Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

Kuna watoto wanateseka kutokana na uovu ambao wazazi wao walifanya...

Kutoka 20: 5

Biblia inasema nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi chaa tatu na cha nne...
Sasa kwa Mujibu wako unaposema kuwa uovu wa wazazi usababishe mtoto kuwa vile

Huyu Mungu atabaki kuwa wa haki?

Yani mungu kwa anavyosimuliwa tu kashindwa hata kufikia viwango vya haki kama binadamu anavyotafsiri haki.

Means binadamu anajua haki kuzidi hata Mungu.

Yaani Mungu kama angekuwepo kweli alipaswa kuwa ICC kujibu mashitaka makubwa kama hayo kwa makosa aliyoyasababisha na uhalifu.

Huyo Mungu katungwa tu, tena kaungwa ungwa tu na watu wenye uelewa mdogo wa mambo.

Mungu muweza wa yote, Mungu mjuzi wa yote, Mungu mwenye upendo na Mungu wa haki, inawezekana vipi aumbe huu ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Inakuwaje afanye watoto wateseke kutokana na dunia yenye uovu kuwezekana ambayo ameiumba yeye mwenyewe?
 
Kuna watoto wanateseka kutokana na uovu ambao wazazi wao walifanya...

Kutoka 20: 5

Biblia inasema nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi chaa tatu na cha nne...
Screenshot_20230624-101440.jpg

Anza verse one
 
Yaani watu wanaona mfano mtu akiwa na ulemavu fulani basi kalaaniwa au ana madhambi kumbe hamna

Sometimes nature tu na hitilafu miili ni ya nyama hii
Kama jibu ni nature na hitilafu sawa ✅

Lakini ni udhihirisho mwingine kuonesha kuwa Mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote na mwenye upendo wote hayupo na wala hawezekani kuwepo.

Angekuwepo hizo hitilafu za maumbile tusingeziona
 
Sasa kwa Mujibu wako unaposema kuwa uovu wa wazazi usababishe mtoto kuwa vile

Huyu Mungu atabaki kuwa wa haki?

Yani mungu kwa anavyosimuliwa tu kashindwa hata kufikia viwango vya haki kama binadamu anavyotafsiri haki.

Means binadamu anajua haki kuzidi hata Mungu.

Yaani Mungu kama angekuwepo kweli alipaswa kuwa ICC kujibu mashitaka makubwa kama hayo kwa makosa aliyoyasababisha na uhalifu.

Huyo Mungu katungwa tu, tena kaungwa ungwa tu na watu wenye uelewa mdogo wa mambo.

Mungu muweza wa yote, Mungu mjuzi wa yote, Mungu mwenye upendo na Mungu wa haki, inawezekana vipi aumbe huu ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Inakuwaje afanye watoto wateseke kutokana na dunia yenye uovu kuwezekana ambayo ameiumba yeye mwenyewe?
Mungu ana Serikali na yeye na Sheria zake...Sasa tatizo hamfuati..

Mungu ni Mungu wa utaratibu
 
Mungu ni Mungu mwenye HAKI.
Amewapa Watu Uhuru WA kuchagua hayo Maisha iwe mazuri au Mabaya
Mkuu
Hapa mimi ntakupinga
(Kwa mujibu wako hapo)
Si kweli kama amewapa watu uhuru wa kuchagua mazuri ama mabaya.

Mimi sijachagua haya maisha nnayoishi saizi.

Nijibu hapa

Je wale waliokufa kwa matetemeko kule Hait na wale wanaokufa kwa vimbunga kama Tsunami hao walichagua hayo?

Mungu akituamulia tuishi Maisha mazuri kuna Watu wanaopenda Maisha mabaya watanyimwa Haki zao
Hakuna mtu anayependa maisha mabaya, nna uhakika na hili maybe kama unaweza tetea madai yako zaidi.

Kumbuka hata wanaofanya mabaya kama kuiba na kuvamia kwa silaha na kuua, wote lengo lao ni waishi vizuri.

Hivyo wanapenda maisha mazuri hawapendi mabaya.

Unaweza eleza hapa kidogo nkuelewe kama kweli kuna watu wanapenda mabaya?
 
Shetani sie tumemkuta, kosa letu liko wapi? Mungu amuondoe kama anaweza.
Kweli. Watu wengi uelewa wao duni akili wamempa mchungaji wao
Yaani ni mzazi gani anaweza
kuruhusu kwa makusudi nyoka aingie chumba cha watoto wake kisha kuwaambia mkizidiwa mniite? . Nina uwezo wote.
Ahahahaha kuna hoja hazijajibiwa
 
Shida mateso ni matokeo ya dhambi ukiishi kwa kufuata kanuni na mipango ya Mungu vyote kwako ni historia
 
Kuna watoto wanateseka kutokana na uovu ambao wazazi wao walifanya...

Kutoka 20: 5

Biblia inasema nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi chaa tatu na cha nne...
Kwahiyo we huna shida?
Ama kama una shida ni matokeo ya dhambi ama maovu ya vizazi vyako si ndio?
 
Sasa huyu ana shida gani ujaona watu wenye shida Duniani.
Hakuna shida yeyeto nje ya magonjwa, mengine ni mapito tu
 
Mungu ana Serikali na yeye na Sheria zake...Sasa tatizo hamfuati..

Mungu ni Mungu wa utaratibu
Sawa serikali tuassume kweli anayo, lakin Hujajibu nlichokuuliza,

Nmekuuliza hivi,
Kwa Mujibu wako unaposema kuwa "uovu wa wazazi usababishe mtoto kuwa vile" (kuwa walemavu)

Anaadhibu watoto ambao hata hawajamkosea?

Huyu Mungu atabaki kuwa wa haki?

Mungu muweza wa yote, Mungu mjuzi wa yote, Mungu mwenye upendo na Mungu wa haki, inawezekana vipi aumbe huu ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Inakuwaje afanye watoto wateseke kutokana na dunia yenye uovu kuwezekana ambayo ameiumba yeye mwenyewe?

Unaweza eleza hapo uhusiano wa hawa watoto ukihusianisha na hizo sifa za mungu zilizotajwa hapo juu.?

♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️ ♦️
 
Huo ndio ukweli. 90% ya Maisha yako yanatokana na uamuzi na chaguzi zako.
Mungu alichofanya ni kukukuwekea options tuu. Uchaguzi ni wako.
Umaskini na utajiri ni uamuzi wako.
Kifo na uzima ni uamuzi wako.
Kifo ni uamuzi wangu??
You ain't sreous
 
Shetani sie tumemkuta, kosa letu liko wapi? Mungu amuondoe kama anaweza.
Hawezi kumuondoa,

Hawezi kwasababu hayupo wala shetani hayupo.

Ni hadithi tu za watu wamejitungia kuja kutishia halaiki. Ndo maana wanaogopesha kwa kulichora lishetani lina mapembe
 
Lengo la kuletwa dunia ni kumuabudu Mungu...vingine ziada ..
Sasa Mungu alivyokuleta umuabudu yeye anapata faida gani?

Kwanini alipata wazo la ghafra akaharakisha kuumba vitu ndani ya siku, hilo wazo la haraka hivyo alilipata wapi kwanini asingebaki kwenye umilele akaamua kuumba dunia ambayo ni kama machinjio na mateso kwa viumbe wake.

Hilo lengo la kuletwa dunian sijui umelitoa wapi,

Unaweza kuthibitisha kama Mungu kweli yupo?
 
Back
Top Bottom