Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Status
Not open for further replies.
Afu alipokufa wafuasi wake wakamuacha wakijua siku ya tatu atafufuka kama Masihi, oyaa aligeuka mzoga mbona walifukia fasta
Huyo masihi alkufufukia wewe uwanja wa Fisi? Maana Hao wanafunzi wake aipokamatwa wote walimkimbia Mark 14;50
 
1. Copts christian in Egypt

Mashambulizi yaliyofanywa na waislamu kwenye makanisa zaidi ya 45 na kuua watu




Kaa maelezo zaidi unaweza kusoma hapa

2. Lebanon
Mwaka 2018 Hezibollah walishambulia makao makuu ya chama cha kisiasa cha kikristo kwa mawe na risasi.

Hopefully hakukuwa na majeruhi wala vifo.

Mwaka 2019 hao hao Hezibollah walishambulia waandamanaji wa kikristo ambao walikuwa wanaandamana kupinga utawala wa kisiasa wa Lebanon uliokuwa unawakandamiza jamii ya wakristo.

Mwaka 2016 Lebanon lilifanyika shambulio la kujitoa muhamga ambalo lili target maeneo yenye wakazi wengi wa kikiristo.

Watu watano walikufa wakati 15 wakiwa majeruhi.

Mwanzoni mwa mwaka 2021 mchungaji wa kanisa la Katoliki alihojiwa akisema idadi ya vijana wengi wakikristo inazidi kupungua kwa kasi.

Vijana wengi wanakimbia mji wa Beirut kwasababu ya unyanyasaji wanaoupata kutoka kwa jamii ya watu wa kiisilamu. Soma hapa

Mataifa karibia yote ya kiislamu hayana mazingira salama kwa asiye muislamu.
 
sema kwa hakika Allah ni mbora kati ya wapotoshi.
 
Hio ni misingi ya dini na ni sawa na sheria za nchi.Nchi hii inasheria zake na ile inasheria zake.

Rwanda utakuta dereva anakaa left tz anakaa right.Wew ukienda na gari yako iko na dereva yuko right side lazima ufate sheria tu unless ni ukorofi na kukosa hekima.

Swala la kuchinja liliamuliwa vizur kabisa sabab waislam wanamisingi yao na ni lazima kuifata ila imani zingine wao hawanashida na hili hivyo watu wakaona acha kuchinja iwe ya waislam wengine watakula sabab wakichinja wao au akichinja muislam hakuna sheria itakayowazuia kula kilichochinjwa tofauti na sis waislam.

Usilam haujasema tuwachukie watu.Qur an imesema wazi mtawapenda lakini hawatakupendeni na sabab kuu ni mafundisho yenu yanayopinga maslahi yao.

Kuhusu undugu upo wa aina nying kuna undugu wa dam ,undugu wa imani ,undugu wa kirafiki na kadharika.
 
Reactions: 511
Mi sio mgalatia
 
Huko kwenye Imani iliyo asisiwa na waarabu kuna chuki sana dhidi ya wasiofata dini ya hii ya kiarabu
chuki zenu ndiyo zimesababisha nanyi mchukiwe hapa Dunia na watu wote.
 
Mwarabu alisema wasio waarabu na wanaijifanya waislam ni mbwa wao. Hili unalisemaje? Na aliyesema ni mwislam
 
Mleta uzi kasema makosa ya waislam sio makosa ya uislam.Hao wanaopinga kujengwa makanisa waulize aya ipi imesema hivyo kwenye qur an.

Qur an inasema msiwapige wale waliopo kwenye nyumba za ibada na wala msibomoe nyumba za ibada.
 
Reactions: 511
sasa kama tutaamua kulibeba lako kwamba waarabu wapo baadhi ni wapuuzi,tutakuwa na uhakika gani kwamba upuuzi wao hautoku katika maandiko ya kitabu chao cha kidini,ikiwa kila wanachofanya kina rejea ktk dini.
Kama kipi kinarejea katika dini?
 
Wakristo wenye misimamo mikali huwa wanafanya vihoja na mambo ya ajabu ila sio rahisi kufanya ugaidi. Mfano Shakahola, Wasabato masalia, Kibwetere, Jim Jones n.k athari zilienda kwa washirika wao zaidi kuliko watu wa nje.
Ugaidi haupo kwenye uislam be informed
 
Kwanini nchi inayotekeleza adhabu kwa kufuata kitabu cha dini isiwe nchi ya kidini?
 
Huyo masihi alkufufukia wewe uwanja wa Fisi? Maana Hao wanafunzi wake aipokamatwa wote walimkimbia Mark 14;50
Mathayo 28:5-7
[5]Malaika akajibu, akawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua ya kuwa mnamtafuta Yesu aliyesulibiwa.

[6]Hayupo hapa; kwani amefufuka kama alivyosema. Njoni, mpatazame mahali alipolazwa.

[7]Nanyi nendeni upesi, mkawaambie wanafunzi wake, Amefufuka katika wafu. Tazama, awatangulia kwenda Galilaya; ndiko mtakakomwona. Haya, nimekwisha waambia.
 
Huko kwenye Imani iliyo asisiwa na waarabu kuna chuki sana dhidi ya wasiofata dini ya hii ya kiarabu
chuki zenu ndiyo zimesababisha nanyi mchukiwe hapa Dunia na watu wote.
Shida hamtaki kuelewa siku mkielewa mtahuzunika sana
 
*********************************************
Matthew 19:10-12
New International Version:

10. The disciples said to him, “If this is the situation between a husband and wife, it is better not to marry.”

11. Jesus replied, “Not everyone can accept this word, but only those to whom it has been given. 12. For there are eunuchs who were born that way, and there are eunuchs who have been made eunuchs by others—and there are those who choose to live like eunuchs for the sake of the kingdom of heaven. The one who can accept this should accept it.”
********************************************
Unaona unavyodanganya, wapi alipoongelea "Ushoga," hivi wewe unajua maana ya neno "Eunuch" au una elimu ya St Kayumba au Madrasa.

Uwe mtu anayependa kusoma na kuelewa mambo kuliko kubaki kuwa mtu wa kijiwe anaye kariri tu mambo.
 
Mwarabu alisema wasio waarabu na wanaijifanya waislam ni mbwa wao. Hili unalisemaje? Na aliyesema ni mwislam
Kwaio kama ni muislam alichokisema itakuwa ni sehem ya uislam.Kwaio james delicious kuwa shoga na kuupromote ushoga ni mafundisho ya biblia vip gigy money ?
 
Kwanini nchi inayotekeleza adhabu kwa kufuata kitabu cha dini isiwe nchi ya kidini?
Hivi unafaham kunyonga ni katika sheria za kiislam ila kwa mtu alieua?

Basi Tanzania na nchi nyingine zinazonyonga watu walioua ni za kidini alright?
 
Hadi muhalalishe Nguruwe ndo tutawaheshimu....
 
Na huu ndio ukweli,siku mkija kuelewa sijui mtasemaje.

Maneno ya sheikh sio qur-an.
Sio kila tendo la muumini ni fundisho la usilam.
Sio kila chenye tittle ya Islamic teachings ni sahih.
Last but not least qur an iko na deepest meaning inahitaji kutuliza akili,unless utakurupuka kumbe umekosea kuelewa,kama ambavyo kuna mtu alisema qur an inasema jua linazama kwenye matope.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…