Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Point ni kwamba wachaga wamekuacha mbali sana, wewe unatukana humu kutwa nzima, wenzio wachaga wamekuachia uzi wanafungua maduka kkoo, wewe unawaza kupeleka moto
Wameniacha kwa kunywa gongo, wizi, dhulma na kula kitimoto.

Maduka wanafungua Kariakoo, kwanini hawafungui Kilimanjaro huko mnakokusifia kila siku ?
 
Wameniacha kwa kunywa gongo, wizi, dhulma na kula kitimoto.

Maduka wanafungua Kariakoo, kwanini hawafungui Kilimanjaro huko mnakokusifia kila siku ?
Nenda soko la kati, buyuni etc huko kote pameshajaa
 
Wameniacha kwa kunywa gongo, wizi, dhulma na kula kitimoto.

Maduka wanafungua Kariakoo, kwanini hawafungui Kilimanjaro huko mnakokusifia kila siku ?
Kwan Kilimanjaro Hakuna maduka? Unachekesha,ma supermarket hadi vijijin marangu, machame huko
Tunawkeza Tanzania nzima hatuwaz hatua moja Kama ww tunawaza hatua 1000
 
Lakini kwa kuwapelekea moto mambwiga kama nyie niko vizuri.

Peleka motoooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Umpeleke Nan moto? Mtu ambaye hata kwenu hamjengi uje utupeleke moto watu tuliosoma tangu enzi za yesu?[emoji3] Peleka upimbi mbali
 
Punguza jazba mzee, mimi sio mchaga ni msukuma, ila generally wachaga wameendelea kuliko jamii yoyote Tz. Mimi nimeamua kuungana nao kwa kuoa mchaga
Wewe mjinga Sana unasemaje eti? Kwamba rombo magari ya kwenda miji ipi
Rombo -moro (Bm coach)
Rombo -mwanza(mghamba express)
Rombo -Singida(Mtei exp)
Rombo -Dodoma(shabiby)
Rombo-dar(mabasi zaidi ya 10)
Sasa kungekuwa Hakuna hela mabasi yote yangekuja? Mpuuzi wewe
Umeonaje majumba yalivyo makali vijijn? Kilimanjaro ni mkoa ambao wakaz wake 90% wana makaz ya kisasa pole
Barabara za vijijin zinapitika mda wote na zimepangiliwa
 
Niko hapa Rombo Mkuu, usidanganyike hakuna kitu.

Tena niko wilayani kabisa
Wilayan sio chochote mkuu,tembea vijijin uone maendeleo,wachaga wamewekeza vijin kwao,pita vijijin ujionee majumba hadi uchanganyikiwe wewe unaangalia stand ya wilaya ndio una define? Hahaha pole
Cheki vijijin kulivyo na mahelalu na mandhari safi
 
Nipo hapa Mkuu, wilaya inatia simanzi sana
Njoo vijijn mkuu uone maendeleo,sisi maendeleo tunaelekeza vijijn kabisa
Alafu mkuu ni mji wenye mzunguko wa pesa pia kama haitoshi njoo miji midogo ya mashati,tarakea ,holili na useri ujionee maendeleo na biashara hapa ni rombo tu
Rombo pekee kuna matawi ya bank yafuatayo
1-nmb Mkuu
2-nmb Tarakea
3crdb Mkuu
4-crdb Tarakea
5-nmb Holili
Sasa matawi yote hayo yangefungua sehemu kusiko na pesa? Think big
KUBWA KULIKO
MMILIKI WA PRECISION AIR NI MCHAGA WA ROMBO ANAITWA MICHAEL NGALEKU SHIRIMAView attachment 1851912
 
Wameniacha kwa kunywa gongo, wizi, dhulma na kula kitimoto.

Maduka wanafungua Kariakoo, kwanini hawafungui Kilimanjaro huko mnakokusifia kila siku ?
Tunafungua Tanzânia nzima sio tu Kilimanjaro
Pole kwa ufukara
 
Huyu bwana sikujua ni mshamba hivi..

Watu wanaposifia Rombo wanaisifia kwa kuwa na Makazi mazuri vijijini..Yeye anataka akute Maghorofa ya Kariakoo pale stendi ya Mkuu.
 
Huyu bwana sikujua ni mshamba hivi..

Watu wanaposifia Rombo wanaisifia kwa kuwa na Makazi mazuri vijijini..Yeye anataka akute Maghorofa ya Kariakoo pale stendi ya Mkuu.
Hawa watu wa pori huwa ni washamba mno anaacha kutembelea vijijin aone maendeleo anaangalia wilyan et Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…