Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

Watu wanateseka duniani sababu ni watenda dhambi .
Principal iko wazi ukimtumikia Mungu kwa uaminifu bila makandokando ya kumchukiza kwa matendo maovu ukaamua kuishi ya kulifata neno lake hakikahuwezi kuteseka.
Ila ukiishi kwa mazoea ya kutenda dhambi wewe ni wa shetani hakika Mungu hawezi kuwa rafiki yako .
 
Narudia kukujibu,Mungu uokoa walio wake.Iman haithibitishwi kwa macho tu,si Kila alitajale jina la Mungu au aingiaye kanisan anamuabudu Mungu pia Sio yote makanisa ni ya Mungu inakuhitaji macho ya rohoni kuyatofautisha kupitia maandiko.
Umeshindwa kujibu kama inavyopaswa,

Nlikuuliza hv
  1. Sasa kwanini Hadi hzo nyumba za ibaada zinabomoka?
Au si za Mungu?

Unasema sio yote ni ya Mungu

Sawa, sio makanisa yote ni ya Mungu ila yapo baadhi ni ya Mungu yanayokutwa na majanga. (kwa mujibu wako)

Sasa tumia hoja ya hizo nyumba baadhi ambazo ni za Mungu, achana na zisizo za Mungu kujibu swali langu.

Kwanini hizo nyumba baadhi ambazo ni za Mungu (sio zote) zinabomoka wakati wa majanga ya asili wakati ni zakwake?
♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️

Swali jingine ni hili hujalijibu,

Ulisemavkuwa watu wanakufa kwasababu hawamtumainii Mungu,

Wote waliokufa kwenye matetemeko hawamtumainii Mungu?

Next time you tag me
 
Nasena hayupo kwasababu hayupo.

Mungu ni mhusika mkuu wa hadithi za alfu lela ulela zilitungwa na watu wa zama za giza na ujinga kwa lengo kuu la kujibu maswali magumu yaliyowakabili.

Nafkiri nlikwambia muda huko nyuma..
Ama si wewe?
Mungu yupo,ndie ameumba mbingu na nchi,na vilivyomo.
Akili yako ni sawa na mtu,aone gari na vilivyomo ndani ya gari,mashine,matairi,battery,seat,vioo,milango,nk.Halafu aseme hakuna aliyetengeneza hiyo gari,--iko hivyo ilivyo yenyewe,!utaonekana huna akili kichwani.Ndio sawa na kuona dunia na vilivyomo,halafu useme hakuna aliyeviumba.
 
Watu wanateseka duniani sababu ni watenda dhambi .
Principal iko wazi ukimtumikia Mungu kwa uaminifu bila makandokando ya kumchukiza kwa matendo maovu ukaamua kuishi ya kulifata neno lake hakikahuwezi kuteseka.
Ila ukiishi kwa mazoea ya kutenda dhambi wewe ni wa shetani hakika Mungu hawezi kuwa rafiki yako .
Alfu lela ulela tu.

Unaweza thibitisha Mungu yupo na huyo shetani yupo na si hadithi za kutungwa tu na watu?
 
Mungu yupo,ndie ameumba mbingu na nchi,na vilivyomo.
Akili yako ni sawa na mtu,aone gari na vilivyomo ndani ya gari,mashine,matairi,battery,seat,vioo,milango,nk.Halafu aseme hakuna aliyetengeneza hiyo gari,--iko hivyo ilivyo yenyewe,!utaonekana huna akili kichwani.Ndio sawa na kuona dunia na vilivyomo,halafu useme hakuna aliyeviumba.
Si kweli, Gari inaushahidi wa hadi inakotengenezwa, Manual ya gari na brand yake ipo. Na imetengenezwa panapojulikana.

Sasa kama dunia na vyote vilivyomo kaumba Mungu, huyo Mungu yeye atakuwa katengenezwa na nani?
 
Mungu tumemzidi mbali mno.

Mungu huyu hajui hata jua linaenda wapi usiku
Wewe ndio umezidiwa maarifa,usiyejua kama Mungu Yupo.Usingizi tu ukikujia huwezi kujizuia,utalala,hutaki au wataka,kifo kikikujia utakufa wataka hutaki,hapo jiulize ni nani anayenishinda nguvu,!mpaka nalala bila kupenda,na vile vile wanaokufa,usifikiri wamependa,wanajikuta tu wamekufa.
 
Mkuu,

Kama kweli Mungu yupi kwanini tuhitaji kitabu ama wahubiri?

Huyu mungu anamtegemea sana mwanadamu, anatula mabega tu.

Yaani mfano ukichukulia biblia wakati inaandikwa zamani, ilirekodiwa kwenye magome ya miti na vibao.

Sasa huyu Mungu amekuwa akitegea sana hata vitabu vyake vimekuja kuandikwa vizuri baada ya industrialization karatasi zikaanza kuwepo, na sasa hivi inahamia kwenye softcopy (kielectronic zaidi)

Angekuwa kweli analengo hili la kutunga kitabu, angekitunga toka awali tu kwa kuwasgushia karatasi tangu kabla ya kristo (KK)

Sasa mungu huyu hayupo ni watu tu wamemtunga.
Kushindwa kwake kujiomesha ama kuhubiri mwenyewe huu ni udhihirisho mwingine kuwa hayupo.
Huko kutojua kwako kua Mungu yupo,ndio uhakika wa kuwepo,kwa sababu kilichopo,ndio kinajulikana kuwepo kwake au kusikokuwepo kwake.
 
Huko kusema Mungu hayupo,ndio uthibitisho kuwa yupo,
Anayesema anaenda, hamaanishi anarudi.

Embu chukulia muktadha huu wa mahudhurio darasani.

Kwenye attendance,
Mwalimu anamuita jina "Kikwajuni One"
Wanafunzi wanaitikia "Hayupoooo"

Kwa maana hiyo na muktadha huo wa mahudhurio, kitendo cha wanafunzi kuitikia Hayupo kumemaanisha na kuthibitisha kuwa Kikwajuni One alikuwepo darasani?
♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️

kilichopo ndicho kinachosemwa hakipo,kwasababu kipo,ndio wapo wanaosema hakipo.
Kwahiyo Spiderman anavyosemwa hapa kuwa siyo real na hayupo Kumbe yupo?
 
Kushindwa kwangu kuyageuza kwa utashi wangu hakumfanyi huyo mungu awepo.

Thibitisha Mungu yupo.
Huo utashi unaokushinda,ndio kuwepo kwa huyo aliyepo,anayekushinda wewe kiuwezo,!ukashindwa kuamua,unavyotaka wewe.Ni sawa na TV,inavyoendeshwa na remote,bila kuwa na maamuzi yake mwenyewe.
Jaribu kijizuia usiende choo kikubwa au kidogo,uone kama utaweza.Na visipotoka utalia kilio cha mbwa mwizi.Na kusema bila kupenda sipati choo.
 
Wewe ndio umezidiwa maarifa,usiyejua kama Mungu Yupo.Usingizi tu ukikujia huwezi kujizuia,utalala,hutaki au wataka,kifo kikikujia utakufa wataka hutaki,hapo jiulize ni nani anayenishinda nguvu,!mpaka nalala bila kupenda,na vile vile wanaokufa,usifikiri wamependa,wanajikuta tu wamekufa.
Naona ni mwendo wa logical non sequitur.

Sasa kuzidiwa kulala mara kifo.. Kunathibitisha vipi uwepo wa Mungu?
 
Je matendo yetu yanasababisha matatzo kweli?

Unaweza kurelate kati ya matendo yetu mabaya na kutikea kwa matetemeko ama Tsunam?
Matetemeko ni binadamu wenyewe tunasababisha,!mabomu ya ardhini,ujenzi wa majumba marefu,kutumia ardhi kwa matendo maovu.Huko baharini mazoezi ya silaha kali,meli zilizozidi uzito,uingizaji wa mafuta machafu baharini,!!kukata miti,uharibifu wa mazingira nk.Unafikiri tsunam na tetemeko hayatacheza mbali.
 
Kuna mungu zeus, athena, poseidon,demeter,hestia, haphaestus, aphrodite,hermes, apollo, brahma the creator na wengine wengi

Unathibitisha vipi mungu wako wa quran ndiye mungu sahihi na si hao wengine?
Vipi nikikwambia leo nimekutana na alicorn au unicorn au hippogriff au alien kariakoo na nikamwelekeza maduka ya vifaa vya umeme, utasema ni kweli kwasababu tu nimekwambia?
Mungu huyo huyo anayetaka wengine wafe kwasababu tu hawapo katika dini yake? Huo uwezo wote uko wapi?
Hayo ni majina ya kilugha tu,waswahili twaita Mungu,wazungu God,wahindi Baguwan nk
 
Naona ni mwendo wa logical non sequitur.

Sasa kuzidiwa kulala mara kifo.. Kunathibitisha vipi uwepo wa Mungu?
Umesheelewa unajifanya hujaelewa.Hapo kwenye usingizi na kifo yupo anayefanya yatokee,ni nani,na kama hayupo snayefanya ulale na ufe,kwa nini udijizuie usife na usilale.
 
Back
Top Bottom