Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kabisa. Nilipanic na nikawa nahisi atanitafuta kwa kuwa nimemuona. Nimeingia ndani nikamwambia dada usimfungulie mtu yeyote nikapitiliza chumbani kulala. Siku mbili nikiwaza ile kinyago natetemekaMi nikiona range rover au bmw lazima niangalie gari na anaendesha anafanana nalo?wakati hata baiskeli sina [emoji23][emoji23][emoji23]
Sipati picha ulivyoshtuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi ukajitia mpenda lift unaokotwa kwenye kiroba sasa nani anataka habari hizo
Mkuu hiyo sura ya huruma inatokan na kuwa huku chini tumebananana miguukwann abiria wa kwenye daladala wanapenda kuwaangalia wenye magari binafsi alafu wanatia huruma sana??!
Mbona umeingilia biashara ya wakurya chief??Ni hulka ya binadamu.
Mimi nikiwa kwenye basikeli nikiwa napeleka mayai mjini naangalia sana waliopo kwenye madala dala
Habari za asubuhi nzuri mtu wangu. Basi usichat usiwe unajenga mahemaMtu wangu habari za asubuhi. Nimemis kuchati na wewe ila tatizo nikichati na wewe tu najenga hema sanaaa
Tunakukuta ufukwe wa mto ruvuSiku hizi ukajitia mpenda lift unaokotwa kwenye kiroba sasa nani anataka habari hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupewa lift sio rahisi. Kwanza watoa na wapewa lift tunaogopanaIli upewe lift
Mkwe mwenzio naumwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una nini wewww
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina sie hao. Mara ntaweka nyimbo nijitingishe kidogo mara nitapunguza ac mara baby ninunulie crispy hapo mkononi nina glass yangu ya JD. Main chick wenyewe hawanaga mbwembweMagari yana mambo sana, usiombe mchepuko uwe umepakizwa hizo ashuo sasa, ila mama mjengo kimya anatulia kaweka nyimbo za mapambio.
Tumezid nn mkuu. Nyie kwenye folen mnatungaliaga kwa maringo hafu mnatoa vismatifon mnajifanya mnachat
Hahaha main anajua siti yake ile siku zote so anakua hana mbwembwe nyingKina sie hao. Mara ntaweka nyimbo nijitingishe kidogo mara nitapunguza ac mara baby ninunulie crispy hapo mkononi nina glass yangu ya JD. Main chick wenyewe hawanaga mbwembwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nyie ni wengi kuliko wenye magar binafsiTumezid nn mkuu. Nyie kwenye folen mnatungaliaga kwa maringo hafu mnatoa vismatifon mnajifanya mnachat
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi si tunajua tunakalia siti kwa masaa tuHahaha main anajua siti yake ile siku zote so anakua hana mbwembwe nying
Sent using Jamii Forums mobile app