Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Rombo kila mtu anaisaka shilingi ... kuanzia yankii hadi mzeiya
Halafu asikufiche mtu ... kampeni kipindi cha uchaguzi huku rombo zinafanyika ila kwa kujishtukia sana ...ccm rombo haikubaliki kiviile tokea ile kashfa ya aliyekuwa gavana wa BOT na waziri wa fedha miaka hiyo Basil Mramba...kwa kifupi ccm rombo haina mvuto...
Imekosa wanafunzi watu ni kulewa tu
Hiyo ni kweli
 
Vijana Rombo wameharibika Kwa pombe sana juzi nilienda mazishi hapo Hadi wanamkosesha mchungaji akihubiri
Pombe tz nzima wanakunywa,njoo kagera uone watu wanakunywa gongo asubuh had jion,kunywa pombe hakuathiri maendeleo
 
Vijana wengi kule wale ambao hawakutoka nj'e ya Rombo ni vichaa huwezi amini.

Wasifie wasioijua Rombo.

Mashati na hapo useri utawahurimia vijana hawaogi, hawafui, hawabadilishi nguo.

Wanafanya vibarua wakipata hela ni pombe. Ni wachache wapambanaji na wanaorudisha maendeleo home hawaishi hapo. Wasiojua Rombo ndio uwadanganye
Hao unaosema ni asilimia chache tu,Hakuna sehemu wajinga wanakosekana,hao ni wajinga wachache
 
Unaweza kuifananisha na wilaya yako? Rombo inayo maendeleo Barabara zote zinapitika kipindi chote cha mwaka magari ya kwenda mjini yapo hadi saa nne usiku
Wewe jamaa ni mpuuzi, wadanganyeni wasiopajua Rombo.

Rombo ni takataka, ndio maana hata wana Rombo wenyewe wanapakimbia huku. Hakuna biashara waka mzunguko wa pesa, mji umepooza, umejaa mashamba ya migomba na mapori.

Magari ya kwenda mjini ipi unaongelea?

Hizo barabara ni hii lami ya Moshi- tarakea au hizi za kuchonga kwa jembe la mkono tope jekundu tupu wakati wa mvua ?

Mtandao wenyewe haukamati, internet tangu nimekuja huku inasoma E!!

Hivi ukiacha Moshi, huko Mwanga, Same, Siha, Hai Moshi (V) kuna nini ?

Punguzeni kuchonga aisee. Miji imekaa kama mahame lakini kutwa kucha mnachongaaa kama nini.
Mimi home ni Butiama, wilaya ni changa lakini huwezi kuifananisha na hii takataka.
 
Punguza jazba mzee, mimi sio mchaga ni msukuma, ila generally wachaga wameendelea kuliko jamii yoyote Tz. Mimi nimeamua kuungana nao kwa kuoa mchaga
 
Back
Top Bottom