Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Status
Not open for further replies.
Vipi kuhusu kufufa madevu, kuvaa kanzu kama waaeabu na kobaz? Maana haya ni sehemu ya utamaduni wa wa waarabu na mmeyafanya kuwa sehemu ya uislam.
Swali la hovyo mwezi February ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Ndevu ni identification ya mwanaume ndio maana wew mbantu unaota ndevu.
 
Mbona hakuna sehem pameandikwa uislam ni wa waarabu,mnaona shida zenu zilipo sas

Surat Yusufu aya ya 2 imeandika hivi

"Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu, na muwafikishie watu wote"


๏ดฟุฅูู†ู‘ูŽุง ุฃูŽู†ุฒูŽู„ู’ู†ูŽุงู‡ู ู‚ูุฑู’ุขู†ู‹ุง ุนูŽุฑูŽุจููŠู‘ู‹ุง ู„ู‘ูŽุนูŽู„ู‘ูŽูƒูู…ู’ ุชูŽุนู’ู‚ูู„ููˆู†ูŽ๏ดพ
[ ูŠูˆุณู: 2]

Hujaona Neno mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya kiarabu .

Je wewe mmakonde lugha yenu ni ki arabu ?
 

 
Mtoto wa miaka 13 hawezi kuolewa?
 
Al Shabaab, Boko Haram, sijui Islamic state West Africa sio waarabu ila wamawaua wakristu kwa jina la huyo Allah wenyu. Tunawachukia waislamu kwa sababu hizo sio kwa sababu ya waarabu.
Mnaona sas mlivo na matatizo instead ya kuwachukia na kuwapinga hao al shabab na wengine mnachukia uislam unaokataza kinachofanywa na hao boko haram.
 
Kila anaesema allah akbar ndio inakua yuko sahihi kwa anachokifanya?
 
sema kwa hakika Allah ni mbora kati ya wapotoshi.

Ni huyu

Roho mbaya na za uongo za MUNGU

Je, mistari ifuatayo ina maana gani? Je, inamaanisha kwamba MUNGU Mwenyezi aliwafanya watu hawa, zaidi ya mapenzi yao, kuwa waovu na waongo?

1 Samweli 16:16 "Bwana wetu na aamuru watumishi wake hapa wamtafute mtu awezaye kupiga kinubi. Atapiga wakati roho mbaya kutoka kwa Mungu itakapokujilia, nawe utajisikia vizuri."

1 Samweli 18:10 "Kesho yake, roho mbaya kutoka kwa Mungu ikamjia Sauli kwa nguvu. Alikuwa akitabiri nyumbani mwake, na Daudi akipiga kinubi kama kawaida yake. Sauli alikuwa na mkuki mkononi mwake..." MWINGINE ROHO MBAYA KUTOKA KWA MUNGU?! Tena, ni mafumbo tu.

1 Samweli 19:9 "Lakini roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamjilia Sauli, alipokuwa ameketi nyumbani mwake, na mkuki wake mkononi mwake. Daudi alipokuwa akipiga kinubi,..." ROHO NYINGINE MBAYA KUTOKA KWA MUNGU?!

1 Wafalme 22:22 โ€œ โ€˜Kwa njia gani? BWANA akauliza, โ€œ โ€˜Nitatoka na kuwa pepo wa uongo katika vinywa vya manabii wake wote,โ€™ akasema. โ€œ โ€˜Utafanikiwa kumshawishi,โ€™ asema BWANA, โ€˜Nenda ukafanye.

1 Wafalme 22:23 โ€œBasi sasa BWANA ametia pepo wa uongo vinywani mwa manabii wako hawa wote;

2 Mambo ya Nyakati 18:21 โ€œ โ€˜Nitakwenda na kuwa pepo wa uongo katika vinywa vya manabii wake wote,โ€™ akasema, โ€˜Utafanikiwa kumshawishi,โ€™ asema BWANA. 'Nenda ukaifanye
 
Hivi unafaham kunyonga ni katika sheria za kiislam ila kwa mtu alieua?

Basi Tanzania na nchi nyingine zinazonyonga watu walioua ni za kidini alright?
Tanzania hatutumii sharia

Tunatumia taratibu za katiba ambazo zimependekezwa na wananchi.

Ni sheria ambazo tunauwezo wa kuzibadili kulingana na generation ambayo tunaishi.

Hii ni sheria ya kidemokrasia sio ya dini.

Pamoja kwamba tuna adhabu ya kunyonga bado Tanzania hatuitumii. Mara ya mwisho kutumika ilikuwa miaka 28

Magerezani kuna idadi ya wafungwa zaidi ya 600 wenye hukumu za kunyongwa lakini mpaka saizi wapo na hawajanyongwa.

Juzi tu hapo Tume ilikuwa inajadili kuondoa adhabu ya kifo kutokana na kutotumika.

Sasa ukija kwenye sharia law hiyo room ya majadiliano huipati

Kwa maana Islamic law ni maagizo ya Quran na hauwezi kuifanyia amendment kwasababu itaonekana unakosoa maandiko ya Allah.

Lakini sharia law mtu anaweza kuchinjwa kwa kuukataa tu Uislamu (apostasy)

Sasa nchi ambayo sio ya kiislamu inawezaje kutekeleza adhabu ya kifo kwa kosa la mtu kuuacha Uislamu??
 

Maneno hayo anahadithia Nani ?
 
Nianze kwa kucheka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Be attention na MTUME WETU pamoja na LUGHA YENU na MUWAFIKISHIE WATU WOTE.

Qur an imeshushwa kwa kiarabu sabab ni kupatikana kwa mazingatio.Mazingatio yanayokusudiwa ni haya.

01.Qur an ilishuka kwa kiarabu ili iwe rahisi kwa warabu kuipokea na kuielewa kwa haraka.

02.Zingatio lingine ni matumizi ya lugha ya kiarabu yanatupa zingatio la kuona utukufu wa mungu juu ya uumbaji wa mwanadamu.Mtu anahifadhi kitabu kizima kwa lugha ya kiarabu hii ni maajbu yanayotupa mazingatio juu ya utukufu na ukubwa wa mwenyezi mungu.

SWALI:
Kwanin itumike sentensi muwafikishie watu wote why not muwafikishie warabu wenzenu.

LAST BUT NOT LEAST:
Qur an imesema tumeiteremsha qur an kwa lugha ya kiarabu ili mpate kuzingatia na sio kama ulivyoleta hio tafsir.

NOTE: Nimekujibu kutokana na tafsir yako japo haiko sahih hakuna mahali kweny hio aya kunasomeka MTUME WETU ,LUGHA YENU NA MUWAFIKISHIE WATU WOTE be carefully
 
Wacha kuweka maneno yako , Kama mumezowea kuwadanganya kondom fanyeni huko kanisani kwenye na kwenye biblia zenu mlizozichakachuwap
 

Maneno yako wazi TUMEITEREMSHA KWA LUGHA YENU KIARABU ila unabadilisha kwa uongo uongo. Sikushangai maana Quran imewaruhusu kusema uongo. Kudanganya ili kuulinda uislamu

Uongo huo Mnaita Taqiyya
 
Kristo wako wengi kwenye biblia , hata nguzo zikiitwa kristo au yule slipokufa alienda hell
Sijui unasoma Biblia ipi Masihi yupo mmoja. Unasema Mtume alienda Motoni? Sababu tu kuwa alisema hajui aendako? Umekufuru. Kila siku tunakumbushana kumswalia mtume kumbe wewe humswalii?
 
Hio nchi ya kiislam iliyomuua mtu kwa kurtadi ni ipi?

Utaweza kusema nchi fulani ni ya kiislam if iko full gear kwenye matumiz ya sheria za kiislam unless ni kutafuta ujiko usio na msingi.Saudia sio nchi ya kiislam bali ni nchi ya waislam ndio maana kuna ruhusa ya pombe na mambo mengine ambayo uislam umeyakataza.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ