Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
🤣🤣🤣 "Salamu baba mi mwanao naandika waraka kwa maana hutaki vikao nahitaji majibu nikihisi ni haki yangu najisikia vibaya kusikia unaishi na sina ngao"Sometimes ni wapuuzi. Kama wale wa kusema Mungu hayupo tuwaangalie tu?
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat!!!🤣🤣🤣 "Salamu baba mi mwanao naandika waraka kwa maana hutaki vikao nahitaji majibu nikihisi ni haki yangu najisikia vibaya kusikia unaishi na sina ngao"
Dizasta vina: Hatia VI
Tena wajinga wakipata madaraka/power ni hatareeogopa kundi la wajinga
Ni wivu tu sio kitu kingineKatika jamii, watu wenye IQ kubwa mara nyingi hukutana na upinzani kutoka kwa wengine. Je, hii inasababishwa na wivu, hofu, kutokueleweka kwa mawazo yao, au ni changamoto ya kijamii?
Je, tatizo liko kwa watu wenye IQ kubwa au kwa jamii inayo
wapinga? Karibu mdau wa JF Tupate maoni yako!
secretarybird umemsahauje?Tuanze na mugabe, lucha,mwalimu julius nyerere,sweety candy,nelson mandela,jomo kenyatta,mwinyi wa zamani,mkapa ,huyu kijana wa sasa anavaa kijeshi,kagame,museven,nawapigania uhuru wote .
Aise kabisa Yani ili watu wamkubali labda awe tajiri na watu wenye low IQ huwasifia watu wenye IQ kubwa na mafanikio kwa maslahi binafsiIntelligent people are hated simply because they are intelligent.
They have great influence on society due to the good decisions they make.
😂 Kwanini?Hata mimi huwa siwapendi magenius.
Sasa huyo mzigo mkubwa wa mawazo huwa unamchago gani kwake mwenyewe au Kwa jamii msije mkawa mnachanganya IQ na stressNadhani ni mitazamo tu inakinzana; mtu typical mtaani kipaumbele chake kimawazo ni pesa, chakula, mavazi na mbususu wakati IQ kubwa inawaza extra mile; itahangaisha ubongo kujua mambo magumu magumu kama vile maana ya maisha yenyewe na sio kuishi tu na kadhalika na kadhalika
Hawa Watu wametwishwa mzigo wa mawazo ambayo sisi wengine hatuwazi lazima mkikutana utaanza kujihisi nyani na utamaindi
IQ kubwa zikiwa nyingi na zikakusanyika pamoja mchango kwa jamii ni rahisi kuuona, tatizo nadhani kwa muktadha wa afrika hawa Watu ni wachache na isolated sana kiasi kwamba mmoja mmoja kufanya mabadiliko ni ngumuSasa huyo mzigo mkubwa wa mawazo huwa unamchago gani kwake mwenyewe au Kwa jamii msije mkawa mnachanganya IQ na stress
Na kwenye maisha yake binafsi je?IQ kubwa zikiwa nyingi na zikakusanyika pamoja mchango kwa jamii ni rahisi kuuona, tatizo nadhani kwa muktadha wa afrika hawa Watu ni wachache na isolated sana kiasi kwamba mmoja mmoja kufanya mabadiliko ni ngumu
Mfano mzuri ni Marekani kutengeneza bomu la nyuklia Hilo halikuwa wazo la mtu mmoja na juhudi zake binafsi, vilikutana vichwa vingi vikachakata kweli kweli mpaka kikaeleweka
Bongo hapa usijeshangaa wilaya nzima kama temeke wenye IQ inafika 100 hawazi hawazidi watano tena wanajihusisha na vitu tofauti kabisa hata wakikutana hamna wa kumuongezea mwenzake
Ukiona hivyo ujue ana matatizo ya akili na sio IQ kubwa yaani ushindwe kupangilia maisha yako binafsi harafu uwe na IQ kubwa hapohapoNdugu yangu, yaani kwa mtu wa kawaida mbususu tu inakutoa kwenye reli, imagine mtu mwenye IQ kubwa na mzigo wa "knowledge" aliyonayo..... Kwa muktadha ya nchi zetu za Afrika IQ kubwa ni mzigo maana mwisho wa siku hawa Watu nao wanahitaji fursa i. e. Elimu ya kuzinoa IQ zao, bajeti ya kufanyia research zao na kadhalika
Mtu anaweza akawa na IQ kubwa na kichwa kikawa kinachakata mahesabu makubwa lakini ikija katika uchumi binafsi ni mbovu wa kutunza pesa na most probably ni mrahibu (IQ kubwa sijui kwanini inavutia sana urahibu)
Naona bado hujaelewa jinsi vichwa vya hawa Watu vinavyofanya kazi (sio wote lakini)Ukiona hivyo ujue ana matatizo ya akili na sio IQ kubwa yaani ushindwe kupangilia maisha yako binafsi harafu uwe na IQ kubwa hapohapo
Nani kakwambia hao uliowataja wana IQ kubwa? Nchi za wenzetu wenye IQ kubwa wanatengeneza roketi na mabomu ya nyuklia, sisi ni wanasiasa?Tuanze na mugabe, lucha,mwalimu julius nyerere,sweety candy,nelson mandela,jomo kenyatta,mwinyi wa zamani,mkapa ,huyu kijana wa sasa anavaa kijeshi,kagame,museven,nawapigania uhuru wote .
Sawa je kwenye maisha yake binafsi anasolve vipi changamoto zake na kupiga hatua kimaendeleo?Naona bado hujaelewa jinsi vichwa vya hawa Watu vinavyofanya kazi (sio wote lakini)
Hili ni jambo linalohusiana na uhusiano kati ya akili ya hali ya juu na changamoto za kijamii. Kwa ufupi:
1. Uelekeo mkubwa katika taaluma fulani
Watu wenye IQ ya juu mara nyingi hujikita sana katika taaluma zao, wakitumia muda mwingi katika fikra ngumu au utafiti.
Hii inaweza kusababisha kupungua kwa mawasiliano na jamii, kwani wanathamini sana maarifa kuliko mwingiliano wa kijamii.
2. Changamoto za mawasiliano na kueleweka na wengine
Akili ya hali ya juu mara nyingi huambatana na mawazo ya kina au kasi kubwa ya kufikiri, jambo linaloweza kuwafanya washindwe kuelewana na watu wa kawaida.
Hii inaweza kuwafanya waonekane kama watu wanaojitenga au wenye dharau, hata kama siyo nia yao.
3. Mwelekeo wa kutotii kanuni za kijamii
Watu wenye IQ kubwa mara nyingi huhoji mila na kanuni zilizopo, wakiziona kama vikwazo vya maendeleo.
Kwa sababu hii, wanaweza kuonekana waasi au wasio na mwelekeo wa kawaida wa kijamii.
Kwa hiyo, ingawa IQ ya juu inaweza kuleta mafanikio makubwa katika sayansi, sanaa, au falsafa, mara nyingi husababisha changamoto za kijamii kutokana na tofauti za kimtazamo, mawasiliano, na vipaumbele vya maisha.
Ajira ajira ajiraSawa je kwenye maisha yake binafsi anasolve vipi changamoto zake na kupiga hatua kimaendeleo?