Kwanini watu wanahoji Rais Magufuli kupeleka maendeleo Chato na Geita kwa ujumla?

Kwanini watu wanahoji Rais Magufuli kupeleka maendeleo Chato na Geita kwa ujumla?

Bams,
Great idea kama ni kupendelewa wangepelekewa shule,umeme, barabara na mazingira wezeshe ya uwekezaji ila sio airpor
 
Kilimanjaro inayosakamwa Sana na watu wa lake zone, haijawahi hata kutoa Rais jamani. Tofauti kubwa ni akili na Elimu. Lake zone somesheni watoto wenu Sana. Jengeni shule badala ya viwanja vya ndege na madaraja. Hayo madaraja mnatujengea sisi Wapare, Wachagga, Wameru, Wambulu na Waarusha. Tutaleta mitaji huko kujenga hotel, migahawa, bar, yard za magari, Sheli halafu mtaishia kuwa watumwa wetu.
Draja la wami lingekua lake zone Magu angekua kashaseka jambo !
 
Kilimanjaro inaangaliwa kwa jicho la husuda lakini kamwe haitaanguka ! Ukiipendelea Geita wachaga na wapare na wameru washaona hizo fursa watakuja kuwekeza !! Na mwisho Moshi na Arusha + Tanga itazidi kujengwa !
Fikiria daraja la wami mpaka sasa lipo vile na ajali zote zinazotokea pale nadhani kwa kua haliko Lake zone
 
Mtoa mada anasahau kwamba kinachosababisha watalii kuegemea ukanda wa kaskazini na hata wawekezaji kupenda Arusha kuliko Mara na Mwanza ni kwa sababu kuna vivutio vingine sio Serengeti tu. Kuna Ngorongoro, Tarangire, Lake Manyara, Arusha National Park, Mlima Kilimanjaro na Mkomazi. Unadhani mtalii ataenda Mwanza ili aende Serengeti tu? Wakati akifika Arusha kunakuwa na chances kibao za kufika mbuga na hifadhi zingine?
Huo ndiyo ukweli wenyewe japo wivu umewajaa sana juu ya Watu wa Kaskazini.
 
Mikoa ya Tabora, Kigoma, Katavi na Rukwa ni mikoa pekee ambayo kwa kiwango kikubwa sana imetelekezwa na awamu zote.

Ukifika mikoa hiyo unafiikiri wanaoishi huko siyo watanzania, viongozi hufika wakati wa kampeni tu.
Tatizo la kule ni uchawo uliokithiri
 
Watu wa Kibondo kwa nini nao wasihoji kutokana na ubovu wa barabara zao hasa nyakati za mvua? Huku wakisikia na kuona ktk vyombo vya habari ya kuwa wenzao wanakula mema ya nchi.View attachment 1285596
Ukiripoti kutoka hapo kumwambu-kibondo... Mkuu umepapita lini??
Wana Jf wamesambaa sanaaa...
 
Kila kitu, kuanzia kuwaanzishia Mkoa wao wa Mara ambao haukuwepo wakati anakabidhiwa nchi mpaka kupendelea na kunyanyua watu wake kama Mkono, Warioba na wengineo.
Kamkoa hako ka Mara wakati kanaanza kalikuwa na wilaya mbili tu, South Mara na North Mara
 
Kama ndoto yangu itatimia nitahamisha sehemu ya maji ya bahari ya hindi kwa kutumia mabomba makubwa kuongeza maji bwawa la mindu ili liwe ziwa kuleta usawa!
 
Hata Serengeti na Katavi haikuwepo hiyo ni nonsense


Ilikuwepo, Serengeti ilianzishwa mwaka 1951 na Muzungu, na wala Mkoa wa Mara haukuwepo, baada ya Uhuru Mwalimu Nyerere alimega kutoka Mkoa uliokuwepo na kuanzisha Mkoa wa Mara, hivyo siyo nonsense!
 
Ilikuwepo, Serengeti ilianzishwa mwaka 1951 na Muzungu, na wala Mkoa wa Mara haukuwepo, baada ya Uhuru Mwalimu Nyerere alimega kutoka Mkoa uliokuwepo na kuanzisha Mkoa wa Mara, hivyo siyo nonsense!
Kwa hyo kikwete aliyeanzisha mikoa ya njombe, Geita,katavi na simiyu alikua anampendelea Nan?
 
Siyo swala la mimi kutaka au kutotaka kwani sijawahi hata kufika huko Mara, ila ni kwamba Mkoa wa Mara haukuwepo na ulianzishwa na Nyerere ambaye Mara ni kwao, kama vile Mwinyi alivyoanzisha Kisarawe kwao.

Sasa hizo sababu za kuanzishwa kwake kila Raisi pia atakupa sababu za kupendelea kwao, Mwinyi na Kisarawe, Mkapa Mtwara corridor, daraja la Mkapa, Daraja la Umoja, Kikwete Bagamoyo, Magufuli Geita.
Hivi hata unavyoandika unaelewa kweli au unaandika mladi tu umeandika
 
Hakuna Raisi wa TZ
ambaye ,,hakupendelea kwao “ hata kama hakutaka ni kama ililazimishwa, labda ndo mfumo wa nchi ulivyo!
Yupo, JK. Nyerere hakupendelea kwao. We ni kijana wa kuzaliwa 2000. Pia Mwinyi unaweza sema alipendelea kwao?
 
Back
Top Bottom