Chumvi YMawe
Member
- Feb 23, 2024
- 16
- 48
Mahandsome gani tena wanapata hiyo tabu? Mbona mimi naishi poa tuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali.Leo haujaomba kwenda kupumzika baada ya kuandika uzi.Habari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k?
Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti. Ukipita maeneo yenye madanguro au kwenye dadapoa ni nadra kuona hao Wadada wàzuri. Wengi waliopo ni wakawaida au wenye mionekano isiyovutia.
Au ni kwa nini wanaume Handsome hûjikuta wakipewa maneno makali kama kuhusishwa na ushoga au umario kutoka kwa wale ambao hakubahatika kuwa na mvuto au ambao hawajaolewa na wanaume wenye mvuto. Au hawajabahatika kupata watoto wakiume Handsome.
Tukija kwenye suala la ushoga hata hapa Bongo wale mashoga ambao tayari wameshajipambanua mitandaoni au kwenye vyombo vya habari asilimia 90 sio Handsome. Hatà video zinazovuja mfano ile video ya askari wa Zanzibar pale hakuna Handsome.
Je ni wivu au roho mbaya kwa waliojaliwa. Au mti wenye matunda ndio hupigwa mawe?
Watu wenye utajiri huhusishwa na mambo mabaya kama mauaji, utoaji wa kafara, sîjui freemason, sijui uuzaji wa madawa ya kulevya, kwenda kwa waganga ni.k.
Lakini ukija kwenye utafiti utagundua kuwà Maskini ndio wauaji wakubwa kuliko matajiri. Ripoti zinazotoka kila siku za mauaji kwenye jamii yetu hutoka kwa maskini zaidi kuliko matajiri.
Kuhusu kwenda kwa waganga wa kienyeji maskini wanaongoza. Kuhusu uuzaji wa madawa ya kulevya pia maskini wanaongoza kuanzia ûuzaji wa mirungi, bangi, gongo kote huko maskini anaongoza
Kwanini wenye waliojaliwa wasemwe vîbaya. Ni wivu au kitu gani?
Kwenu wachangiaji.
Ukiwa handsome na una vijisenti kidogo basi tatizo linakua kubwa zaidi.Bongo mwanaume kuwa handsome bila kitu mfukoni sidhani kama inasaidia sana. Hata kama umebeba demu mzuri na mnatembea kwa miguu, akija mwenye gari kali mwenye sura ya kinyago atamnyakuwa demu yako kama mwewe na kifaranga.
Wacha fix wewe.Ukiwa handsome na una vijisenti kidogo basi tatizo linakua kubwa zaidi.
Kwa ujumla kitaa watu wanachuki sana mkuu.
Ila tunakwenda nao tu hivyo hivyo kibishi.
Yaani mwanamke analazimisha umtongoze na umle usipofanya hivyo kashfa tayari.
Sasa utalala na wangapi mkuu.
Jaribu kufuatilia kwenye ukurasa wa instagram wa mjariamali fulani , anaitwa niffer kwenye upande wa comments kwa kila anachokipost ,ndio utagundua aina ya uchawi unaozungumzika upo kila kona ya Tanzania. .
😀😀Afadhali.Leo haujaomba kwenda kupumzika baada ya kuandika uzi.
Ni kawaida sana hiyo. Kikubwa usiishi kwa matarajio ishi kwa misingi yako wanaokuelewa nawe waelewe. They will hate you because you intimidate them
Mahandsome gani tena wanapata hiyo tabu? Mbona mimi naishi poa tuu!
Don't let them change you or even rearrange you,
Live the life you love,love the life you live.
"Mahandsome wote ni mashoga" sio mimi niliosema, ila andaa nguo chafu povu linakuja...
Hiyo ndo Afrika
Ni sawa na wadada wajinga wabaya wanavyotusema wanaume weupe ni ujinga na bulling mbaya sana kama huwezi kuhimili such bulling.Habari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k?
Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti. Ukipita maeneo yenye madanguro au kwenye dadapoa ni nadra kuona hao Wadada wàzuri. Wengi waliopo ni wakawaida au wenye mionekano isiyovutia.
Au ni kwa nini wanaume Handsome hûjikuta wakipewa maneno makali kama kuhusishwa na ushoga au umario kutoka kwa wale ambao hakubahatika kuwa na mvuto au ambao hawajaolewa na wanaume wenye mvuto. Au hawajabahatika kupata watoto wakiume Handsome.
Tukija kwenye suala la ushoga hata hapa Bongo wale mashoga ambao tayari wameshajipambanua mitandaoni au kwenye vyombo vya habari asilimia 90 sio Handsome. Hatà video zinazovuja mfano ile video ya askari wa Zanzibar pale hakuna Handsome.
Je ni wivu au roho mbaya kwa waliojaliwa. Au mti wenye matunda ndio hupigwa mawe?
Watu wenye utajiri huhusishwa na mambo mabaya kama mauaji, utoaji wa kafara, sîjui freemason, sijui uuzaji wa madawa ya kulevya, kwenda kwa waganga ni.k.
Lakini ukija kwenye utafiti utagundua kuwà Maskini ndio wauaji wakubwa kuliko matajiri. Ripoti zinazotoka kila siku za mauaji kwenye jamii yetu hutoka kwa maskini zaidi kuliko matajiri.
Kuhusu kwenda kwa waganga wa kienyeji maskini wanaongoza. Kuhusu uuzaji wa madawa ya kulevya pia maskini wanaongoza kuanzia ûuzaji wa mirungi, bangi, gongo kote huko maskini anaongoza
Kwanini wenye waliojaliwa wasemwe vîbaya. Ni wivu au kitu gani?
Kwenu wachangiaji.
Ni kweli mkuu.
Hii ni changamoto tunayokutana nayo mahandsome.
Ila ni maeneo ya uswahilini tu mkuu.
Ukiwa upo matawi watoto wa kishua huwa wanapenda sana handsome boys.
Uswahilini kuna wivu na chuki kali sana.
Jitahidi usiishi uswahilini ni kama kuna laana flani hivi.
Masikini huwa wanajua kujifariji sana🤣🤣🤣Hatari sana
Au matajiri wote motoni
Unaweza jibiwa kajitafute kwanza ndio urudi kununua kaka..Kama wewe ni mwanaume na hauko vzr kiuchumi basi siku moja nenda duka lolote ambalo mhudumu ni mwanamke pisi kali, halafu duka lenyewe liwe na mali kali kali, na tena liwe Kariakoo, huku ukitoa majasho, ulie-lie kupunguziwa bei ndiyo utajua neno ''dharau'' lina maana gani.
Ni sawa na wadada wajinga wabaya wanavyotusema wanaume weupe ni ujinga na bulling mbaya sana kama huwezi kuhimili such bulling.
Mm nikisikia mdada mjinga anasema sijui mwanaume mweupe nawaza namna watu weusi ulaya wanavyojisikia wanapofanyiwa bulling na wazungu wa kule isee ni mbaya sana..
Uzuri wake hawa wa bongo ni wanafki behind wanatutafuta sisi weupe ili wazae tu watoto weupe..na mimi nasambaza mbegu kwa kwenda mbele.
Ni wivu tu.
Mwenye tabia za Kenge.Mimi siyo kenge ni binadamu.
Ningekuwa na tabia za kenge ningeweza kuandika?Mwenye tabia za Kenge.