Kwanini watoto wa Mzee Mchonga hawana nyadhifa kubwa Nchini?

Baada ya kushuhudia madhila yatokanayo na siasa na unafiki wake ndo maana walishindwa.Makongoro alipata kuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia Nccr Mageuzi.Wakati huo baba yake bado yupo, ukipata jibu kwanini bb nccr na siyo ccm utakubaliana na mimi
Sasa kwanini basi hakuendelea ku-excel kupitia upinzani?! Ni wanasiasa wangapi leo hii wapo juu lakini uwezo wao muda wote umekuwa ni kupitia huko huko upinzani?!
 
Mtoto wa Nyerere!!!
Makongoro!!!
 
Hivi mtu kama Hussein Mwinyi mtasemaje kwamba anashikwa mkono wakati aliteuliwa kuwa naibu waziri baada ya kushinda uchaguzi wa ubunge jimboni?! Ikiwa hata Magufuli ambae hakufahamika na yeyote aliteuliwa unaibu waziri baada ya kushinda ubunge huko kwao; kwanini tuone mtu kama Mwinyi anashikwa mkono wakati na yeye amepitia njia ile ile wanayopitia wanasiasa wengine?
 
Hussein Ali Mwinyi na Amani Abed Karume wamepata walichopata kwakuwa wana sifa za kutosha.
Makongoro na Madaraka wamekosa walichotaka kwenye siasa sababu hawana sifa.
Kwenye siasa unashinda kwa sifa zako binafsi hata kama mzazi wako alikuwa kiongozi mkubwa.
Hakuna kitu kigumu kwenye.siasa kama za Tanzania kuchanua wakati mzazi wako alikuwa kiongozi mkubwa.
Mara nyingi wapinzani wako watakusema vibaya kuwa unabebwa nk.
Lakini ukiwa na sifa njema wapinzani wako wanakwama.
Ushindi wako unatokana na mambo mengi yanayokuhusu wewe mwenyewe.
 
Case closed.
 
KATIKA MAMBO AMBAYO CCM NAWAONA WANAFIKI KATIKA HILO JAMBO WANASHINDWA KUWAPA HATA NAFASI MUHIMU SERIKALI NA NDIO MAANA TAIFA LINAENDELEA KUWA DUNI KIUCHUMI BABA WA TAIFA KANUNA HUKO
Ndiyo hapa uko sahihi, mzee wa Taifa kakunja roho, yaan aliowaachia madaraka wanagawana vyeo kwa watoto wao, halafu yeye jasho lake halina maslahi kwa wanae.
 
Kikwete tunajiandaa na tumejiandaa kweli kweli, uongo ndugu zanguuu?
 
Ndio muelewe tukisema nyerere alikuwa mzalendo wa kweli. Anamapungufu yake kama binadamu ila alikiwa ni mzalendo sana kwa taifa lake.

Ndio maana hata watoto wake hakutaka wajihusishe na siasa kwasababu sio biashara ya familia kama hawa wa sasa ambao baba mama mtoto wote wanataka madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…