Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Yupo, JK. Nyerere hakupendelea kwao. We ni kijana wa kuzaliwa 2000. Pia Mwinyi unaweza sema alipendelea kwao?
Nimeshaelezea hilo unaweza peruzi kusoma kama ukipenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo, JK. Nyerere hakupendelea kwao. We ni kijana wa kuzaliwa 2000. Pia Mwinyi unaweza sema alipendelea kwao?
Ishakuwa usiku. Ila kupendelea home sio mbaya. ila tuweke mkakati, kila baada ya miaka 5 raisi ni zamzam mkoa kwa mkoa. Akitoka huyu 2020 raisi atoke Kigoma. Then afuate wa Kusini Lindi/MtwaraNimeshaelezea hilo unaweza peruzi kusoma kama ukipenda.
Ishakuwa usiku. Ila kupendelea home sio mbaya. ila tuweke mkakati, kila baada ya miaka 5 raisi ni zamzam mkoa kwa mkoa. Akitoka huyu 2020 raisi atoke Kigoma. Then afuate wa Kusini Lindi/Mtwara
Takwimu za sensa ,kama hujui hesabu shauri yako.Hivi unaofahamu Tanzania vizuri au ni zile story wakati ukiwa Gisenyi?
Hivi hayo maendeleo mnayosema yapo Kilimanjaro ni yapi hayo...mbona pa kawaida sana...njooni kahama muone maendeleo..haya maneno mengine nikujikuza bure tu...ila Kwa mtazamo wangu naona maendeleo Tanzania yanafanana sana...Hamna sehemu wanaweza kujidai eti wameendelea kuliko wengine .....nasema labda zamani ila sio sasa hivi..sasa hivi tupo level moja wote ...... tena akina bwashee wamefulia sana siku hizi...mlioko madarakani muwahurumie sio Kwa msoto huo...angalau wapumue kidogo....Kilimanjaro inayosakamwa Sana na watu wa lake zone, haijawahi hata kutoa Rais jamani. Tofauti kubwa ni akili na Elimu. Lake zone somesheni watoto wenu Sana. Jengeni shule badala ya viwanja vya ndege na madaraja. Hayo madaraja mnatujengea sisi Wapare, Wachagga, Wameru, Wambulu na Waarusha. Tutaleta mitaji huko kujenga hotel, migahawa, bar, yard za magari, Sheli halafu mtaishia kuwa watumwa wetu.
Unalinganisha Kahama na Kilimanjaro? Au unaesema Kahama imeizidi Kilimanjaro? Kwa mkoa wa Kilimanjaro, sio kusemwa tu, ni kweli kwamba Kuna maendeleo ya jumla na ya mtu mmoja mmoja.Hivi hayo maendeleo mnayosema yapo Kilimanjaro ni yapi hayo...mbona pa kawaida sana...njooni kahama muone maendeleo..haya maneno mengine nikujikuza bure tu...ila Kwa mtazamo wangu naona maendeleo Tanzania yanafanana sana...Hamna sehemu wanaweza kujidai eti wameendelea kuliko wengine .....nasema labda zamani ila sio sasa hivi..sasa hivi tupo level moja wote ...... tena akina bwashee wamefulia sana siku hizi...mlioko madarakani muwahurumie sio Kwa msoto huo...angalau wapumue kidogo....
Shell ndiyo nini? Au unamaanisha filling stations au petrol stations?
Mabeberu awapingi maendeleoWanaopinga Maendeleo ni vibaraka wa mabeberu
Bwashee tutabishana bure tu ila ukweli Ni kwamba sasa hivi kimaendeleo hakuna kabila la kuwaringia wengine...tupo Sawa..sana tena naweza kusema wananzengo ndio wenye hela sasa hivi kuliko akina bwashee... Kidogo na watu wa iringa...sasa hivi akina bwashee mambo ni magumu...biashahara zimekua ngumu...sijui hata kama kwenu mtarudi mwezi huu...Unalinganisha Kahama na Kilimanjaro? Au unaesema Kahama imeizidi Kilimanjaro? Kwa mkoa wa Kilimanjaro, sio kusemwa tu, ni kweli kwamba Kuna maendeleo ya jumla na ya mtu mmoja mmoja.
Katika hiyo list yako, Tabora iondoe
Tatizo la kule ni uchawo uliokithiri
Watarudi, lipo deluxe la elfu 16..Bwashee tutabishana bure tu...ila ukweli ni kwamba
Bwashee tutabishana bure tu ila ukweli Ni kwamba sasa hivi kimaendeleo hakuna kabila la kuwaringia wengine...tupo Sawa..sana tena naweza kusema wananzengo ndio wenye hela sasa hivi kuliko akina bwashee... Kidogo na watu wa iringa...sasa hivi akina bwashee mambo ni magumu...biashahara zimekua ngumu...sijui hata kama kwenu mtarudi mwezi huu...
Acha basiKapeleka chato tu hiyo keki, Geita kama Geita bado ni pa hovyo
Kwa takwimu za tanapa 80% au zaidi ya watalii wanaokuja nchi hii wanakuja kwa ajili ya serengeti, kama ingekua hiyo ndio sababu basi tungeona mapato ya hizo mbuga yanazidi serengeti. Hii nchi utalii ni serengeti na serengeti ndio utalii.Mtoa mada anasahau kwamba kinachosababisha watalii kuegemea ukanda wa kaskazini na hata wawekezaji kupenda Arusha kuliko Mara na Mwanza ni kwa sababu kuna vivutio vingine sio Serengeti tu. Kuna Ngorongoro, Tarangire, Lake Manyara, Arusha National Park, Mlima Kilimanjaro na Mkomazi. Unadhani mtalii ataenda Mwanza ili aende Serengeti tu? Wakati akifika Arusha kunakuwa na chances kibao za kufika mbuga na hifadhi zingine?
Haya sasa ni majungu, kula hovyo hovyo ndio kula kwa namna gani?Hakimu Mfawidhi, Wasukuma chuo kikuu cha nini watu washamba kama nini hata mkiletewa Oxford hambadiliki
Acheni tabia ya kubeba mabegi ya ngunakuja mwanza mjini kupiga picha na ile sanam ya samaki pale round about
Na kwenye usafiri wa mabasi mnakula hovyo hovyo hamuogi
Arusha is well known World Wide than Mwanza.Kwa takwimu za tanapa 80% au zaidi ya watalii wanaokuja nchi hii wanakuja kwa ajili ya serengeti, kama ingekua hiyo ndio sababu basi tungeona mapato ya hizo mbuga yanazidi serengeti. Hii nchi utalii ni serengeti na serengeti ndio utalii.