Kwanini watu duniani wanakimbilia Ulaya na Marekani kuliko China, Urusi na washirika wake?

Ulaya, Canada, Australia na Marekani kunawakilisha kiwango cha ustaarabu mahali binadamu wa karne ya 21 anatakiwa kuishi.
 
Ni Mind set mkuu hiz Media zimeharibu sana watu. Ila ni suala la muda tu kabla mchina hajatake over kila kitu. Ule uhuru mkubwa na vinavyoonyeshwa kwenye TV vinadanganya watu sana.
 
Swali zuri sana tena hata hiyo Urusi China Iran Na wengineo raia wake wanaitafuta ulaya kama ilivo sisi hapa Africa,
 
Nchi za nje zipo nyingi ila kiwanja ni kimoja tu-USA 🇺🇲. Land of the free, home of the brave.
Tofauti ya western life ni ndogo sana sio kama unavofikilia kama upo bongo na unahisabu uturuki pia ni western nakubaliana na wewe,Ushafika Scandinavian wewe?? Au Germany The Netherlands UK NK
 
[emoji120][emoji120][emoji120]Akili kubwa
 
Ulaya, Canada, Australia na Marekani kunawakilisha kiwango cha ustaarabu mahali binadamu wa karne ya 21 anatakiwa kuishi.
Hizo nchi za magharibi ndio Wanaosababisha vita kwenye nchi za wengine wakati wa uporaji.

Ni sawa na Jambazi linalotoka Sehemu Fulani usiku kwenda kuvamia nyumba ya mtu sehemu nyingine na Kisha kuiba Mali na Fedha na kurudi nyumbani kwake.
Asubuhi wale walioibiwa Mali zao bila kumjua jambazi Wanakwenda kwake kuomba Msaada wa kupatiwa hata Hela ya chakula mana pesa zao zimeibiwa .
Jambazi linatoa pesa kidogo kati ya zile alizompora na kumsadia mhanga yule yule.
 
Siipendi USA...
Ila ntafanyaje nihamie huko USA? Alisimka marytina
Hii imesadifu kisawa2 ule msemo: ^Usimtupe jongoo, ukautupa na mti wake,^ but pia inakanushika hapa: ^Ukilipenda boga, basi lipende na ua lake.^
 
Which means, matendo ya JAMBAZI jahili huyo yanahalalishwa na hao OMBA2. Nasikia waziri wa fedha anataka kwenda tena kuiomba hiyo misaada AGAIN! 🙂
 
The funniest thing is, hao Wazungu wenyewe wanatamani sana kuja Afrika. As a matter of fact, our continent is full of relatively all kinds of material resources and human potential.

Since the dawn of colonialism, capitalism and other forms of exploitation have been trying very hard to amass enormous wealth and exert absolute dominion by making their prey feel inferior, useless and eventually subservient to them.

Unfortunately, most people have fallen into their deadly trap.
 

hoja ni kwamba watu wanakimbilia usa sana kuliko sehemu nyingine duniani. Hiyo percentage ya wa qatar hapo ukiiconvert kwenye namba ni kama watu 2.5m tu wakati kwa usa takwimu zinaonesha ni 55.6m kama ulivyoleta. Kama suala ni population na nchi kubwa mbona urusi na china ni kubwa pia lakini namba zake si umeziona mwenyewe? Kumbuka pia urusi ni miongoni mwa mataifa ambayo raia wake wanaongoza kwa kuyakimbia duniani.
 
Tunakimbilia kwa walipora resources zetu kipindi cha ukoloni.
In short tunakula tulipopeleka mboga.
Sasa China na Russia hatuwadai.
 
Ni Mind set mkuu hiz Media zimeharibu sana watu. Ila ni suala la muda tu kabla mchina hajatake over kila kitu. Ule uhuru mkubwa na vinavyoonyeshwa kwenye TV vinadanganya watu sana.
Hao wachina wako huku kigoma vijijini
 
Tunakimbilia kwa walipora resources zetu kipindi cha ukoloni.
In short tunakula tulipopeleka mboga.
Sasa China na Russia hatuwadai.
Usa na canada waliitawa nchi gani ya africa?
 
Hao wachina wako huku kigoma vijijini
Bro wachina wapo huko ni mkakati maalumu wa serikali yao baada ya miaka 50 ijayo wanataka kucoctrol dunia. Huyo mchina unaemuona hapo yupo kimkakati. Kuna kitu wanaita sleeping spy. Hao watakuja kuwa wachina wa Tanzania. watakuwa wamewezeshwa na serikali yao na watakuwa na nguvu kuliko wenyeji na watakuwa wamepenya kwenye vyombo vyetu vya maamuz mpaka bungen kama unavyowaona Wahindi leo. Na kwasababu sisi ni mang'ombe tumelala watatuongoza. Watakuwa na elimu pesa na maamuz na experience. Sisi tutabaki tu kujidanganya tajir namba moja Tanzania ninani ni Mo lakin hawa Black hamna kitu.
 
Logic hapo ni kwamba Qatar ni ndogo ni kama Wilaya ama Mkoa wa Tanzania wakati USA ni kama Muunganiko wa Nchi 52.

Ndio Maana wakaweka Hio ratio pia kuonesha nchi nyengine zinapokea wahamiaji wengi kuliko kawaida
 
Logic hapo ni kwamba Qatar ni ndogo ni kama Wilaya ama Mkoa wa Tanzania wakati USA ni kama Muunganiko wa Nchi 52.

Ndio Maana wakaweka Hio ratio pia kuonesha nchi nyengine zinapokea wahamiaji wengi kuliko kawaida
hoja kuu ya mleta mada ni kwamba marekani ni kimbilio la wengi compared to its fellow superpowers na kawazidi kwa mbali sana hata uki consider factor nyingine kama population na geographical area kama ulivyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…