Kwanini watu walioajiriwa serikalini wengi wana uwezo mdogo wa akili?

Kwanini watu walioajiriwa serikalini wengi wana uwezo mdogo wa akili?

Angalia isije ikawa ni wivu wako unakusumbua..

But tukija in reality ni kweli kabisa wana uwezo mdogo hi ni kutokana na kulemaa..
Screenshot_20250103_103831_WhatsApp.jpg
 
Serikali Ina useless people wengi Sana .


Hakuna kitu wanaweza hawa watu wa serikalini .

Huduma zao 90% ni ovyo Sana .
Point..!
Wengi wanaajiriwa wakiwa wazuri sana kiakili(vipanga), ila kutokana na utaratibu mbovu wa utendaji serikalini, hao watu wanaishia kuzama katika lindi la uzembe mwisho wanakuwa kama wanavyoonekana.
Huu ndio ukweli. Hakuna pressure ya kazi hawapimi mtu kwa output yake, vyeo vinapatikana kwa ushirikina, umbea na majungu, uchawa.
Huu ndio ukweli. Hakuna pressure ya kazi hawapimi mtu kwa output yake, vyeo vinapatikana kwa ushirikina, umbea na majungu, uchawa.
Hii ni kutokana na kuwepo kwa mifumo mibovu ya Utawala na uendeshaji wa Serikali uliopo huko Serikalini. Utaratibu uliopo wa Utawala na utendaji kazi katika taasisi za Serikali hairuhusu Watu wenye akili kubwa au Watu wabunifu kuweza kufanya kazi zao kwa Uhuru. There's no Professionalism Freedom katika kutekeleza majukumu ya kazi katika Ofisi zote kabisa za Serikali kwa hapa Tanzania. Watu ambao wanajaribu kutumia utaalamu wao vizuri katika kutekeleza majukumu yao ya kazi lazima wataonekana kuwa ni kikwazo au kuwa ni tatizo kubwa sana sehemu zao za kazi, tafiti nyingi Sana zilizofanywa zimethibitisha Ukweli kuhusu suala hili.
Mfano Mdogo Sana ni Kitendo cha kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIMRI, Bi. Mwere Malecela baada ya kutoa matokeo yake ya kufanya kazi ya utafiti wa kisayansi wa kimaabara ambao ulibaini uwepo wa vimelea vya maambukizi ya ugonjwa wa dengue hapa Tanzania. Dikteta Magufuli alimfukuza kazi baada ya kutangazwa kwa matokeo yake ya utafiti waliofanya.
 
Naamini nawe uko serikalini Cha muhimu fanya utafiti hapo ofisini kwako!
 
Swali lako linaweza kuwa na wahusiano wa kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hapa kuna baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia hali hiyo:

1. Uteuzi wa Ajira: Katika baadhi ya nchi, ajira serikalini inaweza kuwa na mchakato wa uteuzi ambao hauzingatii uwezo wa kitaaluma na ujuzi wa wagombea, bali unategemea vigezo vingine kama urafiki au uhusiano wa kisiasa.

2. Mifumo ya Elimu: Mfumo wa elimu wa nchi unaweza kuwa na kasoro, ambapo watu wengi hawapata elimu bora inayowapa ujuzi na maarifa yanayohitajika kwa kazi za serikali.

3. Mikakati ya Maendeleo: Katika baadhi ya maeneo, kuna upendeleo wa kiuchumi na kijamii ambao unawafanya watu wenye uwezo mdogo wa akili kupata nafasi za ajira serikalini zaidi kuliko wale wenye ujuzi wa hali ya juu.

4. Masuala ya Usimamizi: Wakati mwingine, usimamizi duni na ukosefu wa mafunzo ya kitaaluma kwa wafanyakazi wa serikali unaweza kusababisha watu wengi wenye uwezo wa chini kuajiriwa.

5. Matarajio ya Kazi: Watu wengi wanaweza kuangalia ajira serikalini kama fursa ya uhakika, hata kama hawana ujuzi wa kutosha, kwa sababu ya malipo mazuri na faida nyingine.

Ni muhimu kukumbuka kwamba si watu wote walioajiriwa serikalini wana uwezo mdogo wa akili; kuna watu wengi wenye ujuzi na maarifa wanaofanya kazi katika sekta hii.
 
Angalia isije ikawa ni wivu wako unakusumbua..

But tukija in reality ni kweli kabisa wana uwezo mdogo hi ni kutokana na kulemaa..View attachment 3197313
dude kama hili hakikisha umeshiba magimbi au viazi vitam vya njano unalibinua hlf chomeka vidole vya miguu mule unapoingizia shuka🤯 ebho nlijisahau kumbe hapa sio MMU😳
 
Angalia isije ikawa ni wivu wako unakusumbua..

But tukija in reality ni kweli kabisa wana uwezo mdogo hi ni kutokana na kulemaa..View attachment 3197313
Kwa hio mwalimu mkuu kakosa akili ya kupima kiti na ukubwa wa makalio yake. Yaani badala abadili kiti anaendelea na kiti alichokikuta. Hivyo hivyo kwa mambo mengine no innovation, aliyoyakuta anafanya vile vile hata miaka 10.
 
Back
Top Bottom