Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Hakufa ghafla ndio sababu kiufup wameuguza kwa muda flan kwahyo walishajiandaa na matokeo kama ushawah uguza kwa muda utaelewa
 
Kwa hiyo mkifiwa na watoto hamta huzunika sababu mtoto hajakuachia madeni? Kuhuzunika au kulia hakutokani na hali ya uchumi bali kunatokana na ukaribu na uhusiano wa dhati na marehemu.
 
Account zao zinasoma vizuri
sure sasa hawa waafrika wengine utakuta mmoja kavalia dela ilo kapoteza na ndala mara katembea peku yaan taflan akiwaza mzee baba kasepa hana maisha tena lazma uchungu uzidi ila hawa wa mafuru unaskia my Daddy alkua Yanga 😃 hello yanga mpoo eeh kasindikizia hna kamkono kupungia wana yanga hahahaa life is so sweet mchaw bando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…