Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kwahiyo uliona wewe ndo mwenye haki ya kuwa na huyo binti na siyo makongoro?Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti wa kizanaki, akadai kuwa Makongoro amewahi kumtaka kimapenzi nikahisi ni uongo, ila nimeanza kumuamini baada kuona comment yako. Watoto wa wakubwa huwa wanakuwa na tabia ambazo sio nzuri.
Kuteka na kuweka watu vizuizini, mf Number, bibi TitiTunamuenzi kwa vitendo kwanza, Dodoma, St. gouge nk.
Angalia anachofanya Mwinyi Zanzibar halafu useme alibebwa.jamaa anaonyesha njiaWatoto wa Karume na Mwinyi walibebwa na system wakati watoto wa Nyerere hawajawahi kubebwa popote. Huyu Mwinyi alitoka shule tu na kupewa unaibu waziri baada ya baba yake kuondoka madarakani, na tangu hapo hajawahi kufanya kazi nyingine yoyote zaidi ya kuwa anateuliwa uwaziri miaka yote hadi sasa anakuwa rais. Alisomea udaktari lakini hajawahi kuandika prescription yoyte hata ya kutibu mafua.
Anachofanya sasa hivi na alifikaje hapo hayo ni mambo mawili tofauti. Katika watu takriban milioni 60 watanzania kuna watu ambao hawajulikani leo lakini wakipewa uongozi watafanya mambo mazuri sana; wanawezaje kuupata huo uongozi ndilo swali kuu hapa.Angalia anachofanya mwinyi zanzibar alaf useme alibebwa.jamaa anaonyesha njia
Rosemary Nyerere alikuwa Mbunge wa kuteuliwa mwaka 2000-2005 wakati wa Mkapa. Je baada ya kuwa Mbunge yeye mwenyewe binafsi alijiongeza kiasi gani? ukibebwa bebeka!!Watoto wa Karume na Mwinyi walibebwa na system wakati watoto wa Nyerere hawajawahi kubebwa popote. Huyu Mwinyi alitoka shule tu na kupewa unaibu waziri baada ya baba yake kuondoka madarakani, na tangu hapo hajawahi kufanya kazi nyingine yoyote zaidi ya kuwa anateuliwa uwaziri miaka yote hadi sasa anakuwa rais. Alisomea udaktari lakini hajawahi kuandika prescription yoyte hata ya kutibu mafua.
Umetaja mambo ambayo ama siyo ya kubebwa (kama kugombea ubunge wa Afrika ya mashriki) au ni peripherals tu (kama mbunge wa kuteuliwa) kwani hayana nguvu kisiasa kama ya naibu waziri au waziri kamili ambaye anakuwa na madaraka nchi nzima.Rosemary Nyerere alikuwa Mbunge wa kuteuliwa mwaka 2000-2005 wakati wa Mkapa. Je baada ya kuwa Mbunge yeye mwenyewe binafsi alijiongeza kiasi gani? ukibebwa bebeka!! Makongoro Nyerere alishinda ubunge wa Arusha mjini kwa NCCR mwaka 1995-2000. Je akiwa Mbunge ali behave namna gani kwa wapiga kura wake? Emily Magige amewahi kama mara 2 kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara?? je ali-perform vipi? Andrew na John (RIP) wamewahi kuwa na matatizo ya afya ya akili. Madaraka anasimamia miliki ya Nyerere huko Butiama. Je ulitaka wabebwe kwa kiwango gani?
Wao na baba yao hawakuwa na hawana nia ya kujinufaisha kwa lolote.Hiyo familia itazidi kuheahimika kwa moyo wao huo.Wanabodi, Salaam!
Kwa wabobezi wa saikolojia na sosholojia naombeni mniambie kwa nini tangu tupate Uhuru kisha kuungana Zanzibar na Tanganyika familia za Mwinyi na Karume tushapata marais mara mbili (Ally Hassan Mwinyi, Hussein Ally Hassan Mwinyi na Abeid Karume na mwanaye Aman Abeid Karume
Kwa familia ya Mwl Nyerere tangu ang'atuke nadhani mwaka 1985 hadi leo hakuna mtoto hata mmoja aliyeweza hata kufurukuta na kuingia kwenye tatu bora ya wagombea urais nchini - hata Madaraka Nyerere juzi tu kura za maoni kwa nafasi ya ubunge zilimtupa mbali kisha kamati kuu ya CCM haikurudisha jina lake.
Sasa, hii hali ya watoto wa mwasisi wa taifa hili kutopenya kwenye vinyanganyiro vya nafasi za uongozi zinatokana na nini?
Master plan wa assassintion naye kafanyiwa viilevile kalala Lupaso . Karma .Wakipata nafasi kubwa kubwa ndani ya Serikali watapata ushahidi dhahiri wa kisa cha kifo cha mzee wao. Watawala walishakula kiapo cha kutunza chanzo cha kifo.
Kuna jambo halipo sawa kuhusu watoto wa Mwalimu manake hata wale waliowahi kupata kuwatumikia wananchi hawakuonesha consistence yoyote. Na kuhusu Hussein Mwinyi, CV yake inasema tofauti na unachosema wewe. Kwa bahati mbaya sifahamu taaluma ya afya inavyoendeshwa endeshwa lakini CV ya Hussein inaonesha badala ya kumaliza MD, amefanya kazi Muhimbili kama Registral na MD, Kaiuruki kama Specialist na Lecturer. CV yake inaonesha amepata nafasi ya kwanza ya uteuzi miaka 7 baada ya kuwa ameshachukua MD (awamu ya Mkapa).Anachofanya sasa hivi na alifikaje hapo hayo ni mambo mawili tofauti. Katika watu takriban milioni 60 watanzania kuna watu ambao hawajulikani leo lakini wakipewa uongozi watafanya mambo mazuri sana; wanawezaje kuupata huo uongozi ndilo swali kuu hapa.
Hali itakuwa hivo hivo hata kwa watoto wa Magufuli. Save this comment for future use.
OK, kweli?Wao na baba yao hawakuwa na hawana nia ya kujinufaisha kwa lolote.Hiyo familia itazidi kuheahimika kwa moyo wao huo.
Tusidanganyane. Makongoro ameshawahi kufanya siasa lakini zikamshinda. Kuna binti mwingine wa Mwalimu alishawahi kuteuliwa ubunge lakini haku-shine.Wao na baba yao hawakuwa na hawana nia ya kujinufaisha kwa lolote.Hiyo familia itazidi kuheahimika kwa moyo wao huo.
Ukiwa na nafasi chochote uwatendeacho watu familia yako uliyoiacha duniani ndo itaathirika.Kizazi cha mobotu,bokasa,idiamini na madikteta wote hakina heshima tena duniani hakisafishiki kizazi na kizazi zinaitwa dead family uzao mfu. Familia ya bob marley, mandela, uitwa living family familia zinazoishi milele.And always karma is a bitch
Nyerere alikuwa mjanja ila hakupenda watoto wake wawe kama yeye.Wanabodi, Salaam!
Kwa wabobezi wa saikolojia na sosholojia naombeni mniambie kwa nini tangu tupate Uhuru kisha kuungana Zanzibar na Tanganyika familia za Mwinyi na Karume tushapata marais mara mbili (Ally Hassan Mwinyi, Hussein Ally Hassan Mwinyi na Abeid Karume na mwanaye Aman Abeid Karume
Kwa familia ya Mwl Nyerere tangu ang'atuke nadhani mwaka 1985 hadi leo hakuna mtoto hata mmoja aliyeweza hata kufurukuta na kuingia kwenye tatu bora ya wagombea urais nchini - hata Madaraka Nyerere juzi tu kura za maoni kwa nafasi ya ubunge zilimtupa mbali kisha kamati kuu ya CCM haikurudisha jina lake.
Sasa, hii hali ya watoto wa mwasisi wa taifa hili kutopenya kwenye vinyanganyiro vya nafasi za uongozi zinatokana na nini?
Muosha uoshwa,nae muosha ataoshwa.merry goes aroundMaster plan wa assassintion naye kafanyiwa viilevile kalala Lupaso . Karma .
Mtu mwenye akili timamu hawezi ruhusu wanae kwenda ikulu.Ikulu ni mzigo,ni lawama,ni ufungwa,hakina kitu chenye thamani maishani Kama kuwa huruNyerere alikuwa mjanja ila hakupenda watoto wake wawe kama yeye.
Najua sijaeleweka ila nitarudi...