jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Kwisha habari yao USA sio mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwisha habari yao USA sio mchezo
Unatumia simu ya million mbili mi nitumia tecno nimewekeza hiyo pesa ya kununua simu million 2 pengine halafu mwisho wa siku tukutane baada ya muda tuone nani smart Kati yako wewe unae ona ujanja ni kumiliki smartphone kali, fool jitambue.Usiuendekeze umasikini wako, jiongeze
Ndio shida ya kukariri, anadhani kila mchina yupo kama Tecno[emoji38][emoji38]Huyo hawajui huawei, mpaka USA aliwapa ban maana wangewaondoa sokoni washindani
Same reply different year 🤣🤣Mimi ni fundi simu upande wa hardware na ni mzoefu kwa miaka 10 na 90% ya simu ninazotengeza ni tecno, infinix na itel. ni kweli kila simu inaharibika na kila siku napokea simu zenye matatizo mengi na matatizo mengi ni yale tuliyo yazoea.
Lakini kuna mengine ni mapya kulingana na teknolojia inavyo kuwa.
Lakini kuna matatizo ambayo nimeyagundua kwenye hizo simu tatu kwa hii wiki nimepokea
Simu karibia 15 ambazo zimezima Peke yake na kwa maelezo ya wateja wanasema walikuwa wameziweka tu ndani.
Na kwa sababu mbali mbali Na mwisho wa siku wakakuta zimezima peke yake Na hizo simu mara nyingi huwa nikizipima na nakuta zina umeme mdogo ambao hauwezi kuwasha simu. hata ukibusti betri haziwaki kabisa hata ukiweka betri mpya zenye moto wa kutosha haziwaki na hata tukichomeka kwenye kwenye computer ili kuziflashi zinakuwa hazionekani kabisa. Na hivyo ndivyo zinakuwa imekufa moja kwa moja.
Lakini baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu nimegundua hizo simu nyingi zinazozima kwa namna hiyo ni zile simu zilizo Isha warranty na nimeyagundua hizo simu ni zile toka zimetengenezwa baada ya mwaka mmoja na ikikaa siku 30 ikiwa imezima chaji hiyo simu ujue itakufa moja kwa moja.
Na nimegundua hiyo inatoka na mikataba mibovu waliyo Ingia hayo makampuni yanayo wauzia software kwamba wao wanao wauzia software wanawapa security ya mwaka mmoja tu.
Kwahiyo ushauri wangu kwa watumiaji wa infinix tecno na itel usiiache simu yako iishe chaji kabisa na ikae siku 30 bila kuichaji.
Wakati tunaendelea kutafuta solution.
Niliwahi kusoma sehemu kwamba mtu mweusi ni royal sana kwa bland,View attachment 2477728
Kwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena.
Sasa hapa mjini naona tu wazee wa rika langu wananifuata nyumbani eti niwaagizie simu mtandaoni maana wanachekwa kwa wajukuu zao sababu tu ya aina ya majina ya simu wanazotumia.
Mimi sijui tofauti kati ya iPhone, Samsung, Tecno, LG, Sony, HTC, Infinix, Google Pixel , itel nk naona zote ni smart.
Nikiwa na itel au tecno au infinix vicheko vyenu nitavidharau na kuvipuuza
Acha hizo mkuuUnatumia itel ww Ni msukuma
Nakuunga mkono kwenye vyote Ila sio itelView attachment 2477728
Kwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena.
Sasa hapa mjini naona tu wazee wa rika langu wananifuata nyumbani eti niwaagizie simu mtandaoni maana wanachekwa kwa wajukuu zao sababu tu ya aina ya majina ya simu wanazotumia.
Mimi sijui tofauti kati ya iPhone, Samsung, Tecno, LG, Sony, HTC, Infinix, Google Pixel , itel nk naona zote ni smart.
Nikiwa na itel au tecno au infinix vicheko vyenu nitavidharau na kuvipuuza
Mkuu umeandika kwa hisia sana😂😂😂😂Niliwahi kusoma sehemu kwamba mtu mweusi ni royal sana kwa bland,
Inasemekana wajapan huwaona Waafrika kama hamnazo,na viongozi wao waliishawahi kutamka hadharani,lakini mtu mweusi hata atukanwe vipi hawezi kuacha kununua Toyota!
Mwafrika huona ufahari akimiliki Vitu vya bei kubwa,Benz,BMW,Lexus,Samsung,vogue,hufikiri kuwa na vitu vya bei mbaya ni kuonyesha ubora wake,Elimu yake,status,!
Hivi umeishawahi kujiuliza kwanini,kule USA,wanaocheza basketball wengi ni black Americans,lakini hakuna timu inayomilikiwa na mtu mweusi,hata makocha wengi ni wazungu,!!sio kwamba Waafrika hawana pesa,wao pesa zao ni kununua na kumiriki vitu vya gharama kubwa,hiyo kwao ndio la muhimu,kujionesha kuwa Bora kuriko wengine,
Sasa unadharau tekno,Kisa Samsung,apple,nk,hizo simu zote hakuna inayotengenezwa Afrika,
Hata ikitokea Nchi moja ya Afrika ikatengeneza gari(Nigeria)au simu,nchi nyingi za Afrika zitaona bora kwenda japan kununua matoyota,kuliko kununua model ya kiafrika!!
Mtu mweusi ni ngozi ya Tako kabisa!!!
Sasa imagine kenge mmoja anajiona Bora kwa vile anamiriki apple,Samsung!!
Jione Bora kwamba,nimemaliza chuo,nikapiga mishe zangu sasa namiriki kampuni,nimeajili vijana 10+Nina bilions kadhaa benk!!sio kujivunia ka simu,fuckers
UmesilibaNiliwahi kusoma sehemu kwamba mtu mweusi ni royal sana kwa bland,

TelephoneNakuunga mkono kwenye vyot Ila sio itel
Itel ni brand ambayo inadharaulika adi china😃😃Telephone
IPhone
Itel
Mbona zote zinatengeneza neno telephone?
Ndio unatakiwa kusema umetoa wapi maana wewe sio fundi, hilo ni bandiko la watu, jamaa katumia akili kujitangaza halafu kindezi tu unataka mseleleko dogo.Hapa hatufanyi biashara, tunaongezeana maarifa na ufahamu. Ningeenda kutumia mahali pengine nje na JF ningetakiwa niseme.
Itel na iphone ni ndugu?Itel ni brand ambayo inadharaulika adi china😃😃
HapanaItel na iphone ni ndugu?
😆😆😆 cha juu ambacho unaweza kuvaa kofia au miwani katika macho😆😆Kichwa changu kipi hicho cha juu/chini? Kimefanyaje 😂😂
🤣🤣🤣roho ngumu hii ndugu mwanajf mwenzanguItel na iphone ni ndugu?
Ulivyokitolea maelezo 😂😂 ungesema tu cha juu. Kimefanyaje?😆😆😆 cha juu ambacho unaweza kuvaa kofia au miwani katika macho😆😆
Yani wewe
😆😆😆muoneUlivyokitolea maelezo 😂😂 ungesema tu cha juu. Kimefanyaje?