Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

Mi nikiona range rover au bmw lazima niangalie gari na anaendesha anafanana nalo?wakati hata baiskeli sina [emoji23][emoji23][emoji23]

Sipati picha ulivyoshtuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
acha kabisa. Nilipanic na nikawa nahisi atanitafuta kwa kuwa nimemuona. Nimeingia ndani nikamwambia dada usimfungulie mtu yeyote nikapitiliza chumbani kulala. Siku mbili nikiwaza ile kinyago natetemeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magari yana mambo sana, usiombe mchepuko uwe umepakizwa hizo ashuo sasa, ila mama mjengo kimya anatulia kaweka nyimbo za mapambio.
Kina sie hao. Mara ntaweka nyimbo nijitingishe kidogo mara nitapunguza ac mara baby ninunulie crispy hapo mkononi nina glass yangu ya JD. Main chick wenyewe hawanaga mbwembwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom