Kwanini watu duniani wanakimbilia Ulaya na Marekani kuliko China, Urusi na washirika wake?

Kwa wa shamba kama wewe ndio hili jibu sahihi kwa uwezo ulipoishia, ila hao Diaspora wengi wakifika hizo nchi wanatoka na kwenda nchi ambazo Human index Development ni kubwa kama Nordic countries japo hali ya hewa si nzuri.
Hata wachina wanakimbilia ulaya !! Amrika kusini wanakimbilia USA!? Atakaebisha abishe !! Maisha yapo ulaya na Amerika
 
Kwa wa shamba kama wewe ndio hili jibu sahihi kwa uwezo ulipoishia, ila hao Diaspora wengi wakifika hizo nchi wanatoka na kwenda nchi ambazo Human index Development ni kubwa kama Nordic countries japo hali ya hewa si nzuri.
Unaendeshwa na mhemko wa kidinin!??hujui kitu zaidi ya juzuu!?kwani nordin country sio ulaya!?? Hahaha pooooor you
 
Hajui anachoongea wauliza waafrika wanavyoteseka Dubai
 
We jamaa ni mwehu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi Ila hakuna taifa raia hawataki kwenda US
 
Hujui duh
 
Uko sahihi Ila hakuna taifa raia hawataki kwenda US
Kila mtu Ana dreams zake na Dream ndio zinakupeleka mahala fulani, but definitely wanaoangalia ubora wa maisha, Elimu, Afya na vitu vingine muhimu zaidi kwa Binadamu yapo maeneo bora zaidi.
 
Mkuu huyo mhindi mwenye pesa nyingi Middle East utajiri kaupatia huko huko, soma Historia yake hapa


Sio yeye tu wengi hela wamezipatia hapo na sababu ni easy kuijua Miaka yote hiyo Dubai hakukua na kodi ni rahisi kuanzisha biashara na watu wengi kuja kununua,

Hata USA sababu unayoona Mabilionea wengi wanakimbilia Kuna majimbo ni Tax Free, same kwa Ulaya Nchi kama Monaco Mabilionea kibao wanahamisha ofisi huko.

Wahindi wanatengeneza vitu India wanapeleka Dubai wanauzia Africa na Dunia kwa ujumla, utajiri wanaupatia pale pale na sio kwamba wanaenda Dubai kustarehe kama unavyodhani.
 
Hata wachina wanakimbilia ulaya !! Amrika kusini wanakimbilia USA!? Atakaebisha abishe !! Maisha yapo ulaya na Amerika View attachment 2576677
China ni robo ya Dunia, hakuna Cha ajabu wakitapakaa dunia nzima, wapo pia wazungu wengi wanazamia Asia wanaenda kufanya kazi kibao hadi umalaya, Asia Kuna destination kibao kuanzia Hong Kong, Singapore, Dubai Na kwengineko.
 
Unaendeshwa na mhemko wa kidinin!??hujui kitu zaidi ya juzuu!?kwani nordin country sio ulaya!?? Hahaha pooooor you
Mimi na wewe nani anaendeshwa na mihemko? Rudia kusoma comment yako uliongelea ulaya? Ilikuwa specific nchi za Magharibi, sababu kama hoja ni Ulaya Urusi pia ni Ulaya.
 
Acha upngo waukraine wamekimbilia ulaya, hizo nchi za gulf zina labou force ndogo ndo maana zinachukua wafanyakazi wakafanye kazi
 
Acha upngo waukraine wamekimbilia ulaya, hizo nchi za gulf zina labou force ndogo ndo maana zinachukua wafanyakazi wakafanye kazi
Russia ndio nchi iliopokea wakimbizi wengi zaidi toka Ukraine

As of 18 October 2022, according to UNHCR data, the countries receiving the largest numbers of Ukrainians were Russia (2.77 million), Poland (1.5 million), Germany (1 million) and the Czech Republic (0.4 million),[1]


Jengeni mazoea ya kufanya utafiti hata kidogo, hizo ni data za UNHCR wenyewe.

Pia middle East ni kote kote wapo wanaokwenda kama wafanyakazi na wapo wanaokwenda kutafuta opportunities, si rocket science hakuna mfanyabiashara ambaye hataki kufanya biashara sehemu isio na kodi.
 
Hao unaosemea ni ethnic russia waliokua wanaishi ukraine ya mashariki sio ethnic ukraine
 
Hao unaosemea ni ethnic russia waliokua wanaishi ukraine ya mashariki sio ethnic ukraine
Na ndio kwenye Vita ulitakaje? Sio tu Ukraine Russia ni Nchi ya 4 duniani kwa watu wengi kukimbilia

  1. United States — 50.6 million
  2. Germany — 15.8 million
  3. Saudi Arabia — 13.5 million
  4. Russia — 11.6 million
  5. United Kingdom — 9.4 million
  6. United Arab Emirates — 8.7 million
  7. France — 8.5 million
  8. Canada — 8.0 million
  9. Australia — 7.7 million
  10. Spain — 6.8 million
Hivyo mtu yoyote anayefikiri watu hawataki kwenda Russia ni mtu anayekesha kwenye ulimwengu wa magharibi.

Kuna nchi kibao za Balkan na Asia ya kati nchi kama Tajikistan, Uzbekistan na wengineo Urusi ndio kimbilio lao, ndio sehemu watu wanapoenda kutafuta maisha.
 

  1. umeona dominance ya usa hapo lakini? Its massive. Ukiongeza na hao washirika wake ndo hatari.
 

  1. umeona dominance ya usa hapo lakini? Its massive. Ukiongeza na hao washirika wake ndo hatari.
Hakuna aliekataa watu hawaendi USA ama Ulaya hoja ni kwamba watu wanakimbilia huko tu kitu ambacho sio kweli.

Pia USA ni nchi kubwa ina watu milioni zaidi ya 300 ndio Maana Figure zipo inflated uki adjust kwa percentage ya population inakuja hivi.
 
USA na Europe ndio walio/wanao vuruga amani ya dunia hii.

watu wanaenda kwenye mataifa yao kama wakimbizi nk baada ya kuvuruga amani, kupora mali n.k kwa mataifa ya wazawa.

Na hawana budi kuwapokea watu hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…