KUNA MASHABIKI NA MASHABIKI MAANDAZI NA KUNA MAMBO YA KUJIBU WENGINE MAGUMASH TU
Mara kibao anajibu comments za ma followers wake. Hata mini alishawahi kunijibu, nilimuuliza kama ana plan ya kutembelea Tanzania?really kwa tyresse? ngoja nimlike niwe naccoment vitu vya maana nione
kwa mark zuckerberg anatakiwa ajibu sababu yy ndio baba wa facebook
Mara kibao anajibu comments za ma followers wake. Hata mini alishawahi kunijibu, nilimuuliza kama ana plan ya kutembelea Tanzania?
Akajibuu oooh Kilimanjaro & zanzibar..definetly i will visit but not soon.
Superstar wa kitaaMbona mimi nnajibu za mashabiki wangu?
hata lady gaga nilishawah sikia anamafans waliomzigia kiasi cha hata kukubali kulala nje ya nyuma yake
naye ni star???????Mi kweli hata @Lara1,naye kujibu ni utata.
Unamuonaje Humu ndani?,akitokea tuu, angalia jinsi tunavyo kesha na senema bubu zakenaye ni star???????
Nae huyo ni celebrity?
cc @w.j. malecelaMbona Le Mutuz ana-reply. Jaribu uone.
Mi nimependa jinsi ulivyoweka ID yako halisi,kwa maana humu kuna watu maarufu wengi ila wapo kwa ID feki.- Sasa wewe unaweza kujilinganisha na mimi? Please
le Mutuz
Hawakujibu ila unawekewa kufuli.Kama unataka ujibiwe pita uwatukane kwenye page zao. kila siku we tukana tu
asubuhi mpaka jioni tukana
Hawakujibu ila unawekewa kufuli.