Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Kwamba Elon Musk ni nani ?Elon Musk mzungu? Dangote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Elon Musk ni nani ?Elon Musk mzungu? Dangote?
Bonite na ipp media mbona bado zipo tangu Mengi afariki 🤔 Yoda Accumen MoWeusi ambao wangefikia alikuwa Mengi na shirima , ila vifo vyao sijajua kama wameacha mfumo mzuri ila wale vijana wa Mengi wana tamaa labda shirima bado ndege zinafanya poa .
Nilichogundua hawa wenzetu wanapenda kukaa sehemu moja hawana na imani ya kukimbia kwa wazazi wao , wana misingi mzuri ya malezi ya kifamilia sio mtu unaondoka bila ya kujipata ...Wnaishi kariakoo na masaki miaka na miaka wala hutosikia sijui watoto wao wamekimbila Mbeya , Morogora kufauta maisha .
Lakini matajiri wengi hawana elimu kubwa nadhani ni culture issues mfumo wa maisha wa mtu mweusi umejawa na uchoyo na roho mbaya huku wenzetu wahondi na waarabu wakiishi kifamilia zaidiTatizo la Tanzania ni Elimu
Zipo ila zimeyumba sana haxifanyi vizuri ,kiufupi ukwasi umeondokaBonite na ipp media mbona bado zipo tangu Mengi afariki 🤔 Yoda Accumen Mo
Bakhresa sio black, huyo ni mwarabu kafuata kwa babaWengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila anaonekana amechanganya damu.
Tangu Reginald Mengi atetereke kibiashara na baadaye kufariki hakujatokea mtu mweusi mwingine katika listi ya matajiri wakubwa Tanzania.
Pia kwa nini utajiri wa wahindi na Waarabu umetembea kutoka kizazi kimoja na kuendelea kukuzwa na kizazi kinachofuata ila kwa weusi tajiri mwanzilishi akifa na utajiri unakufa hapo hapo au taratibu na kinachobaki ni kesi za mirathi na vita za wanafamilia!
Mmh ninachojua ipp media (tv na redio na magazeti ya mengi) ndo hazijawahi fanya vizuri kipesa tangu zimeanzishwa 1994, ila bonite naamini inawapa watoto wa Mengi pesa nyingi sana inchargeZipo ila zimeyumba sana haxifanyi vizuri ,kiufupi ukwasi umeondoka
mama muuza karanga ana Noti mbili,moja ya Bilion moja na nyingine ya billion 6.Sasa kila mtu akitumia sarafu yake kupima utajiri Zimbabwe si itakuwa imejaa mabilionea na matrilionea.
Umefika uarabuni?India kuna Maskini wengi tu
Uarabuni kuna Maskini wengi tu
Somalia kuna mafukara wengi tu
Pemba kuna mafukara wengi tu
Labda Bonite, sina uhakika kama IPP media haijabakia jina tu.Bonite na ipp media mbona bado zipo tangu Mengi afariki 🤔 Yoda Accumen Mo
Unashughuli gani huko?Bro Npo Iraq
Ngozi nyeusi ni tatizo tangu Enzi, ndio Maana walikuwa Watumwa na mpaka leo ni Watumwa mpaka kwenye nchi zaoWengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila anaonekana amechanganya damu.
Tangu Reginald Mengi atetereke kibiashara na baadaye kufariki hakujatokea mtu mweusi mwingine katika listi ya matajiri wakubwa Tanzania.
Pia kwa nini utajiri wa wahindi na Waarabu umetembea kutoka kizazi kimoja na kuendelea kukuzwa na kizazi kinachofuata ila kwa weusi tajiri mwanzilishi akifa na utajiri unakufa hapo hapo au taratibu na kinachobaki ni kesi za mirathi na vita za wanafamilia!
Hakika, Hasa WabantuTatizo kubwa ni Ubinafsi na roho mbaya.
Michael Jackson hakuwahi kuwa kwenye List ya Matajiri USA au Duniani....ila alikuwa Mwanamuziki tajiriNadhani hapo unaongelea matajiri wa Tanzania,vipi weusi wa kule marekani,mathalan Michael Jackson,utajiri wake ukoje kwa sasa...?
Bonite yenyewe ni Mmarekani yeye Mengi ni Agent tu, ni kama useme Vaseline au BlueBand kwa Kenya....hata kama wana Viwanda still Teknolojia na Msimamizi Mkuu ni Mmarekani na ni yq Wamarekani mpaka OMO, AERIEL, VICKS na zinginezoLabda Bonite, sina uhakika kama IPP media haijabakia jina tu.
WeipeWengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila anaonekana amechanganya damu.
Tangu Reginald Mengi atetereke kibiashara na baadaye kufariki hakujatokea mtu mweusi mwingine katika listi ya matajiri wakubwa Tanzania.
Pia kwa nini utajiri wa wahindi na Waarabu umetembea kutoka kizazi kimoja na kuendelea kukuzwa na kizazi kinachofuata ila kwa weusi tajiri mwanzilishi akifa na utajiri unakufa hapo hapo au taratibu na kinachobaki ni kesi za mirathi na vita za wanafamilia!
Weupe wanaishi kwa mfumo ulioshikamana. Wahindi huweza kuishiWengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila anaonekana amechanganya damu.
Tangu Reginald Mengi atetereke kibiashara na baadaye kufariki hakujatokea mtu mweusi mwingine katika listi ya matajiri wakubwa Tanzania.
Pia kwa nini utajiri wa wahindi na Waarabu umetembea kutoka kizazi kimoja na kuendelea kukuzwa na kizazi kinachofuata ila kwa weusi tajiri mwanzilishi akifa na utajiri unakufa hapo hapo au taratibu na kinachobaki ni kesi za mirathi na vita za wanafamilia!
Weupe, wana mfumo ulioshikamana kifamilia. Wahindi nimewaona wanakaaWengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila anaonekana amechanganya damu.
Tangu Reginald Mengi atetereke kibiashara na baadaye kufariki hakujatokea mtu mweusi mwingine katika listi ya matajiri wakubwa Tanzania.
Pia kwa nini utajiri wa wahindi na Waarabu umetembea kutoka kizazi kimoja na kuendelea kukuzwa na kizazi kinachofuata ila kwa weusi tajiri mwanzilishi akifa na utajiri unakufa hapo hapo au taratibu na kinachobaki ni kesi za mirathi na vita za wanafamilia!
Weupe wana mfumo imara wa mshikamano kifamilia. Wahindi huishi nyumba moja hata vizazi vinne. Sisi waafrika hatuwezi. Pili, wamefundishwa sana nidhamu ya utunzaji fedha. Tatu wanasaidiana sana na kuaminiana. Tusipowajifunza kiuchumi, tutashangaa wako mawinguni sisi bado tunatafutana kwenye vichuguu vya mchwa. Kulingana, ulevi, uvivu, na kusifia utajiri wao. Mali zao wamezisajili kimakampuni na taratibu za kifedha.Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila anaonekana amechanganya damu.
Tangu Reginald Mengi atetereke kibiashara na baadaye kufariki hakujatokea mtu mweusi mwingine katika listi ya matajiri wakubwa Tanzania.
Pia kwa nini utajiri wa wahindi na Waarabu umetembea kutoka kizazi kimoja na kuendelea kukuzwa na kizazi kinachofuata ila kwa weusi tajiri mwanzilishi akifa na utajiri unakufa hapo hapo au taratibu na kinachobaki ni kesi za mirathi na vita za wanafamilia!
Iraq sijafika ila Oman kuanzia Salalah mpaka muscat, Yemen Kuwait pote napajua vizuri sana labda Dubai sijakaa sanaNpo Melini