Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Unajua Hii wilaya kwanza kijiografia ipo mwinuko kati ya mita 1300 hadi 2200. Kuna hali nzuri sana ya hewa hilo halina ubishi.

Watu wanaposikia hii wilaya kitu cha kwanza wanajua watu wa huko ni walevi choka mbaya kiasi kwamba hakuna maendeleo yeyote. Ila laiti wangejua Hii wi

Sehemu yao ya kujivinjari ni tarakea, Mashima au mashati huko....maana huku bia ni rahisi sana ukilinganisha na kwao. Kwa kifupi kiuchumi wilaya ya Rombo inajiweza. Msipadis sana kama hamjawahi fika naomba mfike.

Haters karibuni kwa mapovu
Wewe umeleta hyo hoja kwa mara ya kwanza, ukidai rombo inapondwa, wewe ndo unaeponda.
 
Nimetembea nchi nzima,nambie ni mkoa upi wilaya zake zina hospitali Zaid ya moja na uzitaje kama nilivyotaja
Wilaya ya muleba mkoani kagera ina hospital nne

Rubya hospital
Kagondo hospital
Ndolage kamachumu hospital
Izimbya hospital

Wilaya ya bukoba kagera
Bukoba district hospital
Bukoba council hospital
bukoba regional hospital
Cosad hospital
ndolage bukoba hospital

Wilaya ya misenyi kagera
mugana hospital
kajunguti hospital
Misenyi district hospital
Kagera sugar hospital


Nk mk.


Kimsingi mkoa wa kagera wilaya zote zina hospital zaidi ya moja
 
Wilaya ya muleba mkoani kagera ina hospital nne

Rubya hospital
ukoba regional hospital
Cosad hospital
ndolage bukoba hospital
Labda ni uhitaji maana lazima vituo vifunguliwe kwa uhitaji kwa huko Rombo unaweza fungua vituo vya Afya vikabaki Tupu/Empty / NIL sasa sijui ni ubahili wa wachaga kwenye matibabu?...Hivi ile Hospitali ya Ngoyoni ukiacha Ile ya Mkuu nayo ina wagonjwa wengi? kwa anayefahamu..........
 
Wewe unaongelea sana upande wa Tarakea na Useri kule..

Ebhanaa eee kuanzia Mengwe kwenda hadi Shimbi kuna mijengo migombani sio poa..Shimbi huko ndo hatari kabisa.
Niko hapa Rombo Mkuu, hivi hapa ndio wilayani mjini au kijijini ???

Aiseee🤣🤣🤣
 
Niko hapa Rombo Mkuu, hivi hapa ndio wilayani mjini au kijijini ???

Aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upo sehemu gani specifically?..na ni nani alikuambia Rombo ina umjini mjini kama wa Moshi ni nani?..Rombo ni Wilayani ambako sio makao makuu ya mkoa..ingia migombani huko uone mijengo,then utuambie Wilaya iliyojengwa kama hiyo.
 
Upo sehemu gani specifically?..na ni nani alikuambia Rombo ina umjini mjini kama wa Moshi ni nani?..Rombo ni Wilayani ambako sio makao makuu ya mkoa..ingia migombani huko uone mijengo,then utuambie Wilaya iliyojengwa kama hiyo.
Mkuu, ni kweli Kilimanjaro kwa ujumla wamejitahidi kujenga nyumbani, ingawa majumba mengi ni empty na kupangilia miji na kutunza mazingira ila miji bado sana Mkuu.
 
Weee geita ipi? Geita imejaa umaskini mkali ukitaka kujua umaskini wa eneo angalia makazi tu, ulishawah ona nyumba ya nyasi hata moja ROMBO? Ila geita yako 40% Ni nyumba za nyasi

Geita Ni mkoa wa 3 kwa umaskini Tanzania unasema nn?

Ukibisha nitaendelea kukuumbua

View attachment 1699151
Mkuu nyumba mmejenga na mabanzi ya mbao yale reject unasema hamna nyumba ya nyasi
 
Hiyo Rombo yako nimekaa kama mtumishi zaidi ya miaka minne, naijua nje ndani, mnajimwambafy sana as if kuna la maana sana, huku geita rombo yako yote nakushushia kata ya lwamgsa tu mnakaa chini.
Rombo iko nyuma sana. Nyumba za miti na tope ni nyingi sana. Hali ngumu ya maisha inafanya wakazi wake kunywa pombe Kwa wingi kuondoa sonoma
 
Hapo siyo makao makuu ya mkoa hapo ni wilayani tembea kwenye kaya uone mijumba ya watu huko migombani jombaa!! Baada ya hapo uende Tarakea na Holili
Hapa ndio wilayani kabisa.

Wilaya utafikiri ineanza jana.
 
Back
Top Bottom