Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Hizo takwimu zinaathiriwa na wingi wa watu.

Ndio maana hata China mpaka leo ni nchi inayoendelea.
Kivipi mkuu?..

Kipimo ni standard ya maisha...na Kilimanjaro without a dought kuna unafuu..wingi au uchache wa watu kwenye standard ya maisha hauna lolote la kufanya.
 
vijana wa rombo ni wavivu ,dada zao ni mama huruma,yaani hawa si wachoyo kabisa ukimuomba anakupa bila shida mahaba. Ukioa kule basi kuchapiwa lazma maana kujipendekeza wanaongoza.suala la ulevi rombo sijui tatizo n nn,aise rombo wanatisha.wanawake wengi wa rombo ni ma single maza,nadhani kwa u single mother. Rombo wanaongoza,sijui inshu ni huu ulevi au tatizo ni Nini!
Not to that extent,ingekuwa ni wavivu kusingekuwa na maendeleo hayo
Kuhusu kunywa pombe ni kawaida pombe inanyweka nchi nzima sio rombo tu
 
Hizo takwimu zinaathiriwa na wingi wa watu.

Ndio maana hata China mpaka leo ni nchi inayoendelea.
Sasa ni kipi chá uongo? Mkoa wa Kilimanjaro ndio unaongoza kwa miundombn toshelez vijijin hasa elimu,afya, barabara
Ni mkoa wa Kwanza Tanzania kuwa na sekondar nying licha ya kwamba ni mkoa mdgo kieneo,ni mkoa wenye hospitali na vituo vya Huduma za afya nying,ni kawaida kukuta wilaya za Kilimanjaro zina hospital Zaid ya moja mfano wilaya ya Moshi kilema hospital,minja hospital,kibisho hospital,marangu hospital,wilaya ya siha kibongoto hospital, siha DC hospital nk
 
Wewe umeshatembea nchi nzima mpaka uconclude kuwa Kilimanjaro ndio inaongoza!
 
Rombo kila mtu anaisaka shilingi ... kuanzia yankii hadi mzeiya
Halafu asikufiche mtu ... kampeni kipindi cha uchaguzi huku rombo zinafanyika ila kwa kujishtukia sana ...ccm rombo haikubaliki kiviile tokea ile kashfa ya aliyekuwa gavana wa BOT na waziri wa fedha miaka hiyo Basil Mramba...kwa kifupi ccm rombo haina mvuto.

Viwanda vya kuchakata magogo yanayotoka msitu wa Rongai ni zaidi ya 200+ kwa kifupi rombo inajitosheleza kwa kila nyanja .
We fikiria sehemu nyingine shule zipo za kulenga kwa manati wakati wilaya ya rombo hususan hapa tarakea kuna shule ya sekondari moja inaitwa Namfua secondary ipo abandoned imekosa wanafunzi. Rombo kulikucha Kabla hata ya kupata uhuru
 
Wewe unaongelea sana upande wa Tarakea na Useri kule..

Ebhanaa eee kuanzia Mengwe kwenda hadi Shimbi kuna mijengo migombani sio poa..Shimbi huko ndo hatari kabisa.
 
Rombo imeendelea sana barabara ni nzuri, makazi ya watu ni bora kuna mijengo ya maana huko migombani kuanzia mfano kata ya Mahida, Mamsera, Mengwe, Keni kuna matajiri balaa! Pia wilaya ya Rombo inayo miji mitatu midogo Holili, Mkuu na Tarakea.

Shughuli za kilimo ardhi inakubali mazao pia wafanyabiashara wa ndizi na parachichi wanauza sana Kajiado, Nairobi Mombasa, Taveta na mikoa mingine hapa Tanzania hasa Arusha Tanga Dodoma na Dar es salaam.

Kuna mji mwingine mdogo Kidondoni upo kata ya Chala unakuwa kwa kasi sana. Usafiri ni wa uhakika muda wowote kutoka Moshi mjini hadi Tarakea. Pia kuna barabara inayopita ukanda wa chini lower road kutoka Moshi hadi Tarakea
Karibu Rombo!
 
Hakika mtoa mada umeeleza kwa usahih kabxa,mfano kuna waalim fln wameletwa kule kutoka mikoa ambayo haina ile greenish,xo kufika kule bac wameona kama wapo kweny ile bustan ya eden,yaan yamejinenepea na hawatak hata kurud kwao,issue ya service kuanzia huduma za afya usafir hadi chakula ziipo fresh,kule n kawaida sanaa kupewa mkungu wa ndiz kwa ajil ya kula na familia,nyumba pia nyingi huwa wafanyakaz wanapewa tu waish bure kwa ajili ya uangalizi tu..,.ila kinachoniumiza kwa ss iv tunaenda kuelekea kweny aging population kutokana na vijana wengi wameamua kwenda kuzisakaa njee ya mkoa miongon nikiwepo mimi,kwa hyo unakuta shule moja ina wanafunz 100, ila kila kitu kipo,hili n janga kwa baadae cz watot watapoteza ule utamadun wao halisi kama wamezaliwa na kukulia nje ya mkoa huo!!rai yangu kwa wote.

Haijalilsh umepangwa kazi katika wilaya ya rombo,wala usiogope kinachozungumzwa huku kuhusiana na wilaya ya rombo ni kuichafua tu...nakumbuka aliesema kuwa wanawake wa rombo wanaenda kutafuta wanaume kenya alikuwa n mkuu wa wilaya flan iv ambaye kwa makusud kabica alifanya vile baada ya kukumbana na upinzan mkali kutoka kwa wanarombo kwan wao imezoelekan wanachadema na hawapendi kuyumbishwa na uongo wa kisiasa...kwa hyo lengo lake lilikuwa tu kuichafua rombo kwa namna ile na kwel alifanikiwa,ila ukiwa rombo ndo utauona uhalisia wa wana rombo.
 
Hakika mtoa mada umeeleza kwa usahih kabxa,mfano kuna waalim fln wameletwa kule kutoka mikoa ambayo haina ile greenish,xo kufika kule bac wameona kama wapo kweny ile bustan ya eden,yaan yamejinenepea na hawatak hata kurud kwao,issue ya service kuanzia huduma za afya usafir hadi chakula ziipo fresh,kule n kawaida sanaa kupewa mkungu wa ndiz kwa ajil ya kula na familia,nyumba pia nyingi huwa wafanyakaz wanapewa tu waish
Excellent
 
Sasa ni kipi chá uongo? Mkoa wa Kilimanjaro ndio unaongoza kwa miundombn toshelez vijijin hasa elimu,afya, barabara
Ni mkoa wa Kwanza Tanzania kuwa na sekondar nying licha ya kwamba ni mkoa mdgo kieneo,ni mkoa wenye hospitali na vituo vya Huduma za afya nying,ni kawaida kukuta wilaya za Kilimanjaro zina hospital Zaid ya moja mfano wilaya ya Moshi kilema hospital,minja hospital,kibisho hospital,marangu hospital,wilaya ya siha kibongoto hospital, siha DC hospital nk
Niko hapa Rombo Mkuu, ni pa kawaida mnoooo.

Unapiga picha za hapa na pale huko Tarakea halafu unaleta stori za uongo humu.

Hivi hapa Rombo utaita ni mjini kweli ???

Tena nimegundua wewe mwenyewe hujawahi kufika Rombo.

Nimepita Same, Mwanga, Moshi na sasa Rombo yaani ukiacha Moshi mjini, Kilimanjaro hakuna maajabu.
 
Back
Top Bottom