bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Yea ya milele yasiyo na kifo,magonjwa,shida nkKwamba dunia ni makao ya muda, means kuna makao mengine mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yea ya milele yasiyo na kifo,magonjwa,shida nkKwamba dunia ni makao ya muda, means kuna makao mengine mkuu?
Mabaya kwa tafsiri ipi maisha mazuri tuSasa hata kama ni makazi ya muda, ndio mabaya yawezekane?
1. Unakataa kwasababu unadelusion yako kuhusu asili ya mwanadamu.Hizo ni story za abunuwasi eti species mbona siku hizi binadam hawabadiliki kwa mujibu wenu means mabadiliko ni on going process na Sio static,mbona binadam amestack kubadili kuelekea another species.
Ishu ya binadam wa kwanza sijui bonde la oldvai Haina mashiko Wala uthibitisho zaidi ya propaganda tu za freemason kuichallenge asili ya Mwanadamu.
Kwahiyo unakataa duniani hapa hakuna mabaya wala majanga?Mabaya kwa tafsiri ipi maisha mazuri tu
Sasa huyo Mungu alishindwa vipi kutengeneza huo ulimwengu wenye maisha ya milele yasio na kifo, magonjwa shida n. K?Yea ya milele yasiyo na kifo,magonjwa,shida nk
Na huyo homo habilis/mnyama wa kale asili yake au chanzo chake ni kipi?Asili ya binadamu
(unapoongelea bonadamu unaongelea ni species ya homo sapiens)
Binadamu (homo Sapiens) ana asili ya kimsingi kutoka kwenye mnyama wa kale anayefahamika kama Homo habilis, ambaye aliishi takriban miaka 2.4 hadi 1.4 milioni iliyopita. Hapo awali, binadamu wa kale (homo habilis) waliishi katika mazingira ya pori huko Afrika Mashariki, ambayo ni sehemu ya sasa ya Tanzania na Kenya.
Kupitia mchakato wa mamilioni ya miaka, spishi mpya zilijitokeza, kama vile Homo erectus, Homo neanderthalensis, na mwisho Homo sapiens, ambao ndio spishi pekee ya binadamu inayosalia duniani leo.
AahhaaaaSisi tunaambiwa tumeumbwa kwa sura na mfano wake, kwahiyo huenda naye ana tabia kama zakwetu.
Si unaona hata wewe kuna watu kibao wana shida na uwezo wa kuwasaidia unao ila unauchuna kama huoni vile..🙄
Mipango ya Mungu Sio mawazo ya binadam.Mwanadamu aliwekwa Bustani ya Eden akazingua ametupwa Duniani ili afanye matengenezo ili aingie ulimwengu mpya baada ya huu kufutwa huko mbeleni yaani mbinguni mpya ulimwengu mpya usio na mwishoSasa huyo Mungu alishindwa vipi kutengeneza huo ulimwengu wenye maisha ya milele yasio na kifo, magonjwa shida n. K?
Huoni kuwa hoja yangu main ndo hii?
Alishindwa kuumba huu ulimwengu tunaouishi sasa hivi ukawa kama huo unaousema utakuwa wenye
maisha ya milele yasio na kifo, magonjwa shida (mabaya) n. K?
Alishindwa vipi?
unazunguka tu mkuu na naamini ushajua kabisa kuwa huyo Mungu hayupo na hizi ni kamba tu umekaririshwa ukiwa mtoto (ukiwa huna akili)
Mwanadamu aliumbwa na Sio kujitokeza tu1. Unakataa kwasababu unadelusion yako kuhusu asili ya mwanadamu.
Nan alikwambia kuwa mabadiliko yamestack na hawabadiliki kuelekea specie nyingine?
Kwanini unasema haina uthibitisho.
Umesoma evolution vzuri?
2. Inaonekana unajua fika kabisa na ukweli kuhusu asili ya mwanadamu.
Unadai kwamba evolution ni propaganda za freemason kuchallenge asili ya mwanadamu,
Nieleze Asili ya mwanadamu ni nini?
Mabaya na majanga hayaondoi kusudi la utamu wa maishaKwahiyo unakataa duniani hapa hakuna mabaya wala majanga?
Chanzo chake sikijui.Na huyo homo habilis/mnyama wa kale asili yake au chanzo chake ni kipi?
Na vipi nitawaamini katika tafiti zao? Kwa mana kwamba usahihi wao nitauamini vipi kuanzia kwa huyo homo habilis hadi homo sapiens ambaye wewe unasimamia kuwa ndio chanzoChanzo chake sikijui.
Watafiti wa mambo ya kale bado wako kwenye utafiti.
Mkuu sijajua unaposema bustani ya eden unamaanisha ilikuwa wapi.Mipango ya Mungu Sio mawazo ya binadam.Mwanadamu aliwekwa Bustani ya Eden akazingua ametupwa Duniani ili afanye matengenezo ili aingie ulimwengu mpya baada ya huu kufutwa huko mbeleni yaani mbinguni mpya ulimwengu mpya usio na mwisho
Hoja kuu ni kuwa, Huyu Mungu muweza wa yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kwanini kaumba huo ulimwengu wenye uwezekano wa mwanadamu kuzingua?Mwanadamu aliwekwa Bustani ya Eden akazingua ametupwa Duniani ili afanye matengenezo ili aingie ulimwengu mpya
Sawa, naomba nkubali kwa mujibu wako kuwa hakujitokeza na aliumbwaMwanadamu aliumbwa na Sio kujitokeza tu
Kwahyo watu wanaoteseka mpaka wanakufa, kunawatu tangu wamezaliwa ni wanamagonjwa ya ajabu wameishi nayo kwa taabu mpaka wanafariki.Mabaya na majanga hayaondoi kusudi la utamu wa maisha
Nlikuuliza kuwa, umesoma nadharia ya evolution vizuri?Na vipi nitawaamini katika tafiti zao? Kwa mana kwamba usahihi wao nitauamini vipi kuanzia kwa huyo homo habilis hadi homo sapiens ambaye wewe unasimamia kuwa ndio chanzo
cha binadamu?
Mwanadamu aliumbwa na Mungu kwa kutumia udongo kama sanamu kisha akaulizia pumzi akaipa uhai.Sawa, naomba nkubali kwa mujibu wako kuwa hakujitokeza na aliumbwa
Nieleze huyo mwanadamu aliumbwa na nani sasa?
Unaweza kunieleza huyo Muumbaji yeye alitokea wapi na anaishi wapi?
Huyo muumbaji alitumia material gan kuumba watu?
Evolution of man ni andiko la binadamu, sawa au sio sawa? Tafiti zake una kiwango gani cha usahihi hata niwe na hoja madhubuti za kukana uwepo wa mungu?Nlikuuliza kuwa, umesoma nadharia ya evolution vizuri?
Utamu wa maisha utegemea na tafsiri yako mwanadamu si zaidi ya kula na kunywa mengine ni ziada.Kwahyo watu wanaoteseka mpaka wanakufa, kunawatu tangu wamezaliwa ni wanamagonjwa ya ajabu wameishi nayo kwa taabu mpaka wanafariki.
Watu wanapigwa vimbunga na matetemeko, maelfu ya watu wanakufa na wengine wanabakizwa na ulemavu wa kudumu,
Kifo kinawatenganishwa ndugu, wanabaki na majonzi wengine hushindwa kuvumilia mateso wanakata tamaa mpaka wanaamua kujiua ili wapumzike
Halafu unasema hayaondoi kusudi la utamu wa maisha.?
Utamu gani kwenye maisha kwa watu hao.
Yaani umejenga choo kisicho na tundu then useme hakiondoi lengo la kutaka kulenga tundu.