Kwanini watumiaji wa simu za itel, Tecno na Infinix wanadharaulika sana Dar?

Kwanini watumiaji wa simu za itel, Tecno na Infinix wanadharaulika sana Dar?

Naona kuna shoga anajaribu kuukingia kifua huu uzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tatizo alikinga marinda badala ya kukinga kifua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ilianza mobitel, ikafuata trite, ikaja Voda, ikaja bol,
Mobitel ikabadili jina ikaitwa Buzz, kisha tigo
Yes, ndio maana nasema Mobitel ilipobadili jina na kuwa Buzz, tayari makampuni mengine yalishaingia kwahivyo ile akili ya jina simu kuitwa Mobitel kidogo ikapungua. Ila jemima kumbe masika nyingi hapo eenh๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Research in motion watu smart waliopotea kusikojulikana. Kweli uchawi upo.nakumbuka miaka ile walikuwa Wamoto sanaa. Hizi Infinix tunazouziwa dar ndio tatizo, agiza Infinix Nairobi utaona the difference.
 
Kuna kitu kinaitwa mtazamo (mentality) usipokuwa nacho makini utakuwa kama RANGO kuigiza Kila uonacho, tafuta unachokitaka kwenye simu ukikipata shukuru na ridhika, simu haikufanyi uwe ulivyo hata bila simu unaweza kuwa wewe uliye Bora,,, lakini ukiwa na uwezo wa kuchukua brand nzuri chukua lakini haimaanishi kuwa utajiongezea thamani
 
Yes, ndio maana nasema Mobitel ilipobadili jina na kuwa Buzz, tayari makampuni mengine yalishaingia kwahivyo ile akili ya jina simu kuitwa Mobitel kidogo ikapungua. Ila jemima kumbe masika nyingi hapo eenh๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Sawa
 
Watu wakubali tu kuwa mtu anayetumia Tecno na wenzake ni kwamba hela ya kununua simu kali hana au ni mshamba.

Interface ya ajabu vile kweli mtu ikuvutie,kioo kama kimemwagiwa maji ya mchele..hell no.
 
Back
Top Bottom