Kwanini watu wengi hawajui chochote kuhusu taifa la Israel, part 2

Mwanzo nilishasema wengi hamjui chochote kuhusu taifa la waisrael labda ngoja nikuambie hawa jamaa leo mnaowaita ni waisrael wanajilikana kama Ashkenazi ambao asili yao ni Uturuki hawa jamaa karne ya 8 ndio wali convert imani na ku adopt Judaism, na wengine waliishi maeneo ya Urusi na Ukraine, lakini badaye ikatokea kama jamii yao inapotezwa then wakaanza kutawanyika sehemu mbalimbali za Ulaya, na wengi walikua ni wafanyabiashara haswa wakopeshaji wa fedha.
Hii ndio sababu unaona weupe wao wangine ni tofauti na wazungu wa ulaya
 
tujue ili iweje? akili za misokwe mtu bwana
Moja kati ya uaribifu wa saikolojia wakoloni waliotuachia ni pamoja na kujidharau na kujichukia sisi wenyewe hivyo wewe mimi siwezi kukushangaa kwani huu ni ugonjwa unaowatesa watu weusi wengi hasa wale wanaoishi Africa
 
HUYU JAMAA MTOA UZI NI MSABATO ,NA WASABATO WANAAMIN WAO NDIO WAISRAEL.YAAN ISRAEL NI KIROHO ZAID KULIKO KIMWILI,HIVYO KIROHO WAISRAEL NI WASABATO
Ingeakua vizuri ungekuja na hoja kuliko unachokifanya kubambikia watu imani hata atuzijui, mimi na usabato wapi na wapi?
Labda ni kwambie tu najua hii hoja nilioileta hapa ulikua hauijui ila umekurupuka tu kuweka comment yako hapa, next time jaribu ata kufanya uchunguzi kidogo thene ndio uje na hoja
 
Hawa waisrael wa sasa wanatoka katika koo ya Ashkenazi au khazars waliishi Uturuki na wengine waliishi Urusi na Ukraine na wali adopt Judaism karne 8
 
Hawa waisrael wa sasa wanatoka katika koo ya Ashkenazi au khazars waliishi Uturuki na wengine waliishi Urusi na Ukraine na wali adopt Judaism karne 8
 
Ninyi waafrika mlipoteana wapi mpaka muanze kung'ang'ania mataifa na utaifa wa watu??

Wenzenu rangi nyeupe wako mbele kimaendeleo, kazi yenu ni kusema ooh sisi ndo binadamu wa kwanza, sisi tulikua na maendeleo, sisi ndo wateule...
Kwanini mko chini, kwanini mnahisi kubaguliwa na kunaguana ninyi kwa ninyi??

Hizi kujua Israel ni taifa la nani, ina faida gani kwenu??
 
Wewe mwenyewe huna hoja zaidi unalalamika, kwani wewe unaumia nini ukiona waafrica, wakijisifia kua ni binadamu wa kwanza?

Utumwa wa kifikra ulishawaaribu kazi ni kujidharau na kuwasifia wazungu ndio mnachokijua
 
Hawa waisrael wa sasa wanatoka katika koo ya Ashkenazi au khazars waliishi Uturuki na wengine waliishi Urusi na Ukraine na wali adopt Judaism karne 8
Nimekuuliza swali la msingi sana hauleti jibu.
Nimekuiliza Waisrael original wapo wapi kwa sasa?

Ukiachana na historia ya vita kuu ya kwanza ya dunia, vita kuu ya pili ya dunia na uhuru wa Israel 1947.

Ni mwaka gani ambao waisrael original waliondoshwa wakaisha wote nchini mwao na ni nani aliwaondosha?
 
Unatakiwa uelewe pia jews wamekuwa watu wa kukaa uhamishoni tangu enzi za zamani sana na mara kwa mara.

Mfano: MATENDO 2:5
Na walikuwako Yerusalemu Wayahudi wakikaa, watu watauwa, watu wa kila taifa chini ya mbingu

Jews waliohamia kwenye baadhi ya nchi (sina uhakika labda ndo hiyo Turkey au German n.k.) ndo walijulikana kama Ashkenazi.

Nafikiri kama ni msomaji wa Biblia mzuri utakuwa umekutana na hilo neno Ashkenazi.

Tatizo ni miaka mingi tangu haya mambo yaandikwe kwa hiyo hakuna namna utathibitisha pasi na shaka kwamba ndo hawa wahusika au sio.

Kama wamezaliana na kuchanganya damu sana kwa miaka mingi kwangu sioni mantiki ya kujadili vinasaba vyao, suala ni wanajitambuaje.

Yesu aliwahi kuwaambia watu, Mungu aweza kumwinulia Ibrahim uzai kutokea mawe, sasa unadhani huo uzao ungekuwa na DNA za Ibrahim?

Of course hilo kwa Mungu linawezekana lakini unadhani ni suala la muhimu kwa Mungu kuangalia DNA ya mtu?

Ukoo wa kifalme wa Daudi mwenyewe umekusanya wageni wa kutosha tu, Suleiman alioa wake kibao wa mataifa mengine kwa hiyo mpaka kufikia leo unadhani bado kuna haja kuangalia vinasaba?
 
Wewe mwenyewe huna hoja zaidi unalalamika, kwani wewe unaumia nini ukiona waafrica, wakijisifia kua ni binadamu wa kwanza?

Utumwa wa kifikra ulishawaaribu kazi ni kujidharau na kuwasifia wazungu ndio mnachokijua
Sote tu watumwa kifikra tumetofautiana mitazamo tu.

Vitabu mnavyotumia kama rejea ya mambo ya kale vimeandikwa na wao kwa lugha zao ninyi mnazitafsiri na kuweka maoni/mawazo yenu...

Nchi zenu ndo hizo historia mlizonazo ni za mkoloni, nyuma ya hapo pia mnatumia zilizoandikwa na mkoloni kwa lugha ya mkoloni.

Binafsi naona hazina msaada wowote maana wazee wenu walikosea kutoweka mambo kwenye maandishi na kuyalinda. Ninyi sasa andikeni historia zenu vizazi vijavyo vielewe ili msiandikiwe tena kama za huko nyuma.
 
Badala uhangaike kutafuta Hela Unahangaika kumjua Kush Sijui Hiyo Kush atakusaidia Nini Kweye Maisha haya yaliojaa Mahangaiko Kila mahali ni Pesa tuuu, SASA WEE MSUBILI CUSH AKULETEE HELA
 
DOGO HUJUI, NA HUNA JIPYA. UNA WAYA WAYA TU KAMA KUKU ALIYEKATWA KICHWA
 
DOGO HUJUI, NA HUNA JIPYA. UNA WAYA WAYA TU KAMA KUKU ALIYEKATWA KICHWA
Hoja upingwa kwa hoja, sasa wewe una hoja, ila umeamua tu kujiandikia tu, mimi naona wewe ndio unaye waya waya.

Leta facts tuone unachokijua sio unaleta mistari ya kwenye taarabu
 
Waisrahell wivi kama wivi wengine wowote wale na walishalaaniwa zamani sana

Laana itawatafuna sana hawa washenzi
 
Hoja upingwa kwa hoja, sasa wewe una hoja, ila umeamua tu kujiandikia tu, mimi naona wewe ndio unaye waya waya.

Leta facts tuone unachokijua sio unaleta mistari ya kwenye taarabu
NI KUPOTEZA MUDA KUZUNGUMZIA KITU KILE KILE MUDA WOTE. YAANI UMELETA MAMBO AMBAYO TAYARI TUNAYAFAHAM. HAMNA JIPYA.
 
MWAKA 70 AD MAJESHI YA KIRUMI YALIVAMIA JERUSALEMU NA NA KUCHINJA NA KUHARIBU KILA KITU HADI HEKALU LA SULEIMAN LILIHARIBIWA,.

Yesu aliwatabiria hivi:

LUKA 19
41 Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia,
42 akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.
43 Kwa kuwa siku zitakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote;
44 watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako.

LUKA 21
20 Lakini, hapo mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, ndipo jueni ya kwamba uharibifu wake umekaribia.
21 Ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani, na walio katikati yake wakimbilie nje, na walio katika mashamba wasiuingie.
22 Kwa kuwa siku hizo ndizo za mapatilizo, ili yatimizwe yote yaliyoandikwa.
23 Ole wao wenye mimba na wanaonyonyesha katika siku hizo! Kwa kuwa kutakuwa na shida nyingi katika nchi, na hasira juu ya taifa hili.
24 Wataanguka kwa ukali wa upanga, nao watatekwa nyara na kuchukuliwa katika mataifa yote; na Yerusalemu utakanyagwa na Mataifa, hata majira ya Mataifa yatakapotimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…