Alafu kajifunze kuandika ndipo uje humu kutaka ligi na watu wasio na time na wwππππUshaolewa? Maana kuna uzi umesema hijaolewa bado
MobitelWamakonde inayakiwa watumie simu gani?
Sio Buzz?Mobitel
Hahaha. Hapo kidogo wabongo walikuwa washaamka. Tritel na Celtel zilishaingia mjini.Sio Buzz?
Ilianza mobitel, ikafuata trite, ikaja Voda, ikaja bol,Hahaha. Hapo kidogo wabongo walikuwa washaamka. Tritel na Celtel zilishaingia mjini.
Yes, ndio maana nasema Mobitel ilipobadili jina na kuwa Buzz, tayari makampuni mengine yalishaingia kwahivyo ile akili ya jina simu kuitwa Mobitel kidogo ikapungua. Ila jemima kumbe masika nyingi hapo eenhππIlianza mobitel, ikafuata trite, ikaja Voda, ikaja bol,
Mobitel ikabadili jina ikaitwa Buzz, kisha tigo
Bado inafanya kazi zake kama nilivyotarajia!Unakaaje na simu miaka 5?
Ndivyo ilivyo mkuu, binadamu wengi hawapendi kukosolewa (ujuaji).Sijaona somo lolote bro, labda unirudishe chekechea
SawaYes, ndio maana nasema Mobitel ilipobadili jina na kuwa Buzz, tayari makampuni mengine yalishaingia kwahivyo ile akili ya jina simu kuitwa Mobitel kidogo ikapungua. Ila jemima kumbe masika nyingi hapo eenhππ
Ikisha pita na umeme unakatikaTatizo la Tecno helicopter ikipita juu network inakata na chaji inaisha...
Next time ipi babu?Ndivyo ilivyo mkuu, binadamu wengi hawapendi kukosolewa (ujuaji).
Ila naamini next time hurudii ulichofanya hapa.
AseeπIkisha pita na umeme unakatika
[emoji3][emoji3]Watu wakubali tu kuwa mtu anayetumia Tecno na wenzake ni kwamba hela ya kununua simu kali hana au ni mshamba.
Interface ya ajabu vile kweli mtu ikuvutie,kioo kama kimemwagiwa maji ya mchele..hell no.
Usifanye mchezo aiseeAseeπ
Next time ipi?Ila naamini next time hurudii ulichofanya hapa.