Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Habari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k?
Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti. Ukipita maeneo yenye madanguro au kwenye dadapoa ni nadra kuona hao Wadada wàzuri. Wengi waliopo ni wakawaida au wenye mionekano isiyovutia.
Au ni kwa nini wanaume Handsome hûjikuta wakipewa maneno makali kama kuhusishwa na ushoga au umario kutoka kwa wale ambao hakubahatika kuwa na mvuto au ambao hawajaolewa na wanaume wenye mvuto. Au hawajabahatika kupata watoto wakiume Handsome.
Tukija kwenye suala la ushoga hata hapa Bongo wale mashoga ambao tayari wameshajipambanua mitandaoni au kwenye vyombo vya habari asilimia 90 sio Handsome. Hatà video zinazovuja mfano ile video ya askari wa Zanzibar pale hakuna Handsome.
Je ni wivu au roho mbaya kwa waliojaliwa. Au mti wenye matunda ndio hupigwa mawe?
Watu wenye utajiri huhusishwa na mambo mabaya kama mauaji, utoaji wa kafara, sîjui freemason, sijui uuzaji wa madawa ya kulevya, kwenda kwa waganga ni.k.
Lakini ukija kwenye utafiti utagundua kuwà Maskini ndio wauaji wakubwa kuliko matajiri. Ripoti zinazotoka kila siku za mauaji kwenye jamii yetu hutoka kwa maskini zaidi kuliko matajiri.
Kuhusu kwenda kwa waganga wa kienyeji maskini wanaongoza. Kuhusu uuzaji wa madawa ya kulevya pia maskini wanaongoza kuanzia ûuzaji wa mirungi, bangi, gongo kote huko maskini anaongoza
Kwanini wenye waliojaliwa wasemwe vîbaya. Ni wivu au kitu gani?
Kwenu wachangiaji.