Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakimbizi haoHii lini mkuu, maana nilisikia majuzi barabara ilifunga
Ila kigoma ingekumbukwa lol
Maana ndo mkoa pekee ambao mpaka sasa haujaunganishwa na lami
Draja la wami lingekua lake zone Magu angekua kashaseka jambo !Kilimanjaro inayosakamwa Sana na watu wa lake zone, haijawahi hata kutoa Rais jamani. Tofauti kubwa ni akili na Elimu. Lake zone somesheni watoto wenu Sana. Jengeni shule badala ya viwanja vya ndege na madaraja. Hayo madaraja mnatujengea sisi Wapare, Wachagga, Wameru, Wambulu na Waarusha. Tutaleta mitaji huko kujenga hotel, migahawa, bar, yard za magari, Sheli halafu mtaishia kuwa watumwa wetu.
Huo ndiyo ukweli wenyewe japo wivu umewajaa sana juu ya Watu wa Kaskazini.Mtoa mada anasahau kwamba kinachosababisha watalii kuegemea ukanda wa kaskazini na hata wawekezaji kupenda Arusha kuliko Mara na Mwanza ni kwa sababu kuna vivutio vingine sio Serengeti tu. Kuna Ngorongoro, Tarangire, Lake Manyara, Arusha National Park, Mlima Kilimanjaro na Mkomazi. Unadhani mtalii ataenda Mwanza ili aende Serengeti tu? Wakati akifika Arusha kunakuwa na chances kibao za kufika mbuga na hifadhi zingine?
Tatizo la kule ni uchawo uliokithiriMikoa ya Tabora, Kigoma, Katavi na Rukwa ni mikoa pekee ambayo kwa kiwango kikubwa sana imetelekezwa na awamu zote.
Ukifika mikoa hiyo unafiikiri wanaoishi huko siyo watanzania, viongozi hufika wakati wa kampeni tu.
Ukiripoti kutoka hapo kumwambu-kibondo... Mkuu umepapita lini??Watu wa Kibondo kwa nini nao wasihoji kutokana na ubovu wa barabara zao hasa nyakati za mvua? Huku wakisikia na kuona ktk vyombo vya habari ya kuwa wenzao wanakula mema ya nchi.View attachment 1285596
Nyerere alipeleka nini kwao?Hakuna Raisi wa TZ
ambaye ,,hakupendelea kwao “ hata kama hakutaka ni kama ililazimishwa, labda ndo mfumo wa nchi ulivyo!
Nyerere alipeleka nini kwao?
Kamkoa hako ka Mara wakati kanaanza kalikuwa na wilaya mbili tu, South Mara na North MaraKila kitu, kuanzia kuwaanzishia Mkoa wao wa Mara ambao haukuwepo wakati anakabidhiwa nchi mpaka kupendelea na kunyanyua watu wake kama Mkono, Warioba na wengineo.
Hata Serengeti na Katavi haikuwepo hiyo ni nonsenseAlijimegea Mkoa wa Mara ambao haukuwepo.
Hata Serengeti na Katavi haikuwepo hiyo ni nonsense
Kamkoa hako ka Mara wakati kanaanza kalikuwa na wilaya mbili tu, South Mara na North Mara
Kwa hyo kikwete aliyeanzisha mikoa ya njombe, Geita,katavi na simiyu alikua anampendelea Nan?Ilikuwepo, Serengeti ilianzishwa mwaka 1951 na Muzungu, na wala Mkoa wa Mara haukuwepo, baada ya Uhuru Mwalimu Nyerere alimega kutoka Mkoa uliokuwepo na kuanzisha Mkoa wa Mara, hivyo siyo nonsense!
Hivi hata unavyoandika unaelewa kweli au unaandika mladi tu umeandikaSiyo swala la mimi kutaka au kutotaka kwani sijawahi hata kufika huko Mara, ila ni kwamba Mkoa wa Mara haukuwepo na ulianzishwa na Nyerere ambaye Mara ni kwao, kama vile Mwinyi alivyoanzisha Kisarawe kwao.
Sasa hizo sababu za kuanzishwa kwake kila Raisi pia atakupa sababu za kupendelea kwao, Mwinyi na Kisarawe, Mkapa Mtwara corridor, daraja la Mkapa, Daraja la Umoja, Kikwete Bagamoyo, Magufuli Geita.
Kwa hyo kikwete aliyeanzisha mikoa ya njombe, Geita,katavi na simiyu alikua anampendelea Nan?
Yupo, JK. Nyerere hakupendelea kwao. We ni kijana wa kuzaliwa 2000. Pia Mwinyi unaweza sema alipendelea kwao?Hakuna Raisi wa TZ
ambaye ,,hakupendelea kwao “ hata kama hakutaka ni kama ililazimishwa, labda ndo mfumo wa nchi ulivyo!