ya Covid 19, serikali haikusema chanjo ni lazima, ilisema chanjo ni hiari. Wanajua bado kuna watu wako na njozi za mwendazake, kwa hiyo hawawezi kulazimisha. Muda utafiki hata wale wenye mawazo ya mwendazake wataelewa na maisha yatakwenda vizuri. Wapewe muda maluweluwe yawatoke kichwani
Niambie nchi moja duniani ambapo hii chanzo ni lazima?Kama ulisikiliza siku ya kukabidhi report ya Covid 19, serikali haikusema chanjo ni lazima, ilisema chanjo ni hiari. Wanajua bado kuna watu wako na njozi za mwendazake, kwa hiyo hawawezi kulazimisha. Muda utafiki hata wale wenye mawazo ya mwendazake wataelewa na maisha yatakwenda vizuri. Wapewe muda maluweluwe yawatoke kichwani.
Hivyo sivyo ambavyo serikali inatakiwa kudeal na hili suala kwa sababu serikali ya awamu ya tano ambapo viongozi wake ndio hawa hawa wa awamu ya sita ndio hao wanahusika moja kwa moja na hili la wananchi kutilia mashaka chanjo au kukataa kabisa, kama waliwaambia wananchi kuwa hakuna corona wao kama serikali na wakatilia shaka chanjo basi hilo wanapaswa kulifix kwanza ila sio kusema walete chanjo halafu et atakayetaka achanjwe na asiyetaka basi.Shida iko wapi? Chanjo iletwe anayetaka atumie asiyetaka aache. Tusiwanyime watu fursa ya Kinga kwa hofu zetu
Mimi nimeongea swala kitaalamu wewe unakuja na porojo, unapataje approval ya chanjo ndani ya mwaka mmoja!? ume establish vipi mid- and long-term effects kwenye huo mwaka mmoja. Wewe ni mgeni dunia hii hadi hujasikia madhara ya hizo chanjo, kuganda damu, vifo nk. na kwamba watu waliochanjwa bado wanaweza kuugua. Chanjo unayohitaji booster ndani ya miezi sita? hiyo haiwezi kuwa chanjo, labda kitu kingine.....Hizo zingine ulizozipata zilikaa muda gani baada ya kutengenezwa ndipo zikatumika? Mmejazwa mawazo ya mtu mmoja na wafuasi wake, kiasi hamuwezi kufikiri independently. Aliwakamata sana.
[emoji1785]uelewa wa chanjo kwa watz
Haiwezi kuwa lazima..!Nimetabiri tu mkuu, sidhani kama itakua hiari to that extent. Labda tusubiri tuone itakuaje ila lazma tu kuna kanguvu katatumika kupush hiyo chanjo, kuhusu kusambaza elimu zaidi kibongo bongo ni wachache watakaoikubali hiyo elimu ndgu.
Wewe kilaza usiyeweza hata kutengeneza dawa ya minyoo wa mbuzi leo hii unawafundisha wataalam namna ya kutengeneza na ku-approve chanjo! Jikalie kimya acha wanaotaka kuitumia wafaidike.Chanjo iliyotengenezwa ndani ya mwaka mmoja, hakuna conclusive research iliyofanyika kuweza kupata final approval, hakuna data za mid- and long-term effects. Short-term effects zimeshaonekana, efficacy ipo chini lazima uchanje kila miezi 6, ni teknolojia mpya ya utengenezaji wa chanjo inayohusisha vinasaba DNA/RNA imeshaleta complications za autoimmunity kama blood clots, autoimmune thrombocytopaenia, sijui tunakimbizana kwenda wapi? au ndo presha za mabeberu hizi.....
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.