Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

Afadhali.Leo haujaomba kwenda kupumzika baada ya kuandika uzi.
 
Bongo mwanaume kuwa handsome bila kitu mfukoni sidhani kama inasaidia sana. Hata kama umebeba demu mzuri na mnatembea kwa miguu, akija mwenye gari kali mwenye sura ya kinyago atamnyakuwa demu yako kama mwewe na kifaranga.
Ukiwa handsome na una vijisenti kidogo basi tatizo linakua kubwa zaidi.

Kwa ujumla kitaa watu wanachuki sana mkuu.

Ila tunakwenda nao tu hivyo hivyo kibishi.

Yaani mwanamke analazimisha umtongoze na umle usipofanya hivyo kashfa tayari.

Sasa utalala na wangapi mkuu.
 
Wacha fix wewe.
 
Jaribu kufuatilia kwenye ukurasa wa instagram wa mjariamali fulani , anaitwa niffer kwenye upande wa comments kwa kila anachokipost ,ndio utagundua aina ya uchawi unaozungumzika upo kila kona ya Tanzania. .

Ubaya hauna kwao.
Mtu yeyote huweza kuwa mbaya
Afadhali.Leo haujaomba kwenda kupumzika baada ya kuandika uzi.
😀😀
 
Ni sawa na wadada wajinga wabaya wanavyotusema wanaume weupe ni ujinga na bulling mbaya sana kama huwezi kuhimili such bulling.

Mm nikisikia mdada mjinga anasema sijui mwanaume mweupe nawaza namna watu weusi ulaya wanavyojisikia wanapofanyiwa bulling na wazungu wa kule isee ni mbaya sana..
Uzuri wake hawa wa bongo ni wanafki behind wanatutafuta sisi weupe ili wazae tu watoto weupe..na mimi nasambaza mbegu kwa kwenda mbele.
 

😀😀

Hatari sana mkuu
 
Unaweza jibiwa kajitafute kwanza ndio urudi kununua kaka..
 

Bongo ukiona jambo linasifiwa sana ujue hapo kûna tatizo,
Ukiona linàpondwa ujue mara nyingi ni mti wenye matunda.

Bongo wale wema huitwa wabaya na wale wabaya huitwa wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…