Kwanini watoto wengi wanaua mama zao?

Kwanza mengi uliyoongea ni kweli ila sisi tuna mafundisho tofauti ya kuwa usimuombee mabaya wala kumtamkia mabaya mwanao maana wewe ni mzazi na maneno yako yana nguvu sana kwa mtoto

Ukiwa unamlaani kila wakati au maneno mazito ya kashfa mwisho huwa mbaya

Lingine kuna wazazi huwa hawana aibu unakuta msichana bado mdogo mama anachepuka na jinsi mtoto anapozidi kukua anayaona yote

Mwisho wake mtoto anavunja unto na mama ndio kwanza anaingiza hawara nyumbani na mtoto akisikia kelele
Mwisho nae anatafuta fursa na mwanaume anakula kimasihara

Sasa mama anapokuja kugundua mtoto anamaliza kazi na huenda kwa msaada wa baba/mpenzi
Sasa hapo inataka detectives wa hali ya juu kupata mzunguko wote la sivyo kesi inaisha kwa mtoto kamuuwa mama yake kwa ajili ya mali

Na mahakama huwa zimo humu humu yaani tunawekewa picha tunafikia hukumu leo leo [emoji24][emoji12]
 
Wengine ni ushirikina tu. Masharti wanayopewa.
 
Ilitakiwa iwe hivi

Kwa nn wachaga wengi wanaua mama zao? Tuanzie hapo kwanza.
 
Hakuna fundi wa kulea ila lipo tatizo kwenye makuzi ya watoto

Tuwalee watoto wakue na kumjua Mungu ili hata wasipohofia walimwengu wakumbuke kuna Mungu na sheria zake

Na Mungu atusaidie
 
Ni watoto kuua ma single mama

Nafikiri muwashauri ma single mama wanapopambana kupata mali wasisahau kuwa na wanaume Ili kuondoa nafasi ya mtoto kufikiria akimuua mama Basi atabaki na mali maana anajua baba atabaki pia
 
1.Ndugu una story ngapi kuzipa hali ya wingi za mauaji hayo?
2. Hivi unaanzaje kumbamiza mzee mpaka umuue.. unaanzia wapi? Hawa wazee wenye pesa na biashara wote wandava.. mahitler. Wamekaa kichinjaji chinjaji. Hata sumu wanameza. Mabilionea wazee ndugu huwezi wasogelea ukafanya uzandiki huo.
Waliokaa nao karibu wanaume wenye pesa wanaelewa.
 
Watoto wengi!???
Tangu 2015 mpaka leo ni kesi mbili tu zimetokea,hao watoto wengi walioua wazazi wao,weka takwimu hapa.
 
Mbona haya Matukio ni Kanda ya KASKAZINI TU!!! Halafu Wanawake wote wanaouawa hawana waume zao????????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Laana hizo
 
Iko hivi,hao wamame wanalipwa ile kitu inaitwa Karma,malipo hapahapa duniani,hao wamama waliua waume zao kisirisiri ili watumbue mali,sasa na wao wanauliwa na watoto zao,na watoto watafia getezani,ngoma droo
 
Hujaandika kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…