Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
mkuu ckuhz tunapata waswas na uwezo wako wa kufikiri unawezaje kumchanganya huyu bidada kwenye uzi kama huu. hatujapenda kwakweli. ututake radhi kwanza.Angalia isije ikawa ni wivu wako unakusumbua..
But tukija in reality ni kweli kabisa wana uwezo mdogo hi ni kutokana na kulemaa..View attachment 3197313
kwa niaba ya mkuu mzabzab & Co. nipende kusema hujatutendea haki kabisa huyu mmama sijui mdada alideserve uzi wake unaojitegemea.
hii nchi uhuru umezidi😆