Kwanini watu wanahoji Rais Magufuli kupeleka maendeleo Chato na Geita kwa ujumla?

Arusha is well known World Wide than Mwanza.
Watalii hii nchi hawaji kwa ajili ya Arusha, wanakuja kwa sababu ya Serengeti, hivyo hata wakishukia mtwara au kigoma safari yao ni Serengeti not Arusha.
 
Sema Chato tu chief
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense
 
Dictators never learn. Mobutu aliyafanya haya haya lkn leo Gbadolite is a desolate town.

Hata huyu akija kutoka hali haitakuwa tofauti ila kwa sasa kwa kuwa watanzania wana hulka ya unafiki watampongeza tu kwa uovu wowote atakaofanya.

Tunaona leo kule Angola jinsi familia ya Dos Santos inavyolipia uovu waliofanya wakati baba yao alipokuwa madarakani bila kusahau Al Bashir kule Sudan.

Wanatoa takwimu za uongo ili ionekane kuwa Geita ni mkoa masikini, wakati sio kweli kusudi wahalalishe kuipelekea resources nyingi kuliko mikoa mingine.

Magufuli ni mfano wa watu waliobahatika kupata kitu wasichostahili kabisa kupata. Atakapoondoka ofisini watafanya reverse ya haya anayoyafanya kwa kupendelea mkoa wake na ndipo matokeo yake atapata stroke ya nguvu ambayo itampelekea afe even prematurely.
 
Umewahi kufika Geita ujue kama ni tajiri au masikini?
 
Umewahi kufika Geita ujue kama ni tajiri au masikini?
Geita yenye madini, watu wana mifugo na mazao ya kilimo kama pamba nk pamoja na samaki wanavua sasa watakuwaje masikini kupita wananchi wa mikoa kama Dodoma, Singida, Lindi nk.

Lkn hamna cha ajabu, kwenye hii serikali taarifa za kilaghai kama hizi ni kawaida mno, wala hatushangai.
 
Watanzania ukiwasikiliza sana hautafanya jambo lolote. Midomo yao imezoea kulaani badala ya kubariki.

Inabidi tu uvae miwani ya mbao na uendelee kufanya lile unaloona linafaa kufanyika.
 
Hakuna kunapondelewa, ni dhana potofu ya kimasikii tunayopenda kuifuga vichwani mwetu.

Ni ubinafsi wa sisi tunaoishi leo kudhani kwamba watakaokuwepo kesho hawatajua namna ya kutumia miundo mbinu inayojengwa leo.

Mnara wa Paris umejengwa na watu ambao wote kwa ujumla wao wameshazikwa.

Mnara wa New York umejengwa na watu ambao wote wameshafukiwa makaburini.

Lakini Paris na New York ni majiji yanayoendelea kutajirika kupitia vivutio viivyojengwa na watu ambao kwa sasa wanaitwa marehemu.

Tusiwe wabinafsi wenye kudhani kwamba maisha ya dunia hii yanaisha pale ambapo sisi tulio hai tukiwa tumeshasahaulika.
 
Unakosea sana kwa mawazo kama haya, msukumo wa Serikali ni muhimu sana katika kuleta Maendeleo, hasa kwa kujenga miundombinu ambayo haiwezi kujengwa na mtu mmoja mmoja au sekta binafsi. Hivi unazani bila kujengwa kwa barabara, umeme, shule na vyuo vya Serikali katika hayo maeneo, hayo Maendeleo Unaoyosema wamejiletea wenyewe yasingekuwepo. Nani ambaye hajui kwamba viongozi wengi kwenye Sekta nyeti za Serikali walitoka maeneo hayo.
 
Leo Watwana Wanamwabudu Kibwengo Kuliko Hata Mungu
 
Watalii hii nchi hawaji kwa ajili ya Arusha, wanakuja kwa sababu ya Serengeti, hivyo hata wakishukia mtwara au kigoma safari yao ni Serengeti not Arusha.
Mahali salama pa kufikia. Mnapingana na hali halisi na mtaishia kuteseka sana. Arusha kuna hoteli zenye hadhi ya kupokea watalii kuliko miji mingine.
 
Exergeration tu. Mbona Kagera, Ruvuma (Peramiho na Mbinga), Mbeya (Tukuyu, Mbozi na Kyela) zilikuwa na zina watu huko unakosema wewe. Tabia ya population ni muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…