fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
kumtongoza msichana ni tabia isiyo nzur??Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti wa kizanaki, akadai kuwa Makongoro amewahi kumtaka kimapenzi nikahisi ni uongo, ila nimeanza kumuamini baada kuona comment yako. Watoto wa wakubwa huwa wanakuwa na tabia ambazo sio nzuri.