Mafeking
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 225
- 471
Kwani hawaja kodi wale wanaolia alafu wanalipwa.Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hawaja kodi wale wanaolia alafu wanalipwa.Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
SureUkweli ni kwamba walijua kitambo kuwa baba yao atafariki. Walipata nafasi ya kujiandaa. Walishahuzunika vya kutosha pia. Hope baba yao alishawaandaa kisaikolojia kwa hilo.
Pia kama ni kulia walishalia wiki moja kabla ya maziko. Walilia baba alipofariki rasmi. Walilia alipofika bongo. Walilia vyumbani. Walishalia vya kutosha. Pengine watalia tena wiki moja baada ya mazishi kwa kugundua kwamba baba hayupo tena
Kaanze na Mama yako Mzazi mwenye tatizo Kubwa kunizidi.Una uhakika?
We jamaa unahitaji serious medical attention
Mwezi usshaandamaKaanze na Mama yako Mzazi mwenye tatizo Kubwa kunizidi.
The sadist prayersKwasasa wanaona kawaida maana wanasoma akaunti na mali za marehemu, subiri waone watakavyoishi kwa kunyanduliwa maana Kinga haipo.
Kwa Mama yako Mzazi ulianza Kuandama kabla yangu.Mwezi usshaandama
Ni mwendo wa hallucinations na mitusi
Hwdi wiki ijayooooo
Kazi sana aisee
Ambapo matokeo yake huwa ni vidonda vya tumbo, kisukari na shinikizo la damu!!!!Hao wana lilia moyoni hupelekea kuumia zaidi
Kiumri wewe ni Mdogo so kuanza kuandamana kabla yako it’s trueKwa Mama yako Mzazi ulianza Kuandama kabla yangu.
Tunaomboleza kishua mkuu hayo niya kwako hatuyatambui🤣🤣😅Ambapo matokeo yake huwa ni vidonda vya tumbo, kisukari na shinikizo la damu!!!!
Huu USHAURI wako anza kwanza kumpa MGONJWA MWANDAMIZI na SUGU Mama yako Mzazi na akishapona kabisa (japo najua hawezi Kupima) rudi ndiyo UNISHAURI na Mimi.Kiumri wewe ni Mdogo so kuanza kuandamana kabla yako it’s true
Lakini dogo rudi hospitali…. Gonjwa lako linatibika ukipiga CPZ vizuri
Usiache pia zile misa z asubuhi… huwa zinakata sana mapepo
Tofsuti ya matajiri na maskini, hatakiwi kulialia, mbele ya VIP, maswala ya kulia kwa makelele ni ya watu wa uswahilini, pale anategemewa, asimulie mazuri ya mzee wake, utani kidogo, vimachozi kwa mbali! Kwa sababu Hari zao za maisha hazitabadirika kisa baba kafa,! Ukwasi upo pale pale, sie wa uswazi tunalia na kupiga mayowe! Tukifikiria maisha yatakavyokuwa baada ya marehemu!Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Sawa Tajiri.Tofsuti ya matajiri na maskini, hatakiwi kulialia, mbele ya VIP, maswala ya kulia kwa makelele ni ya watu wa uswahilini, pale anategemewa, asimulie mazuri ya mzee wake, utani kidogo, vimachozi kwa mbali! Kwa sababu Hari zao za maisha hazitabadirika kisa baba kafa,! Ukwasi upo pale pale, sie wa uswazi tunalia na kupiga mayowe! Tukifikiria maisha yatakavyokuwa baada ya marehemu!
Siwezi kumpeleka Mtu mzima hospitalHuu USHAURI wako anza kwanza kumpa MGONJWA MWANDAMIZI na SUGU Mama yako Mzazi na akishapona kabisa (japo najua hawezi Kupima) rudi ndiyo UNISHAURI na Mimi.
Hii inaitwa Weka Tuweke.......... Kudadadeki.
Na utajiri ule aliupataje?Baba mwenye tabia za Baltazar nani akulilie
Hii si kweli mkuuBaba mwenye tabia za Baltazar nani akulilie