Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

Ni utoto na ubaguzi unakusumbua.

Kichwani mwako tayari kuna dhana ya kwamba hao watu sio wa level zako ni watu wachini ndomana unaona wanakusumbua.

Naamini ukikutana na jamii ambayo akili yako inahisi ni wenye status yako hata wawe 1000 utasalimiana nao. Au ukutane na watu wenye kipato kizuri hutaona wanakusumbua.

Kuishi mjini kumetufanya tujione tunajua sana kumbe tumejaza ujinga mwingi Kichwani.
 
Mkuu ni levels tu za kimaendeleo, salamu sasa tunafikiria iwe kwenye sehemu ya usumbufu, nuisance, punishable by law
 
Bara walau bado Wana utu,zamani maisha yalikua hivyo tz,mkikutana njiani hamjuani mnasalimiana tu,dar watu Kama mbuzi wanapishana tu Tena hata wakiwa wanaishi jirani,utu na maadili tz vinapururuka kwa kasi,ndiyo maana ubakaji na mauaji yamekua mengi
 
Hakuna wachafu kama watu wa Dar.....u
Shoga kwenu kulawitiana nyinyi
Mnajiona wajanja sana
 
Wamo humu? Huoni pia unapoteza nishati yako na muda kupeleka ujumbe kwa wasiohusika? Hamchekani!
 
Hakuna wachafu kama watu wa Dar.....u
Shoga kwenu kulawitiana nyinyi
Mnajiona wajanja sana
Haya uliyoandika yana uhusiano gani na huu uzi, au unataka kuzitangaza tabia zako?
 
Dah sisi kwenye tunafundishwa kua tupende kusalimiana sanaa ata kma umepita na kupituka ukirudi msalimie muislamu mwenzako tena

Dah we hujui kua Salamu huleta upendo na faraja baina ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…