Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Hivyo vituo vya Huruma viko mjini au villa chaka chaka ??
Vipo vijijn ndan, Ila vijiji vya rombo na uchagani kwa ujumla huwez jua kama upo Kijijin maana kila kitu kipo hadi supermarket na matawi ya benk
Refer crdb marangu,crdb machame,nmb machame,nmb himo nk vijiji vya uchagani ni kama miji kwenye baadhi ya wilaya Tanzania
 
Ad magorofa yamo ya kutosha..hakuna uhaba wa madarasa na vitendea Kazi vyake..pia imeunganishwa kwa lami kuanzia Moshi mjin ad tarakea. Hata barabaran za mtaaan zinapitika.. kipindi Cha mvua ndo utakuta barabara chache zenye utelezi tu
Absolutely
 
Vipo vijijn ndan, Ila vijiji vya rombo na uchagani kwa ujumla huwez jua kama upo Kijijin maana kila kitu kipo hadi supermarket na matawi ya benk
Refer crdb marangu,crdb machame,nmb machame,nmb himo nk vijiji vya uchagani ni kama miji kwenye baadhi ya wilaya Tanzania
Gharama za maisha vipi ?
 
Unajua Hii wilaya kwanza kijiografia ipo mwinuko kati ya mita 1300 hadi 2200. Kuna hali nzuri sana ya hewa hilo halina ubishi.

Watu wanaposikia hii wilaya kitu cha kwanza wanajua watu wa huko ni walevi choka mbaya kiasi kwamba hakuna maendeleo yeyote. Ila laiti wangejua Hii wilaya kila mtumishi wa umma aliyeajiriwa iwe kwenye shule, benki au polisi hawatamani kuhama wasingeibeza.

Ni kweli pombe inanyweka tena sana kuanzia pande za kikelelwa mpaka mamsera mashati, usseri ndani ndani pombe inanyweka ila watu wanapadis ohooo Rombo hakuna maendeleo kisa ulevi.

Na huku kunywa pombe kunachangiwa na upatikanaji rahisi wa malighafi ya kutengeneza pombe ya mbege ambazo ni ndizi pamoja na hali ya hewa (baridi) ila maendeleo yapo na watu wapo wanakimbizana kuitafuta shekeli kwa udi na uvumba. Iwe ni kwenye biashara kilimo n.k mfano Kilimo cha viazi Rongai, mahindi japo sio sana n.k.

Viwanda vya mbao vipo kuanzia kikelelwa tarakea hapo kwa maulid peleka hadi Mashima usseri n.k. kwa takwimu za haraka haraka za pale ofisi ya Rongai kuna karibia viwanda 200 ambavyo vipo registered katika kuchakata mbao.

Kama msitu upo Norh Kilimanjaro forest plantation wenye almost hectare 8000 na point.
Utalii wa mlima Kilimanjaro n.k.

Kwa vile tupo mpakani hapa siku za weekend wakenya wanakuja ku spend na familia zao kupata kitimoto ,bia au ugali samaki snow cape AU resort inn. Kwa kifupi wakenya kutoka kwenye miji ya kimana, oloitoktok, illasit n.k

Sehemu yao ya kujivinjari ni tarakea, Mashima au mashati huko....maana huku bia ni rahisi sana ukilinganisha na kwao. Kwa kifupi kiuchumi wilaya ya Rombo inajiweza. Msipadis sana kama hamjawahi fika naomba mfike.

Haters karibuni kwa mapovu
Ila haijajengeka sana na kuna upungufu mkubwa wa maduka ya madawa
 
Acha ujinga.

Mimi nataka kujua kuhusu gharama za vyakula, maji, mavazi, nyumba za kuishi.

Siyo kuhusu biashara.
Nyumba za kupanga wastani shilingi 25000 ,maji yapo vyakula sio Bei kubwa wastani
 
Nyuzi za Rombo zimekua nyingi sana kipindi hiki, anyway subiria Wahaya pia waje na moto hawakubaligi kushindwa.
Labda wanataka iwe mkoa kama Chato!
Nyumba za kupanga wastani shilingi 25000 ,maji yapo vyakula sio Bei kubwa wastani
Umekuwa mwema sana, jamaa ametumia neno baya lakini umempatia majibu, umeonyesha uungwana.
 
Wewe kitimoto tulia.

Nakuja huko Rombo ili nione uthibitisho wa huu uongo wenu maana wachagga ni mabingwa wa kujimwambafai.
Unaenda uko kwa wachaga kufanya nini, Mimi Msukuma wa Chato, njoo Chato kuzuri sana.
 
Tatizo kubwa la Watanzania ni kuwa huwa tunapenda fata mkumbo za kijinga sana.

Rombo ni kati ya Wilaya ambazo zina maendeleo Tanzania. Tatizo mtu hajawahi kufika Rombo lakini anaongelea mtandaoni utafikiri ni mwenyeji.

Tupunguze ujinga. Hao wanaoleta masuala ya ulevi kuhusu Rombo ni utani wa jadi tu lakini mazwazwa wanachukulia kuwa ni kweli na kwakuwa hawapajui Rombo wanaamini upuuzi.
 
Labda wanataka iwe mkoa kama Chato!

Umekuwa mwema sana, jamaa ametumia neno baya lakini umempatia majibu, umeonyesha uungwana.
Nipo nae taratib tu namkaribisha rombo ajionee maendeleo halisi,ajionee mahelalu vijijin hadi aseme yupo Amsterdam au Paris
 
Unaenda uko kwa wachaga kufanya nini, Mimi Msukuma wa Chato, njoo Chato kuzuri sana.
Chato nimepita sana wakati naenda Bukoba.

Sasa hivi ni zamu ya Kaskazini maana sijawahi kufika huko.
 
vijana wa rombo ni wavivu ,dada zao ni mama huruma,yaani hawa si wachoyo kabisa ukimuomba anakupa bila shida mahaba. Ukioa kule basi kuchapiwa lazma maana kujipendekeza wanaongoza.suala la ulevi rombo sijui tatizo n nn,aise rombo wanatisha.wanawake wengi wa rombo ni ma single maza,nadhani kwa u single mother. Rombo wanaongoza,sijui inshu ni huu ulevi au tatizo ni Nini!
 
Wewe kitimoto tulia.

Nakuja huko Rombo ili nione uthibitisho wa huu uongo wenu maana wachagga ni mabingwa wa kujimwambafai.
Hatujimwambafy mkuu hata ripoti za serikali zinatambua.kama umeona wivu pôle Sana,karibu rombo na uchagani kiujumla utashangaa mwenyewe .
JamiiForums-1449029565.jpg
 
Back
Top Bottom