1. Copts christian in Egypt
Mashambulizi yaliyofanywa na waislamu kwenye makanisa zaidi ya 45 na kuua watu
View attachment 2901974
View attachment 2901976
Kaa maelezo zaidi unaweza kusoma
hapa
Ukisoma report yako ni ya 2013 same time wakati wa machafuko ya Egpty na kutolewa Hosni Mubarak kuja morsi, Nchi haikua stable
2. Lebanon
Mwaka 2018 Hezibollah walishambulia makao makuu ya chama cha kisiasa cha kikristo kwa mawe na risasi.
Hopefully hakukuwa na majeruhi wala vifo.
Mwaka 2019 hao hao Hezibollah walishambulia waandamanaji wa kikristo ambao walikuwa wanaandamana kupinga utawala wa kisiasa wa Lebanon uliokuwa unawakandamiza jamii ya wakristo.
Mwaka 2016 Lebanon lilifanyika shambulio la kujitoa muhamga ambalo lili target maeneo yenye wakazi wengi wa kikiristo.
Watu watano walikufa wakati 15 wakiwa majeruhi.
Mwanzoni mwa mwaka 2021 mchungaji wa kanisa la Katoliki alihojiwa akisema idadi ya vijana wengi wakikristo inazidi kupungua kwa kasi.
Vijana wengi wanakimbia mji wa Beirut kwasababu ya unyanyasaji wanaoupata kutoka kwa jamii ya watu wa kiisilamu. Soma
hapa
Mataifa karibia yote ya kiislamu hayana mazingira salama kwa asiye muislamu.
Ushauri wangu nimekupa usitafute source za Wakristo wa Middle East kupitia West, kwa zaidi ya miaka 1000 west wanaua Wakristo wa Middle East haya mambo hayajaaza leo wala Jana Yameanza hata kabla Mtume hajazaliwa.
West wamechanganya Ukristo na Mila zao za Kigiriki na Kiroma, then wanaforce wakristo wote wafuate ndio maana ukaona mgawanyiko wa Katoliki na Orthodox, Makanisa ya Mashariki kama Ya Kirusi na middle East mara kwa mara yamekua targeted na hao west kwenye Genocide mbalimbali.
Hapo Lebanon kwani Serikali inaundwa na nani? Maraisi wengi wa hio Nchi ni Wakristo na Huyu ni MICHAEL Aoun alikuwa Raisi wa Lebanon ka sum up vizuri tu
Hapa akielezea kuhusu kwanini Wakristo wa Lebanon wanaungana na Hezbollah
"We chose this long-term political option, because we knew that the interests of the West do not lie with us. Its interests lie with Israel, on one hand, and with the oil, on the other hand. We are not included among its interests at present. The only thing it cares about is resolving the problem of Israel at our expense, through the naturalization of the Palestinians in Lebanon, and pleasing the oil-producing countries, because its material interests lie there. Therefore, we had to choose a policy of coordination with all elements of Lebanese society, and with our neighboring countries, in order to build strong, solid, and mutual relations. Lebanese society in general, and the Christians in particular, are not used to this, and therefore, it has aroused fear and concern. However, our confidence in ourselves, in the choice we made, and in our views have made it possible for us to stand before you, and to ask you to give the efforts we are undertaking a chance. A short while ago, in Doha, we saw the results. All the Christians in the Middle East, all the Christians in the Middle East are fleeing, while the Christians of Lebanon are returning. The forecasts of the entire world. For 25–35 years, we have been reading that the Christians in the Middle East are becoming extinct. Western policies have led the Christians in the Middle East towards extinction. Western policies have not left a single Christian in Palestine and the holy places. Western policies have not left a single Christian in Iraq. They intended to get rid of us by marginalizing us, and by treating us as a superfluous element in society."
[95]
So si kweli kwamba Hezbollah wanashambulia Wakristo unless ni Mossad na Makundi mengine ya Wasaliti.
Wakristo wa Middle East hawajaondoka kwa ajili ya Waisilamu bali Sababu ya Usa na washirika wake, ndio maana hata Migrant wakristo wanaokimbia Middle East wanaenda South America na sio Usa na Ulaya, wameitransform South America kuja kuipa Nguvu Middle East baadae.
Jifunze Ukristo Wa Middle East kupitia Wakristo wenyewe wa Middle East na sio west,
Pitia hapa kwa real feedback
View: https://www.reddit.com/r/AskMiddleEast/comments/vbwj67/christian_of_the_middle_east_is_this_true_if_so/