Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Ukweli ni kwamba walijua kitambo kuwa baba yao atafariki. Walipata nafasi ya kujiandaa. Walishahuzunika vya kutosha pia. Hope baba yao alishawaandaa kisaikolojia kwa hilo.

Pia kama ni kulia walishalia wiki moja kabla ya maziko. Walilia baba alipofariki rasmi. Walilia alipofika bongo. Walilia vyumbani. Walishalia vya kutosha. Pengine watalia tena wiki moja baada ya mazishi kwa kugundua kwamba baba hayupo tena
 
Sure
 
Hawana Point za kuongea wakati wanalia.

Baba kaacha Mboga 7 mambo safi kila kona...

Msiba hata ukikaa wiki 2 bado wataumudu kwa kila kitu
 
Kwasasa wanaona kawaida maana wanasoma akaunti na mali za marehemu, subiri waone watakavyoishi kwa kunyanduliwa maana Kinga haipo.
 
Sababu ni

Mosi, Watoto muda mwingi wapo boarding, Hivyo ukaribu wa kuishi au kuonana na mzazi kwa MWAKA ni mara chache.

Hivyo kutokana na kutokuonana kwa muda mrefu ,Hujenga gepu la ukaribu na upendo kwa watoto .

Pili,Uhakika wa kuishi bila Kumtegemea mzazi .

Watoto wanamidola maisha Yao supa ataanzaje kulia????
 
Kwa Mama yako Mzazi ulianza Kuandama kabla yangu.
Kiumri wewe ni Mdogo so kuanza kuandamana kabla yako it’s true

Lakini dogo rudi hospitali…. Gonjwa lako linatibika ukipiga CPZ vizuri

Usiache pia zile misa z asubuhi… huwa zinakata sana mapepo
 
Huu USHAURI wako anza kwanza kumpa MGONJWA MWANDAMIZI na SUGU Mama yako Mzazi na akishapona kabisa (japo najua hawezi Kupima) rudi ndiyo UNISHAURI na Mimi.

Hii inaitwa Weka Tuweke.......... Kudadadeki.
 
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Tofsuti ya matajiri na maskini, hatakiwi kulialia, mbele ya VIP, maswala ya kulia kwa makelele ni ya watu wa uswahilini, pale anategemewa, asimulie mazuri ya mzee wake, utani kidogo, vimachozi kwa mbali! Kwa sababu Hari zao za maisha hazitabadirika kisa baba kafa,! Ukwasi upo pale pale, sie wa uswazi tunalia na kupiga mayowe! Tukifikiria maisha yatakavyokuwa baada ya marehemu!
 
Sawa Tajiri.
 
Huu USHAURI wako anza kwanza kumpa MGONJWA MWANDAMIZI na SUGU Mama yako Mzazi na akishapona kabisa (japo najua hawezi Kupima) rudi ndiyo UNISHAURI na Mimi.

Hii inaitwa Weka Tuweke.......... Kudadadeki.
Siwezi kumpeleka Mtu mzima hospital

Lakini wewe upo hai na mateso yako tunayaona na bahati nzuri kesho utapona kwani lunatics mna misimu yenu

Mwezi mchanga ushaisha
 
Back
Top Bottom