Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Sasa kwa Mujibu wako unaposema kuwa uovu wa wazazi usababishe mtoto kuwa vileKuna watoto wanateseka kutokana na uovu ambao wazazi wao walifanya...
Kutoka 20: 5
Biblia inasema nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi chaa tatu na cha nne...
Huyu Mungu atabaki kuwa wa haki?
Yani mungu kwa anavyosimuliwa tu kashindwa hata kufikia viwango vya haki kama binadamu anavyotafsiri haki.
Means binadamu anajua haki kuzidi hata Mungu.
Yaani Mungu kama angekuwepo kweli alipaswa kuwa ICC kujibu mashitaka makubwa kama hayo kwa makosa aliyoyasababisha na uhalifu.
Huyo Mungu katungwa tu, tena kaungwa ungwa tu na watu wenye uelewa mdogo wa mambo.
Mungu muweza wa yote, Mungu mjuzi wa yote, Mungu mwenye upendo na Mungu wa haki, inawezekana vipi aumbe huu ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Inakuwaje afanye watoto wateseke kutokana na dunia yenye uovu kuwezekana ambayo ameiumba yeye mwenyewe?