Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Status
Not open for further replies.
Wewe kijana wa kiafrica unashupalia uislam utakuwa punguwani tu..uislam uliletwa na mwarabu sasa unautenganisha vp na mwarabu?? Acha shobo
 
hakika Allah ni mbora kati ya waongo.
 
Kama kipi kinarejea katika dini?
chuki kwa wasio waislam.

quran imetaja ndugu wa muislam ni muislam mwenzake.
Mnaona sas mlivo na matatizo instead ya kuwachukia na kuwapinga hao al shabab na wengine mnachukia uislam unaokataza kinachofanywa na hao boko haram.
magaidi wote ni waislam lakini sio kila muislam ni gaidi.
lakini nakwambia ukweli,ukiona kobaz hana hasira zozote inapohusika dini na mtume wa mnyazimngu,ujue kobazi huyo ni 1 kati ya wale 3 waliobaki duniani.
 
Nafikiri sababu kuu inayofanya waislam kuona kama wanabaguliwa ni matendo yao wenyewe na uislam ni kama uarabu na waislamu hawa ambao wamejikita kwenye dini sana wanachuki sana na watu ambao ni watu wa dini nyingine ,mfano: kuwaita watu wadini nyingine majina kama kafiri ,mayahudi na mbegu hii inapandwa kwa watoto wadogo kitu kinachopekea watoto hawa kuona watu ambao sio waislam kama maadui.
 
Wazungu walitumi nguv nying na kutuaminisha kua ivo muarab ni mtu mbaya! Na sisi tushajenga kwenye akil yetu picha ya muarabu ipo vp
Hakuna cha kuaminishwa ila mwaarabu ni mtu katili na mpenda fujo (mpenda vita) hata wafuasi wa dini yao nao tabia zao zinafanana.
Mfano hai angalia ndugu yako Jagina ndiyo utajua uislamu ni dini ambayo inafanya ichukiwe.
 
Ndugu sijajua hata kama umeelewa ulichokiandika.. Hakuna point yoyote hapa uliyoweza kuthibitisha direct kuhusu mapungufu ya dini uliyoitaja. Kaa kesho jioni sikiliza BBC, VOA au utizame Aljazeera uangalie nchi zinazoongelewa kila siku kuwa na mapigano na mabomu zipo china ya misingi ya dini gani. Ukishafanya hivyo ndiyo uje hapa tujadili, usikurupuke kujibu tu kwa mihemko bila kuwa na facts.
 
kweli kabisa
 
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):

“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Dini ya mchongo 😀😀😀😀😀😀


Quran 46: 09
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi
 
Reactions: 511
taja muarab asie muislam aliyewai ua watu hovyo hovyo kujilipua au kuteka watu hovyo
 
Mbona Waarab ni ndugu zetu katika imaan!! Sasa kwa nini tuwachukie tena ndugu zetu? Kwanza wamekuwa wakituletea tende wakati wa mfungo, na pia nyama ya ngamia na kondoo wakati wa sikukuu ya Eid.
akili za kimaskin hz , mtaletewa mpk lin
 
Usiwe unaleta maandiko ya biblia wakati biblia yenyewe hauielewi.
 
Reactions: 511
umeandika uchafu , siasa muda mwingine inatufelisha , umeweka siasa kwenye mambo sereous , Waislam ni watu wakorof popote pale wao ndo huua wengine kwa misingi ya dini
 
Mahmoud Mohammed Taha na Abdirahman Ahmed hao ni wasudan walionyongwa kwasababu ya apostasy

Halafu sio mimi ninayewapakazia jina la "nchi za kiislamu" ni wao wenyewe walivyojitambulisha na kutaka dunia iwajue kwa namna hiyo


Pombe sio kigezo cha kufanya nchi isionekane ya kidini. Sheikh kipozeo alisema peponi kuna pombe tena ni nukuu kutoka ndani ya vitabu vyenu vya dini mnavyoviita tukufu.


Your browser is not able to display this video.
 
Hao wote wanauliwa na nani?
West na vikundi vyao, mfano mzuri tu angalia Armenia hapo, kuna Genocide ya maana inaendelea Azerbaijan wakisaidiwa na Israel na west wameua watu zaidi ya laki, kimyaa husikii kelele za kimataifa, sababu Armenia ni Orthodox, hao waarabu na waisilamu hasa Levant ndio wanaotetea Armenia, So everywhere ukienda Middle East utakuta Wakristo ni collateral damage ya west, ni Tool tu ya propaganda wakifa sawa tu, so hao wakristo sababu washajitambua ndio maana unakuta wana Ally na waisilamu wenzao kupigana na common enemy.
 
Mbona Muhammad aliua watu waliokuwa wanampinga kwenye Uislamu wake aliokuwa anaueneza?

Kwa hiyo nayo hiyo tusemeje?
 
Reactions: 511
Machafuko gani ya kuvunja makanisa na kuwaua wakristo ambayo hautaweza kuyahusisha na maswala ya ubaguzi wa kidini??

Unashauri nisitumie source za wakristo wa west kwamba wanaongopa??

Mimi naweza kukubaliana nao tu kwa kusoma mafundisho yenu yaliyojaa ubaguzi kuwa muislamu ndugu yake ni muislamu.

Naweza kukubaliana nao kuwa malalamiko yao ni ya kweli kwasababu Quran yenyewe imetoa kibali cha kuwafanyia fujo wasio waislamu kupitia Surah 3:151 na Surah 2:191 zinazoidhinisha vurugu kwa wasiokuwa waislamu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…