Ni nyingi sana kiasi kwamba inatia uvivu kuzijibu. Kuna mshabiki wa Eminem mpaka akaamua kuchukua hatua ya kujiua kisa Eminen alikuwa hajibu, kumbe zilikuwa nyingi hakuziona zake....
Subiri utaona km VP waniuzie ID zao nianze kazinajua ukiwa star nawe utakuwa kama wao...unaweka post then unapita hivi
MADAME hawez kureply kwa kweli... ana jiproud sana
Nae huyo ni celebrity?Mbona Le Mutuz ana-reply. Jaribu uone.
Sawa utaona...napanda chat taratibu Jana asubuhi tu nilikuwa na "like" 28 hebu kaangalie profile langu uone...nnavyokuja speedhaha sasa ww unataka ustar wa zali la mentali,,nakuambia ukipata ustar kwa hustle zako utakuwa kama wao tu,unatoa post au link ya video yako,then unawaachia kazi mashabiki wapigane
Ndio.....K ***** mbichiwauza K... ukiwa unamaanisha wauza KARANGA au?
how about those top celebrities?
daa huyo jamaa aliyejiua alikuwa desperate sana akisubiri ajibiwe comment
Labda kuna shida ya ufahamu juu ya kujibu au kuchangia mambo.lkn ni vizuri wakajibu na kuchangia kwan hapo pia tunawapima uwezo walionao ktk jamii na hata kuitangaza nchi yao ugaibuni!mastaa mclale jamani uwanja u wazi.