Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Atanifanyiaje kitu chochote wakati hayupo!?Yaani wewe unataka Mungu akufanyie kila kitu kama mtoto mchanga,vip na hyo akili amekupatia ya kazi gani sasa? Wewe siyo Roboti
Hujaweza kujibu hata nlichokiuliza hapo juu japo umekiquote.
Hujajibu hoja kuu ya "vimondo" na uhusiano wa "kufa ni kuchagua"
Unaweza thibitisha kuwa Mungy yupo walau hata kwa kuondoa contradiction zilizopo kwenye dhana ya uwepo wake?