Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

Usidanganywe hawajasoma
Mo ana masters
Rip subash Patel ana masters
Rip Reginald’s mengi ana masters
Ally awadh ana masters
Shaa wa Sumaria group ana degree
Watoto wa bakhresa wote wana masters
Rostam Aziz ana degree
Na wengine wengi tu
 
Mo ana masters
Rip subash Patel ana masters
Rip Reginald’s mengi ana masters
Ally awadh ana masters
Shaa wa Sumaria group ana degree
Watoto wa bakhresa wote wana masters
Rostam Aziz ana degree
Na wengine wengi tu
Nilikuwa namjibu huyo aliyenijibu kuwa hawajasoma
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Lazima maskini wawepo huko. Wahindi, waarabu na wasomali hata wazungu matajiri waliopo Tanzania wametoka kwao kutafuta fursa walizozikosa kwao na kuzikuta Tanzania.
Waarabu sio sana , wahindi ni kweli tena asilimia kubwa kwa sababu ndio capitalist wa Asia
 
Mbowe ni Mpemba au unamchulia.poa kisa anapanda karandinga kila siku?
 
Tunapenda sana yasiyo na tija…. Kama vile kulalamika, siasa, kukata viuno, chuki, majungu, uzushi na ubwege
 
Sijaongelea mahali popote kuhusu kufurahia maisha, unaweza kufurahia maisha hata ukiwa unashindia mihogo, ugali mlenda na dagaa kwenye nyumba ya tembe/udongo huku unatembelea TZ11 maisha yako yote.
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…