Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Utajiri huo aliupataje, wakati aliondolewa NBC kupisha uchunguzi huku kasimamiwa?!Sawa Tajiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajiri huo aliupataje, wakati aliondolewa NBC kupisha uchunguzi huku kasimamiwa?!Sawa Tajiri.
Nikwambie tu serikalini kwa level yaje huwezi kuwa masikini,wakurugenzi wa idara tu ni matahiri sembuse mkurugenzi wa Taasisi,tena tume,amewahi kuwa mkurugenzi wa NBC,mshahara si chini ya milioni 30,yaani kwa miaka 20 serikalini hajawahi kupokea mshahara chini ya mioni 20.Na utajiri ule aliupataje?
Alikuwa karibu sana na JK,alimtumia kwenye ishu zake hakumuwa na wa kumgusaUtajiri huo aliupataje, wakati aliondolewa NBC kupisha uchunguzi huku kasimamiwa?!
Umejibu vyema, na kwa sehemu kubwa unatokana na kwenye bold.Nikwambie tu serikalini kwa level yaje huwezi kuwa masikini,wakurugenzi wa idara tu ni matahiri sembuse mkurugenzi wa Taasisi,tena tume,amewahi kuwa mkurugenzi wa NBC,mshahara si chini ya milioni 30,yaani kwa miaka 20 serikalini hajawahi kupokea mshahara chini ya mioni 20.
20,0000,000*12=240,000,000 kwa mwaka
240,000,000*20 =4,800,000,000
Huo ni mshahara tu,bado pisho bado mikopo bado madili,rushwa nk.
Net income yake haiwrzi kupungua 10 billion
"Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?"Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Pia ilinitokea mimi ingawa ndiye niliyekuwa Kipenzi cha roho haswa kwa Mshua kuliko Watoto wengine wote kama ilivyokuwa kwa Yusufu Bwana ndoto.Kuna watu huwa hawalii lakini wanaumia sana ndani kwa ndani, ndipo baadae unakuta mtu anakuwa mlevi kupindukia n.k
Matatizo yote haya unayosema kuwa ninayo hata Mama yako Mzazi anayo tena ya Kunizidi Mimi hivyo anza Kumtibu Yeye Kwanza na akishapona uje Kwangu sawa?Siwezi kumpeleka Mtu mzima hospital
Lakini wewe upo hai na mateso yako tunayaona na bahati nzuri kesho utapona kwani lunatics mna misimu yenu
Mwezi mchanga ushaisha
Idiot."Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?"
Kwa kusema 'watoto wa kike', kwani alikuwa na watoto wa kiume na walikuwepo msibani?!
Mweeeee mweeeee, unasemaa?Baba mwenye tabia za Baltazar nani akulilie
Hawana shida yeyote sasa sisi huwa tunalia tutafanyaje haya
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Kweli mkuu kama kweli walikua wanaishi pamoja na Baba yao kila siku wanakua nae pamoja akienda kazini wanamuona na akirudi wanampokea au wanamkuta Nyumbani au Usiku wanakaa pamoja na kula pamoja Nyumbani lazima wangelia. Watoto walio lelewa wakiwa pamoja kila siku na Wazazi lazima wangelia maana wanajua hawata muona tena na walizoea kula pamoja kumuomba pesa za shule nk.Ukiona hivo ujue hawakua karibu sana na Baba yao.Nitatoa mfano toka wadogo chekechea wamekaa boarding,Primary wamekaa booarding,Secondary boarding chuo boarding ! Hapa mapenzi hakuna anamuona baba au mama kama watu wa kawaida tu hakuna ile Bond ya mzazi na mtoto hizo ndio athari za kupeleka watoto boarding tangu wajkiwa wadogo mapenzi ya dhati yanakosekana ! wala sio uhakika wa pesa kama watu wanavodhani.
HahahahaaaaMatatizo yote haya unayosema kuwa ninayo hata Mama yako Mzazi anayo tena ya Kunizidi Mimi hivyo anza Kumtibu Yeye Kwanza na akishapona uje Kwangu sawa?
Nashukuru Mwenyezi Mungu bado Mama yangu Mzazi yuko Hai ila natoa Pole pia kwa wale ambao Mama zao wametangulia mbele za Haki kwani kwa hii Post yako umefanya Dhihaka Kubwa kwa Wafu wote huku ukisahau kuwa hata Wewe ni Mfu / Marehemu mtarajiwa uliyejaa Upumbavu, Ushamba na ukiwa ni Mpiga Mluzi Mwandamizi.Hahahahaaaa
Kamfufue umpeleke kwa dokta
Kesho unaponaNashukuru Mwenyezi Mungu bado Mama yangu Mzazi yuko Hai ila natoa Pole pia kwa wale ambao Mama zao wametangulia mbele za Haki kwani kwa hii Post yako umefanya Dhihaka Kubwa kwa Wafu wote huku ukisahau kuwa hata Wewe ni Mfu / Marehemu mtarajiwa uliyejaa Upumbavu, Ushamba na ukiwa ni Mpiga Mluzi Mwandamizi.
Mama yako Kesho atapona.Kesho unapona
Kichaa cha mwezi hiki
Wakiongozwa na Mama yako Mzazi.Kama kawaida foolish la mjini kwenye grade zake
Wana Linda brend zaoMuda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.