Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanyakyusa tuna taabu jamani duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kijana ameamua kuimba Gospel hicho nikitu bora sana ,na kama anapiga business out of it ni sawa pia
wao wanataka Goodluck awe akiitwa kuimba bure popote muda wowote akubari

Wajue kijana anatafuta maisha na amechagua kuimba Gospel kujipatia kipato

hao wanao myooshea vidole wao waangalie Banzi katika maisha yao

Go go go Gooluck
 
Hahaaa hatar sna mkuu...umeua
 
sijui kama watumishi wa Mungu wanamuhukumu au la, ila mimi nikiwa kama mkristo kwa kweli huyu kaka hata simuelewi na nyimbo zake huwa sijui nizeweke kwenye kundi gani, kiasi kwamba nilishaamua kuachana nazo, mimi huwa sipendi kusikiliza album nzima ya mtu kwahiyo mara nyingi huwa nachagua nyimbo za watu tofauti tofauti nnazozipenda natengeneza mix naweka sehemu moja ndo nasikiliza, kama ni gospel basi nategeneze mix ya waimba injili tofauti tofauti ndo nasikiliza, ila nyimbo za huyu kijana nimeshindwa kabisa niziweke wapi, mana kwenye gospel hazikai na kwenye bongo fleva hazikai. Kuna neno linasema Wanyama wanaofanana huenda pamoja na Ndege wanaofanana huruka pamoja, Ila wenzako wamekukataa kwasababu ya tofauti yako, ndo yanayomtokea gosbert, achague kama anataka kuwa moto au baridi, mkristo bila kumtajia jina la Yesu hajakuelewa bado, mana Kutaja jina la Mungu hata bongo fleva au taarabu wana litaja sana tu kwenye nyimbo zao.
 

Mkuu huyu ni muimbaji wa nyimbo za dini na dini siyo injili pekee ni zaidi ya hapo ndio mana nkatolea mfano wa zaburi ambayo pia siyo injili.
 
kwani muziki WA injili una sifa zipi?hizo Ni chuki binafsi Tu wote wanaunba injili wapate pesa Na ndo mana show zao nyingi zinalipiwa hakuna show ya bure Ni wachache Sana wanafanya show za bure.Pili unapoandaa compilation ya nyimbo za din uzipendazo unafanya piracy
 
Mbona wanamsema yeye anaevaa kisharo...binafsi mi naona anapendeza tu maana kumtumikia mungu sio kwamba asipendeze ...mbona hawawasemi watumishi wengine wanawake wanaobandika kope na kujichubuuuuua na wanataja jina la Yesu???mi binafsi namuelewa sana gozbert...maana ujumbe wa nyimbo zake ndo unao matter

mankaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…