Kwanini watu duniani wanakimbilia Ulaya na Marekani kuliko China, Urusi na washirika wake?

Wachina wanashindana na wabongo kuuza urembo na earphones Kariakoo [emoji1787]
 
Kila mtu Ana dreams zake na Dream ndio zinakupeleka mahala fulani, but definitely wanaoangalia ubora wa maisha, Elimu, Afya na vitu vingine muhimu zaidi kwa Binadamu yapo maeneo bora zaidi.
Yataje hayo maeneo bora zaidi tuyajue
 
Urusi wakanywe viroba mkuu?
 
Putin mwenyewe amekimbizia mabint zake Switzerland, siyo St. Petersburg, wala China, wala South Africa, wala India (BRICS).
 
Kwanini sijawahi kuwaza kuishi nchi nyingine? 🤔
Kwamba nimezoea kuteseka 🤔
 
Kwanini sijawahi kuwaza kuishi nchi nyingine? 🤔
Kwamba nimezoea kuteseka 🤔

Sio lazima uishi ila hakikisha umekanyaga nchi ya ahadi hata mara moja- USA. Huko vichochoroni Dubai sijui China sijui South Africa walanguzi wanaenda kila siku.
 
Sio lazima uishi ila hakikisha umekanyaga nchi ya ahadi hata mara moja- USA. Huko vichochoroni Dubai sijui China sijui South Africa hata walanguzi wanaenda kila siku.
Kiukweli wewe tembea sana ila kama ikiwa bado haujaitembelea usa wewe bado itakuwa bado haujatembea
 
Sio lazima uishi ila hakikisha umekanyaga nchi ya ahadi hata mara moja- USA. Huko vichochoroni Dubai sijui China sijui South Africa hata walanguzi wanaenda kila siku.
Kiukweli wewe tembea sana ila kama ikiwa bado haujaitembelea usa wewe bado itakuwa bado haujatembea
 
Yataje hayo maeneo bora zaidi tuyajue
Nimeshataja mifano huko juu mkuu, comment no 72 unaweza kubofya hapa

 
Sababu ndio tuna ambiwa kila kicho kizuri kipo ULAYA na US au CANADA na Vibaya na maisha DUNI yapo DUNIA ya tatu.

Lkn ukweli tia mguu huko ndio unakwenda kukutana na reality ya maisha ya kweli ambayo sio yakwenye TV au Movie unakutana na really life unajiuliza mbona sio kama nilivyo kuwa na sikia kulivyo.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Wachina wanashindana na wabongo kuuza urembo na earphones Kariakoo [emoji1787]
Hebu fikiria, halafu uniambie niende China au sijui India thubutu, tutazamia meli kwenda ulaya magharibi au marekani ambako uchumi wao umepea na kusambaa kwa mtu mmoja mmoja.
 
Hii ndio akili ya kijinga watanzania waliyobaki nayo, kwa kadri unavyo concrete kujadili mambo ya hovyo na kijinga, ndivyo yanavyo ku mold kuwa hivyo. Kwa hiyo wote wanaokuja USA ni upinde?
Kwahiyo mtu kusema anaenda kufanya biashara china ni ujinga? Daah! Tuhuma za upinde zifikiriwe KWa kina
 
Ukifika ulaya mara ya kwanza unaweza kumlaumu Mungu!!! Ukadhani aliwapendelea wazungu!! Amin Amin nakwambia !! Hawa jamaa wamebarikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…